Ukraine yasema imekomboa eneo zima la Kyiv

Nyuzi nyingi humu zilikuwa zinasema majeshi ya Russia yanarudi nyuma, waloleta hizo habar wakaonekana wanaleta propaganda za magharibi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Urusi ilitangaza kila mtu akiwa ana sikia ya kwamba ana sitisha operation kaskazini mwa Ukraine ikiwemo Kiev baada ya mazungumzo kupiga hatua.
Sasa inashangaza kusema wameyakomboa wakati Urusi imeyaachia kwa makubaliano.
 
Urusi akipewa kipigo tu anataka akimbilie nyuklia. Sasa huyu aliyeshindwa na Ukraine ndio alikuwa anamtunishia msuli Nato mbona hiyo nchi itagawanywa vipande.

Ni muda sasa Russia waachane na vita hiyo kazi wawaachie Marekani, Israel na Uingereza, hao ndio wababe wa vita, wao wafuate tu njia ya Japan, Ujerumani na South Korea, watafute maendeleo ndio itawasaidia vita hawawezi vina wenyewe.

Wamepata hasara ambayo hawakuwahi kupata toka vita vya pili vya dunia kumalizika na hawatakaa wasahau milele.
 
Hivi wanachotaka Urusi ni nini?. Wanataka wapewe Ukraine yote?
 
Vipi kuhusu kipigo alicho kupata Marekani na vibaraka wake nchini Vietnam na Afghanistan na wao waachane na vita sio?

Vip kipigo alicho pewa Israel kutoka kwa Hizibulah vipi na yeye ahachane na vita?
 
Urusi ilitangaza kila mtu akiwa ana sikia ya kwamba ana sitisha operation kaskazini mwa Ukraine ikiwemo Kiev baada ya mazungumzo kupiga hatua.
Sasa inashangaza kusema wameyakomboa wakati Urusi imeyaachia kwa makubaliano.
Nahisi Ukraine wanapata jeuri ya kusema hivyo ni kutokana hakukuwa na Official cease fire..yaana ni kama wame-retreat ..ila kama kungekuwa na makubaliano kijeshi basi wangetumia msamiati huo uliotumia mkuu.
Thanks!
 
Kina
Kilichoonekana kwenye vita hii kimedhiirisha Russia ni tofauti na Ile tuliokuwa tunasimuliwa ....huyo ni Ukraine Russia makamasi yamemtoka Kwa wingi hiv vip NATO ingeingia SI ndo haja kubwa na mkojo Kwa pamoja vingetoka🤣🤣
 
Wamelikomboa au wamekabidhiwa kwa makubaliano.
Makubaliano yepi...wameona Kila siku Ngoma ngumu wanazidi kufa wameamua kusepa...SI mlikuwa mnasema siku 3 Russia anateka Kyiv imekuwaje Leo🤣
 
Hakuna kitu kama hicho.... Russia Katia aibu na dunia imejua kuwa mikwala tu anachapika vizur...SI ajabu ukasikia hata Poland au Sweden akaomba goma mtu mbili.....
 
Nahisi Ukraine wanapata jeuri ya kusema hivyo ni kutokana hakukuwa na Official cease fire..yaana ni kama wame-retreat ..ila kama kungekuwa na makubaliano kijeshi basi wangetumia msamiati huo uliotumia mkuu.
Thanks!
Yaa ni kweli maana Urusi ilisema imesitisha ili kuonesha niya njema baada ya Ukraine na yenyewe kuonesha niya njema .
 
Wakuu oneni hili lishamba linakaa sebuleni kwa shemeji ake halijui kujinunulia hata sidiria. Lingejua kutafuta hata mia mbovu tu lisingeshangilia vita.

Nimezidi kukudharau. Ptuuuu, mate usoni mshamba

Walilie hao wakuuuu mama zako labda
 
Acha kushabikia vita mshamba wewe. Vita vinakusaidia nini wewe kama kijana mdogo usiye na ajira bado? Unadhani shemeji yako atakupa malazi milele. Shtuka acha ushamba mtoto mdogo
Asiposhabikia vita inasaidia nini?
Akishabikia inapunguza nini?
Kama ni kuisoma namba mtaisoma wote wewe na Yeye.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…