Ukraine yasema imekomboa eneo zima la Kyiv

Ukraine yasema imekomboa eneo zima la Kyiv

Tulisema humu hao wa Russia watakimbia wenyewe kichapo ona Sasa walivo kula za uso na bado kipigo Kiko pale pale next destination Ni Kremlin pale
 
Putin hasikilizi mtoto mbichi anayekaa sebuleni kwa shemeji ake
Screenshot_20220329-222836_RT News.jpg
 
Mimi ni mwamaleki. Ukiniita naby mara 100 haibadili jina langu. Umegundua sasa ulivyo jinga?

Mimba ni baraka mdogo angu mshamba
Hongera kwa baraka za kumiminiwa ....kwani nimekataa.....si haki yako kwa msaada wa watu wa marekani
 
Dhumuni lao ilikuwa ni kuuwa tu na kuondoka ama kulikalia jiji? Ni kwamba ndio waliua raia baada ya kuona wamepata cha moto sana kulikamata jiji wakaona wasepe wanaishilia hapo
Mkuu Hawezi kukuelewa maana atizami lengo lilikuwa nini.
 
Urusi tokea wanaanza hawajawahi kusema neno VITA wao wanasema opareshi maalumu na neno kubwa DEMILITARIZE, labda hatuelewi nn maana ya DEMILITARIZE, icho ndo walienda kukifanya Ukraine huko, washamvuruga vya kutosha na walikua wanapiga sehemu muhimu, walishika pia zile sehemu muhimu zaidi kama nuclear power plants nk ili kisine kutokea la kutokea wakaambiwa wao na juzi wamewakabidhi power plant yao. Kambi zao za jeshi Ukraine vurugwa haswa, kuanzia zile za mpakani na Poland na hata za ndani ya Kiev. Icho ndo wao walienda kifanya uko, Ukraine nguvu ile ya kijeshi alikua nayo mwanzo si sawa na sasa tena. Hapa ana miaka kadhaa ya kuwekeza ktk miundo mbinu zzidi na sio jeshi tena, utakuwa ujinga kuwekeza ktk jeshi zaidi kuliko huduma za kijamii ambazo nyingi zimeharibiwa, nguvu kubwa ya Urusi imelejeshwa kwenye waeneo wanayomaa wanaongea kirusi zaidi kwa sasa na watayamega yale maeneo na kuhakikisha wanaweka jeshi lao
 
Hivi yule choko Putin aliposema anawataka waukrein wamtoe rais wao. Walimsikiliza?
 
Kinachonishangaza ni kuwa Ukraine Army inapokea silaha na Urusi halipui hizo silaha... Urusi kashindwa angani, haoni kiingiacho Ukraine...
Akijidanganya aende one on one na USA au NATO yeyote atakimbizwa hadi atumie Nukes na ICBM

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezo wa Urusi ulikuwa Overrated sana.. Hana uwezo mkubwa kama ambavyo tuliaminishwa.
 
Back
Top Bottom