Ukraine yasema imekomboa eneo zima la Kyiv

Ukraine yasema imekomboa eneo zima la Kyiv

Endelea kucheza game kwenye simu ya shemeji yako mdogo wangu
IMG_20220327_114555_853.jpg
 
Ebu nionyeshe kwenye ramani jimbo la zaporizia.usichanganye kati ya jimbo na mkoa,jimbo linaweza kuwa na mikoa zaidi ya 10. Angalia kwenye ramani niliyoweka uw9ne jimbo la zaporizika lipo wapi
Nakurebisha kidogo, Jimbo la Zaporizia Urusi bado hawajariteka, wapo kusini yake wanaangaika na mariapol. Pia Jimbo la Kersoni wamefika mji wa kersoni wanapigana hapo lakini jimbo lote zima hawariteka. Bado wana safari ndefu maana Ukreini ndio Taifa kubwa kwa ardhi barani Ulaya.NB Urusi kisiasa uondolewa Kuwa Ulaya.
 
Urusi akipewa kipigo tu anataka akimbilie nyuklia. Sasa huyu aliyeshindwa na Ukraine ndio alikuwa anamtunishia msuli Nato mbona hiyo nchi itagawanywa vipande.

Ni muda sasa Russia waachane na vita hiyo kazi wawaachie Marekani, Israel na Uingereza, hao ndio wababe wa vita, wao wafuate tu njia ya Japan, Ujerumani na South Korea, watafute maendeleo ndio itawasaidia vita hawawezi vina wenyewe.

Wamepata hasara ambayo hawakuwahi kupata toka vita vya pili vya dunia kumalizika na hawatakaa wasahau milele.
Kaka hii ngoma Russia angeichezea Israel, UK, France, German hakika watu wangetia miguu Moscow. Russia amebaki na Nukes tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema ukweli mkuu leo umejiabisha mno. Washikaji zako wa kule uzi wa majogoo wakikuona una act childish hivi itakuaje?
Kwani wewe unafanya mambo kuangalia watu?acha akili za kikondoo na kitumwa hizo.....ila sio mbaya maana nyie mnafanyaga mambo ili kuwaridhisha mabwana zenu minato............endelea kujipendekeza
 
😆😁 Mrusi kachakaza kaharibu, anarudi kwake kamaliza operation, Mchekeshaji anaendelea na komedi eti kaukomboa, kakomboa magofu??
Huyo Zele, atakuwa anakula majani ya Afande Sele siyo bure!
 
Hiyo miji wameiteka lini? maana tulikuwa tuna ambiwa Urusi haijateka mji hata mmoja.
Vijiji vidodo dogo na miji kama Khakiv, Miriopoly lakini Kyiv walikula Stinger mpaka mpaka wameomba poo wakajipange tena
 
Huko kote warusi walikuwa wanawithdraw majeshi na so kwa kupigwa. Ni baada tu ya mazungumzo yaliyoonesha tija mjini istanbul.
MSM Zinawakaririsha watu uongo
 
[emoji38][emoji16] Mrusi kachakaza kaharibu, anarudi kwake kamaliza operation, Mchekeshaji anaendelea na komedi eti kaukomboa, kakomboa magofu??
Huyo Zele, atakuwa anakula majani ya Afande Sele siyo bure!
Anavimba eti kakomboa miji hiyo kivita..vichekesho vingine bwana
 
An amazing thing, the National Police of Ukraine published a video yesterday, April 2, under the heading "Bucha - cleaning the city from the occupiers." "Occupiers", as we know, have not been there since March 30. And where did the bodies that lay everywhere on the roads go? Why was not a word said about this for 8 minutes? And today, on April 3, these bodies suddenly appeared and everyone is just talking about it.

sashakots
Ukraine apigwe tu maana hakuna namna
Nalog off Z
 
Back
Top Bottom