Ukraine yasema imekomboa eneo zima la Kyiv

Mbinu nzuri ya kivita.Achukue maeneo yote ya pwani na bandari ya Mariupoli ambalo ndilo lango kubwa la uchumi wa aUkraine hata nyuklia atumie asiiwache ikarudi mikononi mwao.Ile Kiyv tangu awali haikuwa muhimu.Afadhali aende LYV kweny mpaka na Poland ili misaada isiingie kutoka mataifa machokozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…