Ukraine yasema zaidi ya miili 900 ya wananchi wa kawaida imetapakaa Mji wa Kyiv

Ukraine yasema zaidi ya miili 900 ya wananchi wa kawaida imetapakaa Mji wa Kyiv

Mikono ya Putin inanuka damu, jamaa hana ubinadamu kabisa.
Naona watakatifu wametulia hapo [emoji116][emoji116]
Screenshot_20220324-015904.jpg
 
ukiwa mjuaji wa buza ndio kunatatizo.
hizo kombora zinazorushwa unazifahamu. kwa ni zinakwenda je.
hivi hapo hapo unashabikia kiduku anaogopwa unajua kwa sababu zipi!
kweli nchi inavilaza kama wewe ni shida.
naweza nisifike kwako na nikakutumia bomu walanisifike hilo eneo
Na wewe soma uelewe. Hapo wamesema ilishambuliwa kwa risasi na sio makombora..

Sasa walishambuliwaje na Russia haikufika Kyiv kama habari zinavyosemwa??
 
ukiwa mjuaji wa buza ndio kunatatizo.
hizo kombora zinazorushwa unazifahamu. kwa ni zinakwenda je.
hivi hapo hapo unashabikia kiduku anaogopwa unajua kwa sababu zipi!
kweli nchi inavilaza kama wewe ni shida.
naweza nisifike kwako na nikakutumia bomu walanisifike hilo eneo
acha matusi mkuu,wamesema miili mingi ikiwa na risasi.
makombora yanapiga risasi au explosion?
 
Mauaji ya kimbari.. Roho 900 zimeteketea kwa matendo ya binadamu anayejiita kastaarabika
Haya mauaji ya kimbari nilikuwa naskia tu juu kwa juu mpaka niliposoma kitabu Cha mtusi aliyeponea chupuchupu LEFT TO TELL mweee ilikuwa hatari
 
It doesn't make sense, toka Russia waondoke kwenye hivyo viunga umeshapita mwezi sasa, leo ndio waje wagundue hizo maiti?? Hii habari imepikwa
Umeni quote kwa hoja tofauti, tuliza akili kwanza.
 
Back
Top Bottom