Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,091
- 3,695
Minasimama na Putin Mwanzo mwisho
tafta kiti utaota uyoga miguuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Minasimama na Putin Mwanzo mwisho
Sio kuziogopa tu ila ni kuchukua tahadhari na kuwahi katika vita.Kwenye vita si akili nzuri kusubiri adui yako mpaka akukaribie na unajuwa na keshatangaza anakuja kukuua.Akisema analeta ujumbe utamsubiria.Ina maana wanaogopa Sana hizo Patriot mpaka walazimishe ushindi wa haraka ?
Silaha zimeshaingia mara ngapi Ukraine na amezuia ngapi mbona mwaka unakaribia kwisha na ameshindwa kuiteka Ukraine yote kama alivyokuwa akiota. Putin bogus kabisa.Sio kuziogopa tu ila ni kuchukua tahadhari na kuwahi katika vita.Kwenye vita si akili nzuri kusubiri adui yako mpaka akukaribie na unajuwa na keshatangaza anakuja kukuua.Akisema analeta ujumbe utamsubiria.
Hapo Urusi kwanza azifuatilie hizo patriot zikivuka mpaka tu basi aziripue bila kujali zinafanya kazi vizuri au vyenginevyo.
Usiangalie tulikotoka kisia hali inavyoelekea kuharibika huko mbeleni.Kuna vitu vingi vimemkasirisha Putin na sasa huenda akaanza kutumia nguvu na mbinu za ziada kumaliza vita.Itakuwa ni hasara kubwa kwa Ukraine,Nato na sisi sote,Silaha zimeshaingia mara ngapi Ukraine na amezuia ngapi mbona mwaka unakaribia kwisha na ameshindwa kuiteka Ukraine yote kama alivyokuwa akiota. Putin bogus kabisa.
Malizia basi mkuu kwamba,... halafu akapigwa kipigo cha mbwa mwizi na kutokomezwa kabisa.Nafikiria siku akija Amin mwingine na kujigawia sehemu ya ardhi yetu kwa nguvu akidai tutambue hivyo.
Imeshazoeleka sasa kwamba Putin na genge lake ni watu wa mikwara kila kunapokucha.![]()
Katika hali inayoonesha vita vinaelekea kubaya zaidi Urusi imeitaka Ukraine kuzingatia maonyo yake haraka kabla awamu ijayo ya mashambulizi haijaanza. Onyo hilo limetolewa na waziri wa mambo ya nje wa Urusi mapema jana.
Katika onyo hilo Sergei Lavrov ameitaka Ukraine kuyatambua majimbo mapya ya Urusi na kuacha kupeleka askari wake huko.
Onyo hilo limekuja siku moja baada ya raisi Putin kunakiliwa akisema yuko tayari kwa mazungumzo na Ukraine tafsriri ya aaina ya mazungumzo ambayo ndio sasa imepatikana kutoka kwa waziri wake wa mambo ya nje
Wakati huo huo onyo hilo limekuja baada ya ziara ya Putin huko Belarus na ziara nyengine ya kushtukizia ya raisi wa Belarus huko Urujsi. Ziara hizo zimeambatana na harakati kubwa ya kupelekwa zana nzito za kivita kwenye mpaka wa Belarus na Ukraine zikiwemo ndege zenye uwezo wa kubeba makombora ya nyuklia.
wiki iliyopita raisi Zelensky naye alifanya ziara ya muda mfupi huko Mareknai ambako aliahidiwa kupatiwa makombora ya patriot ambayo ni maalum kwa kuyadungua makombora mengine yanayoelekea kutua kwenye yake.Makombora hayo yatachukua mpaka miezi 6 ijayo kuwasili humo muda sawa na unaohitajika kwa kutoa mafunzo kwa askari wa Ukraine watakayotakiwa kuyatumia.
Kizee cha watu kinapigwa Jabs - Cross left-right, Hook, Uppercut halafu kinabweka "Nntakuua leo, Leo utakoma/Utantambua" Hahahaaa.Super pawer anazidi kuchakazwa na kudhalilishwa wewe umeklalia propaganda.., shauri yako,nenda ukamsaidie bwana wako uko field maana anatolewa kamasi balaa View attachment 2459698
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
![]()
Katika hali inayoonesha vita vinaelekea kubaya zaidi Urusi imeitaka Ukraine kuzingatia maonyo yake haraka kabla awamu ijayo ya mashambulizi haijaanza. Onyo hilo limetolewa na waziri wa mambo ya nje wa Urusi mapema jana.
Katika onyo hilo Sergei Lavrov ameitaka Ukraine kuyatambua majimbo mapya ya Urusi na kuacha kupeleka askari wake huko.
Onyo hilo limekuja siku moja baada ya raisi Putin kunakiliwa akisema yuko tayari kwa mazungumzo na Ukraine tafsriri ya aaina ya mazungumzo ambayo ndio sasa imepatikana kutoka kwa waziri wake wa mambo ya nje
Wakati huo huo onyo hilo limekuja baada ya ziara ya Putin huko Belarus na ziara nyengine ya kushtukizia ya raisi wa Belarus huko Urujsi. Ziara hizo zimeambatana na harakati kubwa ya kupelekwa zana nzito za kivita kwenye mpaka wa Belarus na Ukraine zikiwemo ndege zenye uwezo wa kubeba makombora ya nyuklia.
wiki iliyopita raisi Zelensky naye alifanya ziara ya muda mfupi huko Mareknai ambako aliahidiwa kupatiwa makombora ya patriot ambayo ni maalum kwa kuyadungua makombora mengine yanayoelekea kutua kwenye yake.Makombora hayo yatachukua mpaka miezi 6 ijayo kuwasili humo muda sawa na unaohitajika kwa kutoa mafunzo kwa askari wa Ukraine watakayotakiwa kuyatumia.
You seem to overate the dictator Putin, he is not what you think he is. His days as a Russian strongman are quickly drawing to an end.Usiangalie tulikotoka kisia hali inavyoelekea kuharibika huko mbeleni.Kuna vitu vingi vimemkasirisha Putin na sasa huenda akaanza kutumia nguvu na mbinu za ziada kumaliza vita.Itakuwa ni hasara kubwa kwa Ukraine,Nato na sisi sote,
Anayetakiwa kuambiwa ni huyo dikiteta aache kuvamia ardhi ya watuInashangaza watu wake wameshindwa kumwambia.
Ndio. Baadhi ya Vitu vingi vilivyomkasirisha Putin ni pamoja na kufedheheka mbele ya Mataifa kwani ameshindwa kuiteka Ukraine kwa zaidi ya miezi 9 ilhali alijitapa ni 72hrs.Usiangalie tulikotoka kisia hali inavyoelekea kuharibika huko mbeleni.Kuna vitu vingi vimemkasirisha Putin na sasa huenda akaanza kutumia nguvu na mbinu za ziada kumaliza vita.Itakuwa ni hasara kubwa kwa Ukraine,Nato na sisi sote,
Mhh..Mbishi ni Putin kwani alishapewa conditions ili mambo ya vita yaishe lakini akakaza shingo. Aliambiwa mbambo matatu tu:Huyu rais qa ukrain sijui kwanini mbishi hivi? Si akubali tu yaishe kuliko hivi anafanya maisha yanakua magumu bila sababu
Na ndio mipango ya Putin.Sio kuziogopa tu ila ni kuchukua tahadhari na kuwahi katika vita.Kwenye vita si akili nzuri kusubiri adui yako mpaka akukaribie na unajuwa na keshatangaza anakuja kukuua.Akisema analeta ujumbe utamsubiria.
Hapo Urusi kwanza azifuatilie hizo patriot zikivuka mpaka tu basi aziripue bila kujali zinafanya kazi vizuri au vyenginevyo.
Mhh..Mbishi ni Putin kwani alishapewa conditions ili mambo ya vita yaishe lakini akakaza shingo. Aliambiwa mbambo matatu tu:
1. Aondoe majeshi yake ndani ya ardhi ya Ukraine
2. Akubali kufanya ukarabati wa miundombinu aliyoiharibu
3. Akubali kulipia Hasara iliyosababishwa na Uwepo wa majeshi yake(Uvamizi) ndani ya nchi ya Ukraine
Katika hali ya kawaida, hiwezekani jambazi akaingia ndani ya nyumba yako halafu akaanza kukupa masharti na wewe eti ukubaliane naye ili mambo yaishe. Si utapambana naye kufa na kupona? au wewe unasemaje mkuu?
Siku zote kiapo cha jeshi ni lazima upambane mpaka tone la mwisho na ukishindwa uuliwe vitani.Huyu rais qa ukrain sijui kwanini mbishi hivi? Si akubali tu yaishe kuliko hivi anafanya maisha yanakua magumu bila sababu