Ukraine yatangaza hali ya hatari

Haya wale warussia na wamerakani wa huku wamepata mjadala. Watu wataanza kufa kina puttin, bidden na familia zao wakiangalia kwenye

Halafu rais wa ukrain katoka ku tweet kwamba wananch watulie tuli ndani, keshaongea na Biden hivyo mambo yatakaa sawa.

Sasa ana uhakika gani kwamba Biden atapeleka jeshi lake kupambana na putin? Kwa ufupi tu Ukrain ndio ishaangka

Kiev imeshambuliwa kwenye Play station 4 au sio😂
Unadhani masihara. Mizigo bado inadondoshwa sehemu mbalimbali ya mji wa kiev na Odesa.

Kuna jamaa anasema lengo la russia ni kuiondoa serekali ya ukraine madarakani lakini anaamini hawatafanikiwa. Sababu eti kwa sasa waUkraine wamekuwa wamoja.
Wakati huo huo Putin ameonya kuwa ukraine wasijaribu kujibu mashambulizi. Maana watakutana na kitu ambacho hawajawahi kuona tangu kuumbwa kwa huu ulimwengu.
 
Mkuu Putin alisema haya au umeweka chumvi za kibongo..?
 
Ngoja tuone vibaraka wa marekan toka tanzania wanasema nini.
 
Wamarekani ndio wanaohoche vita hii, na Guterres hana nguvu yoyote ya kukemea Wamarekani kwa sababu ndio wanao finance UN kwa kiasi kikubwa. Marekani imesogeza wanajeshi wake pembezoni kabisa mwa majirani wa Urusi, lengo lao ni lipi?
 
Halafu rais wa ukrain katoka ku tweet kwamba wananch watulie tuli ndani, keshaongea na Biden hivyo mambo yatakaa sawa.

Sasa ana uhakika gani kwamba Biden atapeleka jeshi lake kupambana na putin? Kwa ufupi tu Ukrain ndio ishaanguka tayari.
Itakuwa hujaelewa nini Ukraine inataka. Ukraine haijawahi omba kusaidiwa wanajeshi, inao wa kwake kama 100,000 ikiongeza na conscripts inaweza hold muhimu inataka silaha hasa anti tank missiles ipambane yenyewe
 
Putin asijiamini sana maana kuna mataifa yapo vizuri ila hawajisifii tu. Marekani pekeyake anaweza kumunyoosha putin na dunia itashangaa
 
Yule mchekeshaji ni joker yani hajielewi
Yule ndio best President wa Ukraine tangu 2014 walivyobadilika hovyo. Hata ukiitisha uchaguzi leo anashinda mchana kweupe bila hata kampeni. Kuwa mchekeshaji haimaanishi hana akili, mbona Reagan alikuwa muigizaji na akawa Rais wa Marekani. Mbona Anold Schwarzenegger alikuwa Gavana wa California miaka zaidi ya kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…