Nato wahuni TU, wamemkimbia ukraine[emoji1787]Kama ni mimi najisalimisha kwa Putin... NATO wanakwambia mchokoze tutakusaidia, ukishachokoza wao wanakimbia [emoji1787][emoji1787]
Russia Yuko Pamoja na north Korea na mchinaVita huwa haianzi kwa uvamizi mmoja. Hitler alikuwa na jeshi kubwa mno akavamia Poland akaona mserereko, Japan ilivamia Asia nzima ikaona mserereko. Hata Russia imeanza na Ukraine, ukizidisha hapa Russia inapigwa na allies, hakuna ujanja wa superpower mmoja kupigana na superpowers
Serikali yetu bana et wanatoa ushauri mbona hata mimi nikiwa kijiji hapa nilipo naweza kutoa ushauri kama huoMambo sio mambo hukoView attachment 2129490
HahahaaaaSerikali yetu bana et wanatoa ushauri
HakikaHamna mzigo mkubwa kama kuwa kibaraka wa USA 🇺🇸
Usipendelee habari za Wahindi. They are very biased na huwa hawajui kufanya analysisView attachment 2129450
Ngoma iko live huko si masihara kumbe jamaa hatanii [emoji2307]
Imenikumbusha Tanzania na Vita ya idd amini.Sahivi ukishiriki vita hata Kama utashinda ila utakuwa umetenguliwa kiuno na miguu itakuchukua muda kuja kuviweka sawa hivi vitu na Kama unamaadui wengi,wengine wanasubiri ukiwa umetenguliwa wanaanza na wenyewe kukuhenyesha..[emoji23]
Mabomu yanalindima,Serikali yetu bana et wanatoa ushauri mbona hata mimi nikiwa kijiji hapa nilipo naweza kutoa ushauri kama huo
Halafu mbona mama hakemei upande wowote ye yupo bize kufungua nchi tu..😂Imenikumbusha Tanzania na Vita ya idd amini.
Tulishinda Vita,
Ila maisha baada ya Vita ulikua Ni msoto mkali Sana.
Enzi za kulishwa unga wa yanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Jpm alikua na falsafa za ujamaa na kuwachukia mabeberu.Chief unataka raia wetu wakashikishwe ukuta huko.
Umewasahau wazanzibari,Halafu mbona mama hakemei upande wowote ye yupo bize kufungua nchi tu..[emoji23]
Leo anaenda Dubai mwambieni awe makini hao raia wakianza kurusha madude yao huko juu,bado tunampenda mama yetu..[emoji4]
😂Umewasahau wazanzibari,
Hawanaga shida na mtu wakishashiba urojo[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmarekani hii Vita haimhusu kabisa,Angalieni msije mkamponza putin
Maana japokuwa marekani ana mikwara ila na uwezo pia anao, hilo msilisahau mkamchukulia kibonde
Lolote linaweza kutokea
Mimi sio mgeni kwenye hizi mambo mpaka nilete picha ambazo siyo. Hao ni WarusiUrusi hawavai hizi jezi mzee!
Hizi Jezi ni jeshi la Ukraine.
Haimuhusu kweli ila naye ni kama ana urafiki na ukraine, kama ambavyo nchi zingine ambazo hazihusiki na mgogoro huu still wanaiunga mkono ukraineMmarekani hii Vita haimhusu kabisa,
Biden mwnyw anaogopa kuingia front yasije yakamkuta yaliyomkuta Trump alipoingilia Vita ya Afghanistan na iran.
Wamarekan kuingia Kwny Vita isiyo na faida kwao Ni hasara kubwa Sana. Ukizingatia usa Hana maslahi yoyote kule Ukraine.
Ndo Maana Biden bado anaskilizia upepo, kwanza wa Wana NATO wenzie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapokei cm wala hajibu sms wakati huuMkuu mwambie classmate wako namsabhai kwa Jina la jamhuri ya kosoviet kazi na iendelee
Hapo ndipo nilikuwa namkupali huyo mzeeJpm alikua na falsafa za ujamaa na kuwachukia mabeberu.
Na watu Kama jpm marafiki zao walikua kin xi ping, Kim jong, na vladmir Putin[emoji4]
Jpm alikua hataki unyonge kabisa,
Ukiweka ya shingo, anakujibu na ya uso.
Unaukumbuka ule mgogoro na Kenya?
Jpm alikua anawajibu wakenya kwa vitendo na sio Maneno [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app