Ukraine yatangaza hali ya hatari

Ukraine yatangaza hali ya hatari

Mambo sio mambo huko
IMG-20220224-WA0073.jpg
 
Vita huwa haianzi kwa uvamizi mmoja. Hitler alikuwa na jeshi kubwa mno akavamia Poland akaona mserereko, Japan ilivamia Asia nzima ikaona mserereko. Hata Russia imeanza na Ukraine, ukizidisha hapa Russia inapigwa na allies, hakuna ujanja wa superpower mmoja kupigana na superpowers
Russia Yuko Pamoja na north Korea na mchina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahivi ukishiriki vita hata Kama utashinda ila utakuwa umetenguliwa kiuno na miguu itakuchukua muda kuja kuviweka sawa hivi vitu na Kama unamaadui wengi,wengine wanasubiri ukiwa umetenguliwa wanaanza na wenyewe kukuhenyesha..[emoji23]
Imenikumbusha Tanzania na Vita ya idd amini.

Tulishinda Vita,
Ila maisha baada ya Vita ulikua Ni msoto mkali Sana.

Enzi za kulishwa unga wa yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imenikumbusha Tanzania na Vita ya idd amini.

Tulishinda Vita,
Ila maisha baada ya Vita ulikua Ni msoto mkali Sana.

Enzi za kulishwa unga wa yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mbona mama hakemei upande wowote ye yupo bize kufungua nchi tu..😂
Leo anaenda Dubai mwambieni awe makini hao raia wakianza kurusha madude yao huko juu,bado tunampenda mama yetu..😊
 
Chief unataka raia wetu wakashikishwe ukuta huko.
Jpm alikua na falsafa za ujamaa na kuwachukia mabeberu.

Na watu Kama jpm marafiki zao walikua kin xi ping, Kim jong, na vladmir Putin[emoji4]

Jpm alikua hataki unyonge kabisa,
Ukiweka ya shingo, anakujibu na ya uso.

Unaukumbuka ule mgogoro na Kenya?
Jpm alikua anawajibu wakenya kwa vitendo na sio Maneno [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalieni msije mkamponza putin

Maana japokuwa marekani ana mikwara ila na uwezo pia anao, hilo msilisahau mkamchukulia kibonde

Lolote linaweza kutokea
Mmarekani hii Vita haimhusu kabisa,
Biden mwnyw anaogopa kuingia front yasije yakamkuta yaliyomkuta Trump alipoingilia Vita ya Afghanistan na iran.

Wamarekan kuingia Kwny Vita isiyo na faida kwao Ni hasara kubwa Sana. Ukizingatia usa Hana maslahi yoyote kule Ukraine.

Ndo Maana Biden bado anaskilizia upepo, kwanza wa Wana NATO wenzie.

Haimuhusu kweli ila naye ni kama ana urafiki na ukraine, kama ambavyo nchi zingine ambazo hazihusiki na mgogoro huu still wanaiunga mkono ukraine

Mimi bado sijajua alichokifanya putin ni haki au ni mwendelezo wa ubabe

Kama ni haki yake basi aachwe ila kama anatumia umwamba hapo sasa itafutwe namna ya ku solve ila sio milipuko ambayo damage yake ina exist kwa miaka mingi

Hili swala tunaweza tukaona ni ukraine na russia lakini linaweza kuwa spreaded tukajikuta tunaumia na sisi huku
 
Jpm alikua na falsafa za ujamaa na kuwachukia mabeberu.

Na watu Kama jpm marafiki zao walikua kin xi ping, Kim jong, na vladmir Putin[emoji4]

Jpm alikua hataki unyonge kabisa,
Ukiweka ya shingo, anakujibu na ya uso.

Unaukumbuka ule mgogoro na Kenya?
Jpm alikua anawajibu wakenya kwa vitendo na sio Maneno [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo nilikuwa namkupali huyo mzee
 
Back
Top Bottom