Ukraine yatangaza hali ya hatari

Ukraine yatangaza hali ya hatari

"I've seen with my own eyes the movement of tracked military vehicles on the streets of the city," said a resident of the Belarusian town of Khoyniki, in the southeastern corner of the country not far from the Ukrainian border, when asked about the Russian forces in his country for joint military exercises.

"The soldiers have settled in the surrounding forests," the local, who asked not to be identified, added. "They drink a lot and sell a lot of their diesel fuel. They are living in tents."

Ndio maana Finland iliishinda USSR battle zote za WW2 mpaka wakaondoka. Hata Empirial Russia ilishindwa hivi kwenye WW1 kwa kutokuwa serious na maisha ya kivita.
Jeshi disciplined na lisilo na kelele kama Finland na Poland hayawezi tishiwa na troops wa aina hii.

Nimeona mchambuzi mmoja wa Aljazeera anaamini Ukraine imefeli kwenye mobilization mpaka sasa. Haoni ile stamina na hisia kali za kumpiga adui labda watu washakuwa exhausted tangu 2014. Tunataka ile stamina waliyokuwa nayo Yugoslavia akina Serbia dhidi ya NATO mwishoni mwa 1990s
 
Yani wawe attacked halafu wasijibu mahsmbulizi?akili za wapi hizi?
Huku Ukraine wameseme wamedungua fighter jet moja ya Russia mashariki mwa Ukraine..
Sisi tushatungua Fighter Jet tunasubiri tutume ballistic missile pale Moscow Russia. Ujeruman ashafunga bomba la gesi.. Mambo yanaanza kuchanganya Russia akoseee atume Bomu pale ujeruman. Wajerumani ni watu wasiokuwa na maneno na wa kuanzisha Vita ya dunia ya pili, huyu akiguswa anaanzisha Vita ya tatu
Hahaha haha Hahahaha
 
IMG_4399.png

Ngoma iko live huko si masihara kumbe jamaa hatanii [emoji2307]
 
Hakuna mtu kwa sasa ana mpango wa kuushambulia Urusi. Ukraine yenyewe haina mpango wa kuwa offensive, inataka kuwe defensive tu wala sio kuingia mpakani ndani ya Urusi. Its very unlikely nchi yoyote itake kuivamia Urusi. Urusi kadri ninavyozidi kufatilia mienendo yao kwenye mgogoro huu ndio nazidi kuwaona wana jeshi la kawaida tofauti na nilivyowadhania. Jeshi la Urusi lilikutana na majeshi korofi yenye discipline na yenye chuki ya kihistoria dhidi ya Urusi kama Poland ilivyo I can bet Urusi wanafeli mapema kabisa kwenye conventional war.

Yani Urusi wamefanya mobilization ya wanajeshi wakawasogeza not more than 100km kutoka kwenye main battle station ila wanashindwa logistical support, maji safi na chakula ni pungufu wakati wanajeshi hawajakaa hata wiki na hakuna mapigano. Naweza amini intention ya maofisa ni kwamba wanajeshi watapambana wenyewe, that means looting. Huna logistics, utapiganaje na majeshi kama Uingereza ikitokea mkakutana
Asante sana mkuu huwa nakubali sana uchambuzi wako kuhusu mambo ya majeshi hasa unavyozichambua silaha
 
Hakuna mji uliopigwa ila kuna wasiwasi wa Urusi ataanza na uwanja wa ndege. Ila Putun my classmate na rafiki yangu wa karibu ameniambia anasubili kuona Marekani na NATO wataingilia? Wakiingilia tu basi Ukrain patasaulika kama palikuwa na viumbe hai hapo awali. "I can cause extinct in Ukrain my friend" na Hana wasiwasi kabisa kwani anajua wanamwogopa. Yy meiita ni mind war
Mkuu mwambie classmate wako namsabhai kwa Jina la jamhuri ya kosoviet kazi na iendelee
 
Unadhani masihara. Mizigo bado inadondoshwa sehemu mbalimbali ya mji wa kiev na Odesa.

Kuna jamaa anasema lengo la russia ni kuiondoa serekali ya ukraine madarakani lakini anaamini hawatafanikiwa. Sababu eti kwa sasa waUkraine wamekuwa wamoja.
Wakati huo huo Putin ameonya kuwa ukraine wasijaribu kujibu mashambulizi. Maana watakutana na kitu ambacho hawajawahi kuona tangu kuumbwa kwa huu ulimwengu.
Putin mtu mmoja smart Sana[emoji4]
Anakupiga bomu kweli, afu bado na mkwara nao anakuchimba usijaribu kujikuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu,
kwaSasa Kuna nchi Zina silaha za maangamizi.

Likipiwa bomu moja ardhi inageuzwa juu chini

Sent using Jamii Forums mobile app
Sahivi ukishiriki vita hata Kama utashinda ila utakuwa umetenguliwa kiuno na miguu itakuchukua muda kuja kuviweka sawa hivi vitu na Kama unamaadui wengi,wengine wanasubiri ukiwa umetenguliwa wanaanza na wenyewe kukuhenyesha..😂
 
Back
Top Bottom