MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
Wanajeshi wa Ukraine wamefanya uvamizi wa ghafla kwenye jimbo la Kursk nchini Urusi lililoko kwenye mpaka na jimbo la Summy la nchini Ukraine. Taarifa zinasema mpaka sasa wanajeshi wa Ukraine wamesonga mbele umbali wa 30km kutoka Mpaka wake na Urusi.
Mapigano yanaendelea huku taarifa zikionesha Magari ya Kivita na ndege za kivita za Ukraine zikizunguka ndani ya mji huo. Pia,Wanajeshi kadhaa wa Urusi wametekwa
Mapigano yanaendelea huku taarifa zikionesha Magari ya Kivita na ndege za kivita za Ukraine zikizunguka ndani ya mji huo. Pia,Wanajeshi kadhaa wa Urusi wametekwa