Ukraine yateka vitongoji vya Urusi kwenye jimbo la Kursk

Ukraine yateka vitongoji vya Urusi kwenye jimbo la Kursk

Unavyooandika ugoro wako hapa utafikiri upo kwenye battlefield
Mie nimeongea kulingana na nilichokiona aljazeera english na vyombo vingine vya habari.
Kama una hoja pinga kwa hoja sio kwa kuongea mipasho kama mwantumu.
 
Mie nimeongea kulingana na nilichokiona aljazeera english na vyombo vingine vya habari.
Kama una hoja pinga kwa hoja sio kwa kuongea mipasho kama mwantumu.
Vyombo vya habari muda huu vinaripot kuwa Ukraine inazidi kusonga mbele.
 
Vyombo vya habari muda huu vinaripot kuwa Ukraine inazidi kusonga mbele.
Mimi natizama aljazeera hapa sasa hivi hakuna sehemu waliposogea hao Ukraine hapo Kursk.
Ila advancement ipo Belgorod sio Kursk.
Walipokudanganya rudi wakakudanganye tena.
 
Takribani siku ya nne sasa Ukraine amekaa apo. Na sasa hivi naona taarifa ya habari inasema Ukraine anazidi kusonga mbele.
Warusi wa Mpitimbi walitabiri Ukraine ingepata pigo kubwa kwa huo Uvamizi huko Kursk lakini badala yake offensive inaendelea.
 
Warusi wa Mpitimbi walitabiri Ukraine ingepata pigo kubwa kwa huo Uvamizi huko Kursk lakini badala yake offensive inaendelea.
Offensive ndio inaendelea ila ni eneo la pale pale hawajafanya advancement popote.
Pia ukumbuke Ukraine nao wana jeshi hawana viazi aisee.
Hii vita pia Russia hapigani peke yake,kuanzia mwanzo wa vita mpaka vita ilipofikia Russia kapambana sana.
 
Ukraine wametekwa vijiji takribani 74 ndani ua Kursk, kivipi unasema hawafanyi advancement?....hujaona namna Urusi anavyohamisha raia waliopo huko?
 
Ukraine wametekwa vijiji takribani 74 ndani ua Kursk, kivipi unasema hawafanyi advancement?....hujaona namna Urusi anavyohamisha raia waliopo huko?
Hiyo habari ya lini mkuu!?
Vijiji vilivyotekwa raia walishahamishwa na ilikua ina wakazi elfu 75+.
Baada ya hapo wameganda hapo na mapigano yanaendelea hapo.
Sasa sijui hiyo habari ya advancement wewe umeipata lini mkuu.
 
NATO involvement Biden kasema ukweli, pili Ukraine hawana jeshi tena wote wamekufa, vilema au wamekimbia nchi, NATO members ndo wako front line na asikali wachache wa Ukraine wanaolazimishwa kuingia vitani, na hao asikali mamuluki hawawezi kutoka Russia, maana wameshazingilwa pande zote, supply chains imeshakatwa hawawezi kupata support toka nyuma, Sasa hivi wanaiba kila kitu kutoka kwenye majumba ya raia wa Russia ambao wamekimbia mapigano, wanaiba chakula, nguo, TV, kila kitu cha thamani wanapita nacho. Wote watafia kwenye ardhi ya Russia.
......Umezingirwa alafu unaiba nguo na Tv?..............
 
Back
Top Bottom