Mie nimeongea kulingana na nilichokiona aljazeera english na vyombo vingine vya habari.Unavyooandika ugoro wako hapa utafikiri upo kwenye battlefield
Kama una hoja pinga kwa hoja sio kwa kuongea mipasho kama mwantumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nimeongea kulingana na nilichokiona aljazeera english na vyombo vingine vya habari.Unavyooandika ugoro wako hapa utafikiri upo kwenye battlefield
Vyombo vya habari muda huu vinaripot kuwa Ukraine inazidi kusonga mbele.Mie nimeongea kulingana na nilichokiona aljazeera english na vyombo vingine vya habari.
Kama una hoja pinga kwa hoja sio kwa kuongea mipasho kama mwantumu.
Mimi natizama aljazeera hapa sasa hivi hakuna sehemu waliposogea hao Ukraine hapo Kursk.Vyombo vya habari muda huu vinaripot kuwa Ukraine inazidi kusonga mbele.
Mkuu, huyu jamaa anaponzwa na matambo yake!😂😂😂😂😂Hajashindwa kuzitumia mkuu,mbona hizo halo zinaua?
We huoni Ukraine ni GAZA iliyochangamka?
Warusi wa Mpitimbi walitabiri Ukraine ingepata pigo kubwa kwa huo Uvamizi huko Kursk lakini badala yake offensive inaendelea.Takribani siku ya nne sasa Ukraine amekaa apo. Na sasa hivi naona taarifa ya habari inasema Ukraine anazidi kusonga mbele.
Kabisa chief, hii vita imeifedhehesha UrusiInavyooneka ni kuwa Russia ni dude kubwa lakini jinga kabisa. Mikwara na mbwembwe kibao lakini linapigika kirahisi.
Mtu anasema silaha zimeshindwa kutumika ilhali Ukraine ina mahame kibao.Mkuu, huyu jamaa anaponzwa na matambo yake!
Offensive ndio inaendelea ila ni eneo la pale pale hawajafanya advancement popote.Warusi wa Mpitimbi walitabiri Ukraine ingepata pigo kubwa kwa huo Uvamizi huko Kursk lakini badala yake offensive inaendelea.
Ukraine wametekwa vijiji takribani 74 ndani ua Kursk, kivipi unasema hawafanyi advancement?....hujaona namna Urusi anavyohamisha raia waliopo huko?Offensive ndio inaendelea ila ni eneo la pale pale hawajafanya advancement popote.
Pia ukumbuke Ukraine nao wana jeshi hawana viazi aisee.
Hii vita pia Russia hapigani peke yake,kuanzia mwanzo wa vita mpaka vita ilipofikia Russia kapambana sana.
Hiyo habari ya lini mkuu!?Ukraine wametekwa vijiji takribani 74 ndani ua Kursk, kivipi unasema hawafanyi advancement?....hujaona namna Urusi anavyohamisha raia waliopo huko?
......Umezingirwa alafu unaiba nguo na Tv?..............NATO involvement Biden kasema ukweli, pili Ukraine hawana jeshi tena wote wamekufa, vilema au wamekimbia nchi, NATO members ndo wako front line na asikali wachache wa Ukraine wanaolazimishwa kuingia vitani, na hao asikali mamuluki hawawezi kutoka Russia, maana wameshazingilwa pande zote, supply chains imeshakatwa hawawezi kupata support toka nyuma, Sasa hivi wanaiba kila kitu kutoka kwenye majumba ya raia wa Russia ambao wamekimbia mapigano, wanaiba chakula, nguo, TV, kila kitu cha thamani wanapita nacho. Wote watafia kwenye ardhi ya Russia.