Ukraine yateka vitongoji vya Urusi kwenye jimbo la Kursk

Hili nililiongea toka juzi mkuu ila watu wakaniona mimi naropoka.
Alianza na evacuation ya raia wa hilo eneo,akaja na kuita kikosi cha anti terro task force.
kakomboa vitongoj? bia kusahau huu mwaka wa tatu vita vimeingia Urusi kutoma Ukraine
 
Kuna watu wengine kama 4by94 ni form four failure zero kabisa, 💯 hivyo kumwelewesha inabidi utumiye nguvu kidogo. Design za akina Nape ( four ya mwishoni mkiani kabisa) leo waziri, kweli kisa CCM.
yaan form four failure ameweza kuona kuwa Urusi amefeli kutoka kuwa km 11 kuiteka kiev hadi kupigna ndani ya ardhi yake , halaf wewe unajiona timamu kushabikia huu uozo , ukifika muda mtaanza sema Nato walishiriki
 
kakomboa vitongoj? bia kusahau huu mwaka wa tatu vita vimeingia Urusi kutoma Ukraine
Bro ni una matatizo ya uelewa ama niseme akili yako haiko sawa!?
Kwani unavyoona hizo picha Russia anajaribu kufanya nini kama sio kukomboa Kursk REGION??
Wakati mwingine kuwa mtu mzima kidogo basi.
Unavyoiona wewe Ukraine ina hali gani hadi sasa?
 
yaan form four failure ameweza kuona kuwa Urusi amefeli kutoka kuwa km 11 kuiteka kiev hadi kupigna ndani ya ardhi yake , halaf wewe unajiona timamu kushabikia huu uozo , ukifika muda mtaanza sema Nato walishiriki
Hiyo vita ilienda kwa kubadilisha malengo,Kyiev ni mji mkuu si rahisi kuuteka kama unavyodai.
Ila mpaka sasa Mariupol,Kharkiv,Donbas na Donetsk zipo chini ya miliki ya Russia.Hilo unaliongeleaje!??
Walichofanya Ukraine kuvamia Kursk wao wanataka kuihamisha vita Russia ili kupooza ukinzani ndani ya nchi yao.
Kwa shambulizi la counter offensive inawezekana ila je unaweza kuhimili hilo hadi mwisho!?
 
yaan form four failure ameweza kuona kuwa Urusi amefeli kutoka kuwa km 11 kuiteka kiev hadi kupigna ndani ya ardhi yake , halaf wewe unajiona timamu kushabikia huu uozo , ukifika muda mtaanza sema Nato walishiriki
NATO involvement Biden kasema ukweli, pili Ukraine hawana jeshi tena wote wamekufa, vilema au wamekimbia nchi, NATO members ndo wako front line na asikali wachache wa Ukraine wanaolazimishwa kuingia vitani, na hao asikali mamuluki hawawezi kutoka Russia, maana wameshazingilwa pande zote, supply chains imeshakatwa hawawezi kupata support toka nyuma, Sasa hivi wanaiba kila kitu kutoka kwenye majumba ya raia wa Russia ambao wamekimbia mapigano, wanaiba chakula, nguo, TV, kila kitu cha thamani wanapita nacho. Wote watafia kwenye ardhi ya Russia.
 
Attachments

  • Screenshot_20240814-123938.png
    Screenshot_20240814-123938.png
    330.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240814-123601.png
    Screenshot_20240814-123601.png
    256.5 KB · Views: 1
yaan form four failure ameweza kuona kuwa Urusi amefeli kutoka kuwa km 11 kuiteka kiev hadi kupigna ndani ya ardhi yake , halaf wewe unajiona timamu kushabikia huu uozo , ukifika muda mtaanza sema Nato walishiriki
Hilo eneo ambalo mamuluki wa NATO / Ukraine wanadai wameteka Kuna vijiji vichache, sehemu kubwa ni mashamba ndo maana walienda mpaka km 11 bila upinzani wowote, uko kote ni mashamba na misitu, kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kusema Ukraine wako serious. Na hao mamuluki hawawezi kurudi wakiwa hai. Tayari Putin kasema hakuna haja na kuchukuwa mateka maana wengi wao siyo Ukraine ni mamuluki toka NATO countries.
 
Attachments

  • Screenshot_20240814-130250.png
    Screenshot_20240814-130250.png
    495.3 KB · Views: 1
NATO involvement Biden kasema ukweli, pili Ukraine hawana jeshi tena wote wamekufa, vilema au wamekimbia nchi, NATO members ndo wako front line na asikali wachache wa Ukraine wanaolazimishwa kuingia vitani, na hao asikali mamuluki hawawezi kutoka Russia, maana wameshazingilwa pande zote, supply chains imeshakatwa hawawezi kupata support toka nyuma, Sasa hivi wanaiba kila kitu kutoka kwenye majumba ya raia wa Russia ambao wamekimbia mapigano, wanaiba chakula, nguo, TV, kila kitu cha thamani wanapita nacho. Wote watafia kwenye ardhi ya Russia.
Yote hayo unayoyalalamikia urusi amefanya sana ukraine kwahiyo wazoee tu na hali hiyo inayowakumba.
 
NATO involvement Biden kasema ukweli, pili Ukraine hawana jeshi tena wote wamekufa, vilema au wamekimbia nchi, NATO members ndo wako front line na asikali wachache wa Ukraine wanaolazimishwa kuingia vitani, na hao asikali mamuluki hawawezi kutoka Russia, maana wameshazingilwa pande zote, supply chains imeshakatwa hawawezi kupata support toka nyuma, Sasa hivi wanaiba kila kitu kutoka kwenye majumba ya raia wa Russia ambao wamekimbia mapigano, wanaiba chakula, nguo, TV, kila kitu cha thamani wanapita nacho. Wote watafia kwenye ardhi ya Russia.
Yote hayo unayoyalalamikia urusi amefanya sana ukraine kwahiyo wazoee tu na hali hiyo inayowakumba
 
Kati ya wanajeshi 1000 walioingia upande wa Russia, 945 wameshauwawa tayari, na vifaa mbalimbali vya kijeshi kuharibiwa kabisa. Hii itamupq nguvu Russia kuwapa silaha Ukraine mahasimu wa USA, UK na Israel. Uko middle east patachimbika sana.
Mkuu, atawapaje wenzie silaha wakati yeye mwenyewe ameshindwa kuzitumia?
 
😂😂😂😂😂Hajashindwa kuzitumia mkuu,mbona hizo hapo zinaua?
We huoni Ukraine ni GAZA iliyochangamka?
 
Sidhani kama wamebaki hata mmoja mwaka wa pili huu. Russia inapigana na mizimu nadhani 😁😁😁😁
Wapo wazee , wagonjwa na vichaa zelensky kawapeleka vitani ila pia nimewaona mamluki kutoka nchi za ufaransa ,marekani na Poland. Ndio hivyo Putin anawawahisha mbinguni kwa baba.
 
Back
Top Bottom