Ukraine yateka vitongoji vya Urusi kwenye jimbo la Kursk

Ukraine yateka vitongoji vya Urusi kwenye jimbo la Kursk

Hajateka maeneo mapigano yanaendelea na Russia kazidisha vikosi Kursk.
Tizama Al-Jazeera English mkuu jana vifaru vingi tu vya Ukraine vilishambuliwa na drone za Russia.
Ukraine ikipigwa na makombora ya ballistics na drones inadanganya kuwa imedungua 10 kati ya 12. Kyiv inachapika huku patriot zikibaki kama urembo tu.
 
Wanajeshi wa Ukraine wamefanya uvamizi wa ghafla kwenye jimbo la Kursk nchini Urusi lililoko kwenye mpaka na jimbo la Summy la nchini Ukraine. Taarifa zinasema mpaka sasa wanajeshi wa Ukraine wamesonga mbele umbali wa 30km kutoka Mpaka wake na Urusi.

Mapigano yanaendelea huku taarifa zikionesha Magari ya Kivita na ndege za kivita za Ukraine zikizunguka ndani ya mji huo. Pia,Wanajeshi kadhaa wa Urusi wametekwa
Tuna waambiaga russia bila nuke ni mweupe bora burundi wanaweza kutoa upinzani
 
Ndugu yao Putin aliombwa sana asifanye uvamizi, yeye akajifanya supa pawa wa special military operation ya wiki moja. Majuzi nimesikia anawaambia wanawake wazae watoto nane kwa vile idadi ya watu wa kujiunga na jeshi imepungua sana. Zaidi ya askari 300,000 kuuwawa ndani ya miaka mitatu tu siyo mchezo.
Alisikika mwenyekiti wa kijiwe cha kahawa Kagongwa-Kahama.
 
Tuna waambiaga russia bila nuke ni mweupe bora burundi wanaweza kutoa upinzani
Kipindi unasema hivyo huyo Russia kapigana vita nyingi za pekee yake na za Proxy na akashinda.
Muwe mna connect ubongo na ulimi kabla hamjaongea.
Mbona hakuwahi kutumia nukes katika hizo vita alizoshinda!?
Hiyo Kursk yenyewe imeporwa na Russia kutoka Ukraine na mbona hakutumia nukes?
Crimea alipopateka toka 2018 mbona hakutumia nukes!?
 
Warusi weusi sikilizeni kuanzia Alepo Syria,Mariupol hadi Bakhmut mbinu ya Urusi imekuwa ni kuharibu kila kitu cha raia(Civilian infrastructure) ili kumfukuza adui.Je Urusi itaharibu kila kitu kwenye miji na vijiji vyake ili kumtoa Ukraine? Je Putin atawaambia nini Warusi waliopinga vita kwa nguvu zote? Putin Yuko njia panda kutangaza vita kamili anaogopa Ukraine atakuwa huru kutuma makombora ya magharibi popote pale Urusi,Warusi watapanic,Uchumi utashake.Warusi sio wazuri wa Battlefield bila usaidizi wa mabomu.28 villages under Ukraine.Hata ukraiñe asiposhinda lakini ameshaonesha udhaifu wa Urusi
 
Warusi weusi sikilizeni kuanzia Alepo Syria,Mariupol hadi Bakhmut mbinu ya Urusi imekuwa ni kuharibu kila kitu cha raia(Civilian infrastructure) ili kumfukuza adui.Je Urusi itaharibu kila kitu kwenye miji na vijiji vyake ili kumtoa Ukraine? Je Putin atawaambia nini War7si waliopinga vita kwa nguvu zote? Putin Yuko njia panda kutangaza vita kamili anaogopa Ukraine atakuwa kutuma makombora magharibi popote pale Ukraine,Warusi watapanic,Uchumi utashake.Warusi sio wazuri wa Battlefield bila usaidizi wa mabomu.28 villages under Ukraine.Hata ukraiñe asiposhinda lakini ameshaonesha udhaifu wa Urusi
Na akideclare full scale war atakuwa na mashaka ya Ukraine kutembeza moto zaidi ndani ya Russia. Na hivi F16 zimeshakanyaga Ukraine ndo wasiwasi zaidi.
 
Na akideclare full scale war atakuwa na mashaka ya Ukraine kutembeza moto zaidi ndani ya Russia. Na hivi F16 zimeshakanyaga Ukraine ndo wasiwasi zaidi.
Putin amepanic hajawahi fikiria kama siku Moja ataanza kuitisha kikao na kumwita Ukraine mvamizi😂😂😂Atabaki kulaumu mara provocation mara Marekani.Kimsingi hii ni vita kamili ila Urusi anaogopa kutangaza full scale war maana Ukraine atapokea silaha nzito zaid hizi alizopewa
 
Kipindi unasema hivyo huyo Russia kapigana vita nyingi za pekee yake na za Proxy na akashinda.
Muwe mna connect ubongo na ulimi kabla hamjaongea.
Mbona hakuwahi kutumia nukes katika hizo vita alizoshinda!?
Hiyo Kursk yenyewe imeporwa na Russia kutoka Ukraine na mbona hakutumia nukes?
Crimea alipopateka toka 2018 mbona hakutumia nukes!?
Unasema?
 
Back
Top Bottom