Ukraine yateka vitongoji vya Urusi kwenye jimbo la Kursk

Ukraine yateka vitongoji vya Urusi kwenye jimbo la Kursk

📂List of settlements in Ukraine 🇺🇦Liberated in Russia's Kursk region last week

1. Sverdlikovo
2. Lebedevka
3. Nikolaevka-Darino
4. Nizhny Klin
5. Darino
6. Gogolevka
7. Rubanshchina
8. Olesya
9. Viktorovka
10. Gornal
11. Gevo
12. Kurilovka
13. Melovoy
14. Konyachi
15. Sudja
16. Goncharovka
17. Zaolechny
18. Bogdanovka
19. Kazakhstan Lokanya
20. Nikolsky
21. Lokya
22. Leonidovo
23. Zelenyi Shalayak
24. Novovanovka
25. Tolstoy Luke
26. Pokrovsky
27. Lyubimovka
28. Obukhovka
29. Malayloka

To be continued…

At least 18 settlements are disp
1723382864425.jpg
uted in the Kursk region.
🇺🇦🫡
 
Wanajeshi wa Ukraine wamefanya uvamizi wa ghafla kwenye jimbo la Kursk nchini Urusi lililoko kwenye mpaka na jimbo la Summy la nchini Ukraine. Taarifa zinasema mpaka sasa wanajeshi wa Ukraine wamesonga mbele umbali wa 30km kutoka Mpaka wake na Urusi.

Mapigano yanaendelea huku taarifa zikionesha Magari ya Kivita na ndege za kivita za Ukraine zikizunguka ndani ya mji huo. Pia,Wanajeshi kadhaa wa Urusi wametekwa
Nilijua tu, kuwa urusi lazima itapigwa maana magharibi hawataki kusikia fijo za kipumbavu za kikomunist. Urusi itapigwa na itafilisiwa vikali na ndio kupotea kwa putin
 
Russia ishaanza kulipa kisasi.
Ukraine Kyiev kumelipuliwa pia Drone za jeshi la Russia zimeanza kulipua vifaru vya Ukraine huko Kursk.
 
Kwa kuongezea ni kwamba urusi walichakazwa na kufurushwa huko

Kyiv 😇

Khakivu 😇

Kupyansk 😇

Izium 😇

Kheson 😇

Snake island 😇

Lyman 😇

Bryanklia😇

Mycolaiv 😇

Odessa 😇

List ni ndefu sana mkuu
Acha bange wewe.Hayo maeneo yote ukitoa Kyiev yapo CHINI YA MAPIGANO.
Mpaka sasa bado kuna mapigano hayajakombolewa,hauongei na mtoto mwenzako hapa sasa kijana!?
 
Mkuu mbona unazunguka sana!?
Nitajie eneo gani mpaka sasa Ukraine kalikomboa kutoka Russia!?
Nasubiri jibu hapo.
Pia naona HUELEWI NINACHOZUNGUMZA,Embu rudia kusoma tena.
Ukraine wako vizuri kwa counter offensive ila kumaintain mapigano muda mrefu huwa wanakosa hiko kitu kwasababu ya uhaba wa askari.
Embu rejelea walivyofanikiwa kupora maeneo dhidi ya Wagner kwa counter offensive,hadi bendera walichomoa.
Ila Wagner walipoongeza idadi ya kikosi Ukraine walikimbia tena lile eneo.
Narudia tena,the problem is not annexation but the problem is the maintaining of dominance to the annexation.
Usipoelewa hapo Kakojoe ulale.
vijana wa hv mna mchango mdogo kwa taifa , Urusi kutoka km 11 kuingia kiev hadi kurudishwa mipakani bado unataka nkujibu eneo lipi Ukraine kakomboa
 
Wanajeshi wa Ukraine wamefanya uvamizi wa ghafla kwenye jimbo la Kursk nchini Urusi lililoko kwenye mpaka na jimbo la Summy la nchini Ukraine. Taarifa zinasema mpaka sasa wanajeshi wa Ukraine wamesonga mbele umbali wa 30km kutoka Mpaka wake na Urusi.

Mapigano yanaendelea huku taarifa zikionesha Magari ya Kivita na ndege za kivita za Ukraine zikizunguka ndani ya mji huo. Pia,Wanajeshi kadhaa wa Urusi wametekwa
Supapawa ana hali mbaya kweli kweli
 
Back
Top Bottom