4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
counterfensive imefikaje mpk ndan ya urusi ? au Uru alikuwa hapigani waukraine wakaingia ndan ya Urusi kiulaini ?Counter offensive.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
counterfensive imefikaje mpk ndan ya urusi ? au Uru alikuwa hapigani waukraine wakaingia ndan ya Urusi kiulaini ?Counter offensive.
Normandy no tukio tofauti na Hitler kufika moscow,walipofika moscow wakubwa wakalimega jeshi na kulipeleka front nyingine,warusi walianzisha mkong'oto hapo mpaka Berlin,kwa kasi yake allies(usa,uk,france etc) wakaona mrusi atapata maujiko na kupora technology kuliko wao,wakaharakisha kwenda,mrusi alishamaliza kazi kitokea eastern frontAhahahahaha! Ebu tafuta kitu inaitwa "Normandy Landings".
Wabaki 55 na Bado waendelee kupigania siku ya nneKati ya wanajeshi 1000 walioingia upande wa Russia, 945 wameshauwawa tayari, na vifaa mbalimbali vya kijeshi kuharibiwa kabisa. Hii itamupq nguvu Russia kuwapa silaha Ukraine mahasimu wa USA, UK na Israel. Uko middle east patachimbika sana.
Hii ni vita Mzee death and survival are part of it.Ukraine imefanya kosa kuubwa sana.
walisubir nin kuwaacha wateke hilo eneo? kwamb wamestukizwa?Hakuna mtu atatoka hapo woote watauwawa
Ana akili za kitoto.Wabaki 55 na Bado waendelee kupigania siku ya nne
Hiyo kesho haifiki au tusubirie na wao Russia wapandishe bendera nyekundu yakulipa kisasi kama walivyofanya ndugu zao wa Iran?Hayo maeneo wanayaachia muda si mrefu.kesho tu wanaondoka hao kesho tu kudadeki.
Tupo hapa.
Lands kwa njia ya keyboardsHakuna mtu atatoka hapo woote watauwawa
Mashabiki wa Putin ni rahisi sana kudanganyika.Wabaki 55 na Bado waendelee kupigania siku ya nne
Takribani siku ya nne sasa Ukraine amekaa apo. Na sasa hivi naona taarifa ya habari inasema Ukraine anazidi kusonga mbele.Hiyo kesho haifiki au tusubirie na wao Russia wapandishe bendera nyekundu yakulipa kisasi kama walivyofanya ndugu zao wa Iran?
Ukraine imefanya uthubutu wa hali ya juu saana, yamkini hii imesababishwa na ukaribu wa Russia na Iran. Wakahisi Russia anaweza akaipa Iran kiburi zaidi, ili kumzima wakahamishia vita nyumbani kwake.Check msafara wa warusi uliokuwa ulienda kwenye reinforcement huko Kursk ulivyochakazwa View attachment 3065767View attachment 3065768View attachment 3065769
Ahahahahaha!!!Normandy no tukio tofauti na Hitler kufika moscow,walipofika moscow wakubwa wakalimega jeshi na kulipeleka front nyingine,warusi walianzisha mkong'oto hapo mpaka Berlin,kwa kasi yake allies(usa,uk,france etc) wakaona mrusi atapata maujiko na kupora technology kuliko wao,wakaharakisha kwenda,mrusi alishamaliza kazi kitokea eastern front
Mkuu tusiongee kama tumeshiba Makande ama ubwabwa na maharagwe.Hiyo kesho haifiki au tusubirie na wao Russia wapandishe bendera nyekundu yakulipa kisasi kama walivyofanya ndugu zao wa Iran?
Hato maintain dominance ya hilo eneo.Ukraine imefanya uthubutu wa hali ya juu saana, yamkini hii imesababishwa na ukaribu wa Russia na Iran. Wakahisi Russia anaweza akaipa Iran kiburi zaidi, ili kumzima wakahamishia vita nyumbani kwake.
Na toka Russia apigwe kwake, Iran akatangaza hatolipa kisasi kwa Israel. Mimi natamani sana kuona Ukraine akiendeleza mashambulizi hapo hapo kwenye ardhi ya Russia.
Mkuu mbona unazunguka sana!?hv unajuwa hata raman ya eneo lenye mapigano mpk sasa ? hv unajuwa Urusi alikuwa kakamata eneo gan kwa feb 2022 je unahisi hao wanajeshi na vifaru vyao walipitia wap kufika mpk mpakani ? au unahisi walishushwa na chopa mpk ndani ya maeneo ya Urusi