Tulisema hana nguvu za kuhimili kupambana na Urusi hata kwa mwezi ila sasa hivi ni miaka inakatika.Ila ukweli Ukraine sio mda eneo hilo analiacha
Sisi tubaki kuona tu mchezo anaocheza mzungu hapo Ukraine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulisema hana nguvu za kuhimili kupambana na Urusi hata kwa mwezi ila sasa hivi ni miaka inakatika.Ila ukweli Ukraine sio mda eneo hilo analiacha
Mwezi huanda na siku.Hayo maeneo wanayaachia muda si mrefu.kesho tu wanaondoka hao kesho tu kudadeki.
Tupo hapa.
Yah, tutajua nini hasa kipo nyuma ya hili shambulizi la kuteka ardhi ya Urusi.Tatizo ni kwamba wanajeshi wote walio vuka mpaka kuingia ndani ya Urusi hakuna atakaye toka akiwa hai wote watauawa .
Sema wao Ukraine watakuwa na maana yao kuanzisha operation hiyo maana wao wanajua zaidi kuhusu vita kuliko sisi.
Urusi mpaka leo anakiri usaidizi wa silaha za USA ziliwasaidia kushinda hii vita.Marekani hakuhusika.
Hapa ndipo naanza kuelewa maana ya ubaya ubwela 😄😄😄Wanajeshi wa Ukraine wamefanya uvamizi wa ghafla kwenye jimbo la Kursk nchini Urusi lililoko kwenye mpaka na jimbo la Summy la nchini Ukraine. Taarifa zinasema mpaka sasa wanajeshi wa Ukraine wamesonga mbele umbali wa 30km kutoka Mpaka wake na Urusi.
Mapigano yanaendelea huku taarifa zikionesha Magari ya Kivita na ndege za kivita za Ukraine zikizunguka ndani ya mji huo. Pia,Wanajeshi kadhaa wa Urusi wametekwa
Kuna jamaa zangu kwenye grupu moja la Watsap, yaani ikitokea hoja ya kuwaponda Russia lazima waitane kuja kuitetea kwa nguvu zao zote. Sometimes huwa wananipa mashaka sana juu ya uanaume wao.Your face when you realize Ukraine has taken more Russian land in three days than Russia managed to seize all yearView attachment 3064961
WAlikua wana mchanganya sasa kajichanganya wamekuja mazima na kifurushi kimetumwa na kitaongezwa russia anashushwa kwa akili mazeeUkraine wanatembeza kipondo heavy View attachment 3064819
uchawa asili ya mtz , wenzio wanapambanakwamba jeshi la hovyo la Ukraine limeteka maeneo ya mbabe Russia... Jeshi la Russia ni kubwa jinga
hv siku nyingine Urusi atajaribu kuvamia tena kizembe? resistance ni muhimuIla ukweli Ukraine sio mda eneo hilo analiacha
unahis walipaa kufika hapo? tumia akili na sio ushabikiHayo maeneo wanayaachia muda si mrefu.kesho tu wanaondoka hao kesho tu kudadeki.
Tupo hapa.
Chanzo..?Kati ya wanajeshi 1000 walioingia upande wa Russia, 945 wameshauwawa tayari, na vifaa mbalimbali vya kijeshi kuharibiwa kabisa. Hii itamupq nguvu Russia kuwapa silaha Ukraine mahasimu wa USA, UK na Israel. Uko middle east patachimbika sana.
Wachambuzi wengi wanasema kutokana na Ukraine kuzidiwa kwenye msitari wa mbele ,imeamuwa kuanzisha uvamizi kwenye mpaka wa Urusi ili Urusi ilazimike kupunguza wanajeshi wake kwenye msitari wa mbele wa vita kwa ajili ya kwenda kulinda mipaka ya Urusi.Yah, tutajua nini hasa kipo nyuma ya hili shambulizi la kuteka ardhi ya Urusi.
Wachambuzi wengi wanasema kutokana na Ukraine kuzidiwa kwenye msitari wa mbele ,imeamuwa kuanzisha uvamizi kwenye mpaka wa Urusi ili Urusi ilazimike kupunguza wanajeshi wake kwenye msitari wa mbele wa vita kwa ajili ya kwenda kulinda mipaka ya Urusi.
Lakini hilo sidhani kama litatokea kwa sababu mpaka sasa Urusi ina zaidi ya 700,000 ambao hawapo vitani.
Defence ministry of RussiaChanzo..?
Siongei ushabiki natumia akili vema sana.unahis walipaa kufika hapo? tumia akili na sio ushabiki