Ukraine yateka vitongoji vya Urusi kwenye jimbo la Kursk

Wanajeshi wa Ukraine wamefanya uvamizi wa gafla kwenye jimbo la Kursk nchini Urusi lililoko kwenye mpaka na jimbo la Summy la nchini Ukraine. Taarifa zinasema,mpaka sasa wanajeshi wa Ukraine wamesonga mbele umbali wa 30km kutoka Mpaka wake na Urusi. Mapigano yanaendelea huku taarifa zikionesha Magari ya Kivita na ndege za kivita za Ukraine zikizunguka ndani ya mji huo. Pia,Wanajeshi kadhaa wa Urusi wametekwa
SAFI UKRENI HONGERAAAAAA
 
Wanajeshi wa Ukraine wamefanya uvamizi wa ghafla kwenye jimbo la Kursk nchini Urusi lililoko kwenye mpaka na jimbo la Summy la nchini Ukraine. Taarifa zinasema mpaka sasa wanajeshi wa Ukraine wamesonga mbele umbali wa 30km kutoka Mpaka wake na Urusi.

Mapigano yanaendelea huku taarifa zikionesha Magari ya Kivita na ndege za kivita za Ukraine zikizunguka ndani ya mji huo. Pia,Wanajeshi kadhaa wa Urusi wametekwa
Hayo maeneo wanayaachia muda si mrefu.kesho tu wanaondoka hao kesho tu kudadeki.
Tupo hapa.
 
Putin kitendo cha kwenda kuomba msaada hadi kwa wakina kiduku ilikuwa ni kujicholesha.
Kwamba urusi wameishiwa nguvu na akili,

na putin asipo kaa sawa huu ndio inaweza ikawa mwisho wake na serikali ya wakina Biden wapenda vita ndio inafika mwisho na hawawezi kukubali waiache urusi inaendelea kutamba.
 
Ndugu yao Putin aliombwa sana asifanye uvamizi, yeye akajifanya supa pawa wa specvial military operation ya wiki moja. Majuzi nimesikia anawaambia wanawakem waze watoto nane kwa vile idadi ya watu wa kujiunga na jeshi imepungua sana. Zaidi ya askari 300,000 kuuwawa ndani ya miaka mitatu tu siyo mchezo.
Magufuli alipokua anasema watu wazae idadi ya watu ilikua imepungua?. Urusi eneo lao nikubwa kulinganisha na idadi yao nahio ndio sababu kubwa.
 
Wanajeshi wa Ukraine wamefanya uvamizi wa ghafla kwenye jimbo la Kursk nchini Urusi lililoko kwenye mpaka na jimbo la Summy la nchini Ukraine. Taarifa zinasema mpaka sasa wanajeshi wa Ukraine wamesonga mbele umbali wa 30km kutoka Mpaka wake na Urusi.

Mapigano yanaendelea huku taarifa zikionesha Magari ya Kivita na ndege za kivita za Ukraine zikizunguka ndani ya mji huo. Pia,Wanajeshi kadhaa wa Urusi wametekwa

View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1821765897888907455?t=WgozAa4k28_zCjVzjdX9DQ&s=19
 
Wanajeshi wa Ukraine wamefanya uvamizi wa ghafla kwenye jimbo la Kursk nchini Urusi lililoko kwenye mpaka na jimbo la Summy la nchini Ukraine. Taarifa zinasema mpaka sasa wanajeshi wa Ukraine wamesonga mbele umbali wa 30km kutoka Mpaka wake na Urusi.

Mapigano yanaendelea huku taarifa zikionesha Magari ya Kivita na ndege za kivita za Ukraine zikizunguka ndani ya mji huo. Pia,Wanajeshi kadhaa wa Urusi wametekwa
ALISEMA FY-16 ATAZILIPUA KABLA HAZIJAANZA KAZI ,ZIMETUA TANGU WIKI ILIYOPITA NA ZIMEANZA KUPIGA MZIGO,AKADAI URUSI IKIGUSWA ATAAMSHA NYUKLIA TUONE KWA HILI KAMA ANA LA KUFANYA
 
Ndugu yao Putin aliombwa sana asifanye uvamizi, yeye akajifanya supa pawa wa specvial military operation ya wiki moja. Majuzi nimesikia anawaambia wanawakem waze watoto nane kwa vile idadi ya watu wa kujiunga na jeshi imepungua sana. Zaidi ya askari 300,000 kuuwawa ndani ya miaka mitatu tu siyo mchezo.
Tatizo ni kwamba wanajeshi wote walio vuka mpaka kuingia ndani ya Urusi hakuna atakaye toka akiwa hai wote watauawa .
Sema wao Ukraine watakuwa na maana yao kuanzisha operation hiyo maana wao wanajua zaidi kuhusu vita kuliko sisi.
 
Back
Top Bottom