Ukraine yateka vitongoji vya Urusi kwenye jimbo la Kursk

Wanajeshi wa Ukraine wamefanya uvamizi wa ghafla kwenye jimbo la Kursk nchini Urusi lililoko kwenye mpaka na jimbo la Summy la nchini Ukraine. Taarifa zinasema mpaka sasa wanajeshi wa Ukraine wamesonga mbele umbali wa 30km kutoka Mpaka wake na Urusi.

Mapigano yanaendelea huku taarifa zikionesha Magari ya Kivita na ndege za kivita za Ukraine zikizunguka ndani ya mji huo. Pia,Wanajeshi kadhaa wa Urusi wametekwa
Kati ya wanajeshi 1000 walioingia upande wa Russia, 945 wameshauwawa tayari, na vifaa mbalimbali vya kijeshi kuharibiwa kabisa. Hii itamupq nguvu Russia kuwapa silaha Ukraine mahasimu wa USA, UK na Israel. Uko middle east patachimbika sana.
 
Attachments

  • Screenshot_20240809-142309.png
    Screenshot_20240809-142309.png
    291.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240809-141933.png
    Screenshot_20240809-141933.png
    75.2 KB · Views: 3
Wameishamaliza kazi na kurudi wewe unasemaje hawatarudi.
Ww habari ya kumaliza kazi na kurudi umeitoa wapi?
Saa7 DW wamelipoti kuwa uvamizi unaendelea na nusu ya wavamizi wamesha uawa mpaka sasa.
Na hii sio mara ya kwanza kwa wavamizi kutoka Ukraine kuvuka mpaka nadhani hii ni mara ya 3 sema awamu hii uvamizi ni mkubwa kidogo.
 
Tatizo ni kwamba wanajeshi wote walio vuka mpaka kuingia ndani ya Urusi hakuna atakaye toka akiwa hai wote watauawa .
Sema wao Ukraine watakuwa na maana yao kuanzisha operation hiyo maana wao wanajua zaidi kuhusu vita kuliko sisi.
Kwahiyo kama wao ndio wanaojua sasa hili lá kusema wote watauwawa kwa kukingia urusi ina maaana gani?
 
Ww habari ya kumaliza kazi na kurudi umeitoa wapi?
Saa7 DW wamelipoti kuwa uvamizi unaendelea na nusu ya wavamizi wamesha uawa mpaka sasa.
Na hii sio mara ya kwanza kwa wavamizi kutoka Ukraine kuvuka mpaka nadhani hii ni mara ya 3 sema awamu hii uvamizi ni mkubwa kidogo.
 
Attachments

  • IMG_2963.png
    IMG_2963.png
    781.6 KB · Views: 2
Putinnya kubwa jinga utasikia soon likisema russia ina nyuklia, russia ina nyuklia😆😅🤣😂
Aseme mara ngapi, wakati Ukraine ikionyesha dalili za ku occupy hilo eneo alisema wanachofanya Ukraine ni kujaribu kulazimisha matumizi ya Nuclear😅, sababu haya hilo eneo lina Nuclear inayotumika kuzalisha umeme😅
 
Putin kitendo cha kwenda kuomba msaada hadi kwa wakina kiduku ilikuwa ni kujicholesha.
Kwamba urusi wameishiwa nguvu na akili,

na putin asipo kaa sawa huu ndio inaweza ikawa mwisho wake na serikali ya wakina Biden wapenda vita ndio inafika mwisho na hawawezi kukubali waiache urusi inaendelea kutamba.
Operation maalum ya kuomba hadi msaada zaidi wa kijeshi kutoka kwa akina viduku
 
Kati ya wanajeshi 1000 walioingia upande wa Russia, 945 wameshauwawa tayari, na vifaa mbalimbali vya kijeshi kuharibiwa kabisa. Hii itamupq nguvu Russia kuwapa silaha Ukraine mahasimu wa USA, UK na Israel. Uko middle east patachimbika sana.
Na wewe soma hapa kuhusu uwongo huo. Kwa akili yako hata kama imedumaa nawe unakubali kuwa Askari 945 wameuwawa kati ya 1000 hivyo kubakiza 55 tu? je kwa nini waendelee na mapigano tena kwani huo ni ushinfi outright?
 
Attachments

  • IMG_2963.png
    IMG_2963.png
    781.6 KB · Views: 3
Kwahiyo kama wao ndio wanaojua sasa hili lá kusema wote watauwawa kwa kukingia urusi ina maaana gani?
Kwa hiyo ww kwa akili yako unaweza kufanya uvamizi dhidi ya mipaka ya nchi nyingine kwa wanajeshi 1000 na magari 20 alafu utegemee warudi salama?hata ungeivamia Somalia?
 
Na wewe soma hapa kuhusu uwongo huo. Kwa akili yako hata kama imedumaa nawe unakubali kuwa Askari 945 wameuwawa kati ya 1000 hivyo kubakiza 55 tu? je kwa nini waendelee na mapigano tena kwani huo ni ushinfi outright?
Kwani hii ni mara ya kwanza kwa wavamizi kuingia ndani ya Urusi?
 
Na wewe soma hapa kuhusu uwongo huo. Kwa akili yako hata kama imedumaa nawe unakubali kuwa Askari 945 wameuwawa kati ya 1000 hivyo kubakiza 55 tu? je kwa nini waendelee na mapigano tena kwani huo ni ushinfi outright?
Propagandas za west, hivi kwa akili zako asikali 1000 wanaweza kufanya chochote kama siyo wendawazimu wa kutafuta kifo cha kujitakia ( commit suicide).
 
Wanajeshi wa Ukraine wamefanya uvamizi wa ghafla kwenye jimbo la Kursk nchini Urusi lililoko kwenye mpaka na jimbo la Summy la nchini Ukraine. Taarifa zinasema mpaka sasa wanajeshi wa Ukraine wamesonga mbele umbali wa 30km kutoka Mpaka wake na Urusi.

Mapigano yanaendelea huku taarifa zikionesha Magari ya Kivita na ndege za kivita za Ukraine zikizunguka ndani ya mji huo. Pia,Wanajeshi kadhaa wa Urusi wametekwa
Wamebeep fire,wameishia kupoteza wanajeshi 660 kati ya around 1000 walioingia Kursk.Wanajutia ujinga waliofanya,lengo ni kutrend kwamba wameingia Russia,mwisho wa siku wameishia kufa.Brothers Russia is a war machine in Trump voice,walishinda vita zidi ya Hitler,Musolini n.k.Russia hatashindwa hiyo vita hata iweje!
 
Back
Top Bottom