Hiyo ni vita unatarajia waondoke kwa siku moja!?kwahiyo Urusi kawafurusha Ukraine ndani ya Urusi ?
Wewe subiri vita iendelee kesha uone matokeo yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni vita unatarajia waondoke kwa siku moja!?kwahiyo Urusi kawafurusha Ukraine ndani ya Urusi ?
Ukraine ishapokea silaha imeshapokea silaha nzito za aina zote labda bado nuclear ndio hawajapokea.Warusi weusi sikilizeni kuanzia Alepo Syria,Mariupol hadi Bakhmut mbinu ya Urusi imekuwa ni kuharibu kila kitu cha raia(Civilian infrastructure) ili kumfukuza adui.Je Urusi itaharibu kila kitu kwenye miji na vijiji vyake ili kumtoa Ukraine? Je Putin atawaambia nini Warusi waliopinga vita kwa nguvu zote? Putin Yuko njia panda kutangaza vita kamili anaogopa Ukraine atakuwa huru kutuma makombora ya magharibi popote pale Urusi,Warusi watapanic,Uchumi utashake.Warusi sio wazuri wa Battlefield bila usaidizi wa mabomu.28 villages under Ukraine.Hata ukraiñe asiposhinda lakini ameshaonesha udhaifu wa Urusi
kwan walifikaje hapo ? au walitembea kutokea kyiev mpk kursk ?Hiyo ni vita unatarajia waondoke kwa siku moja!?
Wewe subiri vita iendelee kesha uone matokeo yake.
wamepokea washatumia ndan ya urusi ? Urusi kashatumia zake zote ndan ya UkraineUkraine ishapokea silaha imeshapokea silaha nzito za aina zote labda bado nuclear ndio hawajapokea.
Ila hakuna silaha ambayo Ukraine hawajapokea kutoka Western powers.
Hiyo vita inayoendelea sasa hivi ni tayari full out war labda kama haujui maana ya full out war.
Mkuu nahisi naongea na kichaa uwe na wakati mwema.kwan walifikaje hapo ? au walitembea kutokea kyiev mpk kursk ?
Unataka nikuletee ripoti ya maeneo ndani ya Urusi yaliyoshambuliwa na makombora ya Ukraine!?wamepokea washatumia ndan ya urusi ? Urusi kashatumia zake zote ndan ya Ukraine
Mkuu hata robo ya Silaha nzito Haina.Hajapokea cluster bombs,long range missiles labda ant- air missiles lakini Hana silaha za maangamizi.Ukraine ishapokea silaha imeshapokea silaha nzito za aina zote labda bado nuclear ndio hawajapokea.
Ila hakuna silaha ambayo Ukraine hawajapokea kutoka Western powers.
Hiyo vita inayoendelea sasa hivi ni tayari full out war labda kama haujui maana ya full out war.
😂😂😂😂Bro katizame silaha alizopewa Ukraine halafu uone.Mkuu hata robo ya Silaha nzito Haina.Hajapokea cluster bombs,long range missiles labda ant- air missiles lakini Hana silaha za maangamizi.
Kuna watu wengine kama 4by94 ni form four failure zero kabisa, 💯 hivyo kumwelewesha inabidi utumiye nguvu kidogo. Design za akina Nape ( four ya mwishoni mkiani kabisa) leo waziri, kweli kisa CCM.Mkuu nahisi naongea na kichaa uwe na wakati mwema.
Anazo mpaka silaha za sumu kapiga hapo kuskMkuu hata robo ya Silaha nzito Haina.Hajapokea cluster bombs,long range missiles labda ant- air missiles lakini Hana silaha za maangamizi.
Wewe naye ni mgonjwa.😂😂😂😂Bro katizame silaha alizopewa Ukraine halafu uone.
Mkuu hata robo ya Silaha nzito Haina.Hajapokea cluster bombs,long range missiles labda ant- air missiles lakini Hana silaha za maangamizi.
wamepokea washatumia ndan ya urusi ? Urusi kashatumia zake zote ndan ya Ukraine
Sikweli.Ukraine ishapokea silaha imeshapokea silaha nzito za aina zote labda bado nuclear ndio hawajapokea.
Ila hakuna silaha ambayo Ukraine hawajapokea kutoka Western powers.
Hiyo vita inayoendelea sasa hivi ni tayari full out war labda kama haujui maana ya full out war.
Ni wewe unasema ila huo ndio ukweli.Sikweli.
Naona wamefanya Suicide mission.
we mtu una ttzo mahala sio bureUnataka nikuletee ripoti ya maeneo ndani ya Urusi yaliyoshambuliwa na makombora ya Ukraine!?
Au unajisahaulisha aisee!?
Vijiji vya mipakani na Russia si vilishambuliwa mwaka huu?