MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
pia wao wanafaa waivamie russia ilivyo vamia nchi yao hongera sana UKRAINEWanajeshi wa Ukraine wamefanya uvamizi wa gafla kwenye jimbo la Kursk nchini Urusi lililoko kwenye mpaka na jimbo la Summy la nchini Ukraine. Taarifa zinasema,mpaka sasa wanajeshi wa Ukraine wamesonga mbele umbali wa 30km kutoka Mpaka wake na Urusi. Mapigano yanaendelea huku taarifa zikionesha Magari ya Kivita na ndege za kivita za Ukraine zikizunguka ndani ya mji huo. Pia,Wanajeshi kadhaa wa Urusi wametekwa
kwamba jeshi la hovyo la Ukraine limeteka maeneo ya mbabe Russia... Jeshi la Russia ni kubwa jingaWanajeshi wa Ukraine wamefanya uvamizi wa gafla kwenye jimbo la Kursk nchini Urusi lililoko kwenye mpaka na jimbo la Summy la nchini Ukraine. Taarifa zinasema,mpaka sasa wanajeshi wa Ukraine wamesonga mbele umbali wa 30km kutoka Mpaka wake na Urusi. Mapigano yanaendelea huku taarifa zikionesha Magari ya Kivita na ndege za kivita za Ukraine zikizunguka ndani ya mji huo. Pia,Wanajeshi kadhaa wa Urusi wametekwa
Putinnya kubwa jinga utasikia soon likisema russia ina nyuklia, russia ina nyuklia😆😅🤣😂Your face when you realize Ukraine has taken more Russian land in three days than Russia managed to seize all yearView attachment 3064961
Putin ana Jeshi ?kwa akili yako jeshi linalouwa watoto na Wana wake badala lipambane na Jeshi linaharibu shule hospitalkwamba jeshi la hovyo la Ukraine limeteka maeneo ya mbabe Russia... Jeshi la Russia ni kubwa jinga
Tena Ukraine kafanya mwenyewe bila ht usaidizi ,mpk zile nchi ambazo Huwa zinamsaidia zimeshtuka😄Kibao kimegueka sasa! Dikteta putin mvamizi sasa amevamiwa yeye
Ndugu yao Putin aliombwa sana asifanye uvamizi, yeye akajifanya supa pawa wa special military operation ya wiki moja. Majuzi nimesikia anawaambia wanawake wazae watoto nane kwa vile idadi ya watu wa kujiunga na jeshi imepungua sana. Zaidi ya askari 300,000 kuuwawa ndani ya miaka mitatu tu siyo mchezo.Warusi wa Usinge na Buhongwa huwezi waona hapa
Hii habari nimeona skynews 🤔Wanajeshi wa Ukraine wamefanya uvamizi wa gafla kwenye jimbo la Kursk nchini Urusi lililoko kwenye mpaka na jimbo la Summy la nchini Ukraine. Taarifa zinasema,mpaka sasa wanajeshi wa Ukraine wamesonga mbele umbali wa 30km kutoka Mpaka wake na Urusi. Mapigano yanaendelea huku taarifa zikionesha Magari ya Kivita na ndege za kivita za Ukraine zikizunguka ndani ya mji huo. Pia,Wanajeshi kadhaa wa Urusi wametekwa