Tatizo mnapayuka bila kujua vigezo na masharti ya kujiunga na NATO!Moja ya condition ni nchi muombaji kutokuwa vitani!Urusi haina jeuri tena, ukichangia na wanajeshi wao wanavyokufa huko vitani; sasa NATO wataingia rasmi kumsaidia mwanachama wao kama sera zao zinavyoelekeza.
Ila Erdogan siyo wa kumuwekea shilingi....mara nyingi namuona kama msukumwa upepo!Putin alimsaidia sana Rais wa Uturuki hasipinduliwe na CIA, kumbukeni Uturuki haiwezi kulisahau hilo.
Wenye maamuzi ni watu, na wanaobadilisha sera ni watu; lolote linawezekana chini ya juaTatizo mnapayuka bila kujua vigezo na masharti ya kujiunga na NATO!Moja ya condition ni nchi muombaji kutokuwa vitani!
So Ukraine kukubalika NATO na kuwa member ni baada ya vita!
hakuna jimbo lililoenda ukraine wanamiliki nchi yao 100%
Kwahiyo sera zibadilike kwasababu ya Ukraine na warisk Nuclear war ambayo itakuwa world war III?Mataifa ya Ulaya hayawezi kufanya Ujinga Huo!Wenye maamuzi ni watu, na wanaobadilisha sera ni watu; lolote linawezekana chini ya jua
Nakubaliana na hoja yako, lakini kiini cha mzozo ni kutaka kujiunga NATO, mpaka sasa anapata msaada kutoka NATO; haya mengine ni 'documentation' tuLakin kipengele kimoja wapo ni kwamba mwanachama mpya asiwe kwenye active mzozo ajiunge akiwa hana nzozo
Kama ambavyo Dunia inatambua Crimea ni Ukraine?Hili ndio lililopo, majimbo hayo yameenda kichwani kwa putin tuu lakin sio kwa dunia nzima inatambua ni ukraine
Putin na ujinga wake hawezi kubali kufanya kosa la hivi.Kama hujui Ndugu hiyo mobilization haikuwa kwa ajili ya Ukraine Bali ni Vita inayokuja dhidi ya NATO...na mobilization siyo 300,000 Bali ni zaidi ya milioni moja...
Maombi ya Nato ilikuwa bado yale ya kwanza ni kujiunga na EUKwani yale maombi ya kwanza hayakupokelewa
Kushambulia ile miji ya iliyopiga kura za mchongo ni kushambulia Urusi lakini kushambulia Ukrean ni kuishambulia NATO, mana ombi ndio liko mezani NATO wanataka kulifanyia kazi., Natazamia taifa la Russia kubaki history tu kwenye ulimwengu huuOfficially comfirmed by ukraine president zelensky.
===========
KYIV, Sept 30 (Reuters) - President Volodymyr Zelenskiy said on Friday Ukraine was formally applying for fast-track membership of the NATO military alliance and that Kyiv was ready for talks with Moscow, but not with President Vladimir Putin.
The Ukrainian leader made his comments in a video which appeared intended as a forceful rebuttal to the Kremlin after Putin held a ceremony in Moscow to proclaim four partially occupied Ukrainian regions as annexed Russian land.
"We are taking our decisive step by signing Ukraine's application for accelerated accession to NATO," Zelenskiy said in a video on Telegram.
The video showed Zelenskiy announcing the membership bid and then signing a document flanked by his prime minister and the speaker of parliament.
The announcement was likely to touch a nerve in Moscow which casts the NATO bloc at home as a hostile military alliance bent on encroaching in Moscow sphere of influence and destroying it.
In his video speech, Zelenskiy accused Russia of brazenly rewriting history and redrawing borders "using murder, blackmail, mistreatment and lies," something he said Kyiv would not allow.
He said however that Kyiv remained committed to the idea of co-existence with Russia "on equal, honest, dignified and fair conditions".
"Clearly, with this Russian president it is impossible. He does not know what dignity and honesty are. Therefore, we are ready for a dialogue with Russia, but with another president of Russia," Zelenskiy said.
Source: Reuters
Kanuni Moja ya kujiunga NATO ni nchi kutokuwa vitani,muwe mnajipa muda kabla ya kuja kuandika hapa!Kushambulia ile miji ya iliyopiga kura za mchongo ni kushambulia Urusi lakini kushambulia Ukrean ni kuishambulia NATO, mana ombi ndio liko mezani NATO wanataka kulifanyia kazi., Natazamia taifa la Russia kubaki history tu kwenye ulimwengu huu
Kidiplomasia na kisheria angefanya hivyo hata baadae historia ingemhukumu urusi. Ila kwa sasa historia itaandikwa na atakaeshinda hili pambano..........mbinu za vita ni nyingi, wengi huku pembeni ni watazamaji tu, na kitu ambacho mara zote kinabeba ushindi kwenye vita ni "element of suprise " kila jeshi linajua hili ndo maana wanaweza kuongea hivi kumbe ndani wamepanga hivi, hii ni vita halisi sio tamthilia za kina Jumong..................mmarekani hadi anamtungua mjapan na nuclear ilikua siri kubwa ,mjapan hakutegemea hilo na yeye alijiamini anaenda kumaliza vita ndo maana alienda hadi kumshambulia marekani kwake ghafla upepo ukambadilikia.........huu mgogoro ulikua ni mwanzo tu kila upande ulikua unasoma upepo wa mwenzie ndo maana hakuna upande uliotumia silaha zozote za ajabu na wengi wametumia silaha za zamani......ngoma bado mbichiHivi si alisema yeyote atakayemsaidia Yukrein atakiona cha mtema kuni!
Mbona Wamagharibi kila siku wanaisaidia Yukrein na hakuna kitu amewafanya?
Huu ni muendelezo wa maneno matupu tu, hakuna kitu anaweza kuwafanya kwa sasa, na vita inaendelea kukua.
Wangekua historia muda sana, marekani kwa mrusi ni kataifa ka juzi tu , mrusi ana experience ya vita kubwa zaidi na zote kachomoa, mmarekani hapo vietnam tu na somalia alitolewa kamasiKushambulia ile miji ya iliyopiga kura za mchongo ni kushambulia Urusi lakini kushambulia Ukrean ni kuishambulia NATO, mana ombi ndio liko mezani NATO wanataka kulifanyia kazi., Natazamia taifa la Russia kubaki history tu kwenye ulimwengu huu
Heheheheh polen sanaUrusi haina jeuri tena, ukichangia na wanajeshi wao wanavyokufa huko vitani; sasa NATO wataingia rasmi kumsaidia mwanachama wao kama sera zao zinavyoelekeza.
Kusaini Jambo lingine kurejesha majimbo Ukraine Jambo lingineWamechelewa Urusi ameishasaini document za hayo majimbo kujiunga.tuombe mungu hiyo vita isiwepo kati ya NATO na Russia.
Mobilization ya wanajeshi walemavu na WazeeKama hujui Ndugu hiyo mobilization haikuwa kwa ajili ya Ukraine Bali ni Vita inayokuja dhidi ya NATO...na mobilization siyo 300,000 Bali ni zaidi ya milioni moja...
Mataifa 30 yanamuogopa mrusi kazi kweli kweli.Urusi haina jeuri tena, ukichangia na wanajeshi wao wanavyokufa huko vitani; sasa NATO wataingia rasmi kumsaidia mwanachama wao kama sera zao zinavyoelekeza.
Kupigana ni ujasiri mkuu mfano hapa Tanzania wakulya kumi wanaweza washinda wazaramo 100 ndivyo ilivyo ulaya magharibi nakuhakikishia hata ukiita hiyo mobilization hatokei mtuMataifa 30 yanamuogopa mrusi kazi kweli kweli.