Ukraine yatuma maombi kujiunga na NATO haraka iwezekanavyo

Wamekataliwa live wameambiwa waje kujiunga na ECOWAS
 
Vitu vingine vinachekesha. NATO haipokei wanachama wenye migogoro. Kwani Zeleboy hajui au?
 
Urusi haina jeuri tena, ukichangia na wanajeshi wao wanavyokufa huko vitani; sasa NATO wataingia rasmi kumsaidia mwanachama wao kama sera zao zinavyoelekeza.
Katiba ya Nato hairuhusu mwanachama mpya kujiunga akiwa Katikati ya vita .. labda wakae na kubadilisha hiki kipengele
 
Wanatuma silaha uchwara wao wanajificha. ..ni muda waingie mzigoni sasa
 
Biden asubiri tu republican wamchomoe kwenye urais huko, Putin hawezi pambana na hako kazee labda wamletee Trump ila huyo babu atamuonea sana
Kwa namna USD inavyogain momentum Mzee amejizolea pwenti tatu muhimu.
 
Kwa namna USD inavyogain momentum Mzee amejizolea pwenti tatu muhimu.
Pesa kupanda sana inakuja kukupa shida kwenye export zako ndo maana hata mrusi mwenyewe pesa yake ilivyozidi kupanda akalegeza mambo ili ishuke, mchina pia anaishushaga sarafu yake makusudi ili ku boost export zake, hali ilivyo kwa sasa mchina na muhindi wakirudi kwenye uzalishaji kwa kasi watapiga faida ndefu sana ,mmarekani labda awauzie bidhaa zake hao wenzie wa ulaya na gharama zake lazima zitakua juu kuliko za mchina na muhindi + ile factor kwamba mchina na muhindi kwa sasa wanapata gesi na mafuta kwa bei ya chini sana kutoka kwa mrusi hii kitu itawabeba sana, anachofanya sasa hivi mmarekani ni kuprint tu madola mengi huku yakiwa hayana backup ya chochote, mambo yanavyoenda mbeleni mtu ataumia vibaya

Sarafu kua na nguvu sana ni nzuri kwa nchi ambazo hazi export sana, ila kama una maviwanda na una export kwa wingi inakua na disadvantage, bidhaa zako zinakua na bei kubwa sana kuliko washindani wako
 
Wamewachomolea wapambane na hali zao, kikubwa wanachoweza kuwasaidia labda hizo himars ila uwanjani watapambana wao wenyewe
 
Uturuki hachomoi any request from USA, kumbuka issue ya Sweden na Finland. Uturuki aligoma USA negotiated on behalf.
Pili wewe wa kwa mtogole huna akili yeyote kuliko Reuters, soma tena between the lines
 
Watapukutishwa vibaya mnoo, mashuka yatapepea mithili ya yale ya Ayatollah kule Iran.
Ndugu yangu, NATO haina ujasiri huo...NATO haiwezi kupeleka mguu pale Ukraine...inachoweza kufanya ni kupeleka silaha tu..Europe hawako tayari kwa Vita...hawako tayari kufa kwa ajili ya Ukraine...Subiri uone....
 
Russia hawapigani bila mipango . Wananchi wa magharibi askari wao wakifa wengi tayari wanaanza riot. Wao wanataka wafe wengine na vita IWE mbali. Fuatilia ishu za Iraq , Somalia , Afghanistan , nk. West wanajipenda sana. Manyani TUPO kuwatukuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…