Mahaba yanalazimishwa kwa watu wasiowataka?MKUU UMEWEKA HOJA UJIBIWE USIPANIKI.
MBONA NIMESIKILIZA ILA HAMNA CHA KUWABADILI HAO WAKRSTO NA MAHABA YAO KWA WAYAHUDI
LABDA WAISLAMU MJE NA MBINU NYINGINE ILA SIO HII
Wanaukumbi.
Ukiristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukuliwa kwa wale wote watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu Kristo nchini Israel ni marufuku.
Sikiliza vizuri yaliyomo kwenye video hii, usinishambulie mimi nimeleta kama ilivyo
Kwa mujibu wa Shirika la Takwimu la Central Bureau Of Statistics (CBS) la Marekani, zaidi ya asilimia 73.8% ya raia wote wa Israeli ni Wayahudi, 18% ni Waislamu na 1.9% ni Wakristo.
Porojo za CBS hizo wayahudi na wakristo tunaheshimiana mno na kupendana kama hujui sisi sote baba yetu mmoja wote ni uzao wa Ibrahim wao wakachagua dini ya kiyahudi sisi ya KikristoWanaukumbi.
Ukiristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukuliwa kwa wale wote watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu Kristo nchini Israel ni marufuku.
Sikiliza vizuri yaliyomo kwenye video hii, usinishambulie mimi nimeleta kama ilivyo
Kwa mujibu wa Shirika la Takwimu la Central Bureau Of Statistics (CBS) la Marekani, zaidi ya asilimia 73.8% ya raia wote wa Israeli ni Wayahudi, 18% ni Waislamu na 1.9% ni Wakristo.
Yeah na ndo ukweli wenyewe na siku hizi marabbi wanasema wazi hawafichi sema sanhedrin kuanzishwa tena vigumu kwenye utawala huu wa Wazungu maana hata kwa waislamu Mahakama ya kadhi ilishindwaNa wayahudi wanasema wazi kuwa Sanhedrin ikianzishwa upya na kuanza kutoa hukumu kwa mujibu wa Torah basi wakiristo halali yao ni kuuawawa maana wako regarded na uyahudi kama idol worshippers
Huna ulijualo mkuu inaonkena wewe unafata story za mitaani na sio uhalisiaPorojo za CBS hizo wayahudi na wakristo tunaheshimiana mno na kupendana kama hujui sisi sote baba yetu mmoja wote ni uzao wa Ibrahim wao wakachagua dini ya kiyahudi sisi ya Kikristo
Nyumba moja tunaamini wakristo mwaweza kuwa dini tofauti na mkaishi kwa amani tu au ndani ya nyumba akawemo kafiri asiye na dini hatumtumpi wala kumchulia tofauti na waislamu baadhi kama mleta mada na Hamas ambao kwao uvumilivu kwa watu wa dini zingine haupo
Sisi wakristo wayahudi pamoja na tofauti zetu za kidini hatuna ugomvi nao na hauji kutokea
Ndio maana Israel.ni rafiki mkubwa wa nchi zote za Kikristo duniani ilkiwemo Marekani na wakristo nfio huongoza kuwaingizia pesa za utalii Israrl kupitia safari za kitalii za kwenda Israel
Na wakienda kutalii huhubiri waziwazi Ukristo na huheshimiwa sana sababu ni sehemu inayoingiza pato kubwa kwa Israel
Lakini pia kuna adhabu kali mno akionekana myahudi yeyote akimnyanyasa au kumkebehi Mkristo akiwa Israel
Porojo za CBS hizo wayahudi na wakristo tunaheshimiana mno na kupendana kama hujui sisi sote baba yetu mmoja wote ni uzao wa Ibrahim wao wakachagua dini ya kiyahudi sisi ya Kikristo
Nyumba moja tunaamini wakristo mwaweza kuwa dini tofauti na mkaishi kwa amani tu au ndani ya nyumba akawemo kafiri asiye na dini hatumtumpi wala kumchulia tofauti na waislamu baadhi kama mleta mada na Hamas ambao kwao uvumilivu kwa watu wa dini zingine haupo
Sisi wakristo wayahudi pamoja na tofauti zetu za kidini hatuna ugomvi nao na hauji kutokea
Ndio maana Israel.ni rafiki mkubwa wa nchi zote za Kikristo duniani ilkiwemo Marekani na wakristo nfio huongoza kuwaingizia pesa za utalii Israrl kupitia safari za kitalii za kwenda Israel
Na wakienda kutalii huhubiri waziwazi Ukristo na huheshimiwa sana sababu ni sehemu inayoingiza pato kubwa kwa Israel
Lakini pia kuna adhabu kali mno akionekana myahudi yeyote akimnyanyasa au kumkebehi Mkristo akiwa Israel
WAKRISTO WANAJUA FIKA KWAMBA WAYAHUDI HAWAMKUBALI YESU NI HILI TUNAJUA NI SEHEMU YA MPANGO WA MUNGU, LAKINI TUNAJUA KUBARIKIWA KWETU KUMEPITIA KWAO, KWA HIYO HATUWEZI KUKANA MSINGI WA BARAKA YETU, ILA UPANDE WAPILI MNASHANGAZA SANA MMAWACHULIA WAHAYUD KAMA ADUI ZENU INGAWA MNAKIRI KWAMBA YOU ARE COUSINS NA MMEKUMBATIA MANABII WAO.
MKUU HATA ISRAELI HUJAWAHI KUFIKA ILA MIMI KILA MARA NAENDA JERUSALEM NA BETHELEEM KUHIJI......Hahaha mimi tena nimepanic angalia wenzako wanavyoandika magazeti mimi najibu mistari miwili harafu tu hoja inajionyesha hapo juu siyo maneno yangu hoja ni marufuku kutanganza Ukirsto Israel unaenda jela hiyo ndiyo hojq.
Ni kitu cha ajabu manabii wakubwa wote kwenye uislamu ni wayahudi lakini cha ajabu baadhi ya waislamu wanawachukia wayahudi hadi wanakeraWAKRISTO WANAJUA FIKA KWAMBA WAYAHUDI HAWAMKUBALI YESU NI HILI TUNAJUA NI SEHEMU YA MPANGO WA MUNGU, LAKINI TUNAJUA KUBARIKIWA KWETU KUMEPITIA KWAO, KWA HIYO HATUWEZI KUKANA MSINGI WA BARAKA YETU, ILA UPANDE WAPILI MNASHANGAZA SANA MMAWACHULIA WAHAYUD KAMA ADUI ZENU INGAWA MNAKIRI KWAMBA YOU ARE COUSINS NA MMEKUMBATIA MANABII WAO.
SOMA TORATI YA WAYAHUDI GOMBO LA NABII ISAYAH,,AFU URUDI KUONGEA HAPAUtabarikiwaje kupitia wao, wakati Yesu alishawatamkia kuwa ufalme wa Mungu unaondolewa kutoka kwao na kupewa Taifa jingine lenye kuzaa matunda?
Kuwakumbatia hao ni kujiingiza katika laana ya Yesu aliyekwisha wacancel
Good.
Wakristo hawatalazimisha Waislam kulia pamoja kama waislamu wanavyolazimisha kila mtu alie kwenye msiba wao wa palestina.
SOMA TORATI YA WAYAHUDI GOMBO LA NABII ISAYAH,,AFU URUDI KUONGEA HAPA
NB: WAISLAMU WANATAFUTA HURUMA YA WAKRSTO ILI WAWAUNGE MKONO KATIKA CHUKI YAO DHIDI YA WAYAHUDI
Kwenye NB,Kuna mahali waliachana Mungu wetu sio mmoja Tena.....MKUU UNADHANI NDIO HII ITAWAFANYA WAKRSTO WAWAUNGE MKONO WAISLAMU NA WARAABU KWENYE CHUKI YAO DHIDI YA WAARABU.
NB: WAISLAMU NA WAARABU WANASAHAU KUA MUNGU WA WAKRSTO NA WAYAHUDI NI MMOJA YEHOVAH KUPITIA TORATI YA KIYAHUDI
Ni kitu cha ajabu manabii wakubwa wote kwenye uislamu ni wayahudi lakini cha ajabu baadhi ya waislamu wanawachukia wayahudi hadi wanakera
Walaumiwe HAMAS kwa uchokozi wa makusudi. Mengine ni mengineyo tu.MKUU UMEWEKA HOJA UJIBIWE USIPANIKI.
MBONA NIMESIKILIZA ILA HAMNA CHA KUWABADILI HAO WAKRSTO NA MAHABA YAO KWA WAYAHUDI
LABDA WAISLAMU MJE NA MBINU NYINGINE ILA SIO HII
Huruma ipi waislam waitafute kutoka Kwa wagalatia? occupation imeanza tokea 1948 Hamas wamejiform mwaka 1987 umewahi sikia hata siku Moja wakiomba msaada au huruma ya wakristo? besides huruma ya wakristo wanayoomba itawasaidia nini?SOMA TORATI YA WAYAHUDI GOMBO LA NABII ISAYAH,,AFU URUDI KUONGEA HAPA
NB: WAISLAMU WANATAFUTA HURUMA YA WAKRSTO ILI WAWAUNGE MKONO KATIKA CHUKI YAO DHIDI YA WAYAHUDI
Nenda Frontline kawasaidie Magaidi wenzako HAMAS ili muwaishwe peponi mkafaidi mabikira 72.sasa kwa wale wakristo wa tanzania wanaosema israel ni taifa teule la mungu hii itakuwa tabu mno kumeza.
Nenda Frontline kawasaidie Magaidi wenzako HAMAS ili muwaishwe peponi mkafaidi mabikira 72.