Ukristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukaliwa wale watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu

Wagalatia mabikra 72 mnaumia nao sana shida nini???
Nyinyi SI mnamsubiri yule msela wa kizungu alietundikwa pale msalabani arudi awape uzima wa milele mbona sisi hatusemi.?then huo uzima wa milele unakuaje kuaje exactly,hata kuhoji hamuhoji??
Magaidi lazima mpelekewe moto ipasavyo.
 
Hakuna jipya, hilo jambo ni tangu enzi za Yesu na liliendelea hata nyakati za mitume.

Tena inaelezwa kazi ya kusimamia utekelezaji wa amri kama hiyo ilikuwa kazi ya Mt Paulo kabla hajaongoka.
 
Magaidi lazima mpelekewe moto ipasavyo.

Wayahudi wanasema Gaidi namba Moja lilikua ni Jesus Christ that's why walilichapa bakora na kulitundika msalabani hadi kesho hawataki hata kumskia,we mgalatia uso na akili unasemaje Sasa kuwa hao ni Taifa Teule la Mungu?hutumii hata akili kafiri wewe,teh teh teh
 
Wakristo hawataki kukubali Hilo,wao wanasema hata iweje wao watalisifu Israel Taifa Teule la Mungu,teh teh teh
Ilo lazma walikubali japo ni ngumu kumeza mi ninawajua walimu wakubwa wa Dini ya kiyahudi ambao wanasema hata wakristo kutumia Agano la kale kwao ni kama kuwatukana kwa sababu Ujumbe wao unaenda kinyume na Biblia yao inavyosema
 
MKUU UNADHANI NDIO HII ITAWAFANYA WAKRSTO WAWAUNGE MKONO WAISLAMU NA WARAABU KWENYE CHUKI YAO DHIDI YA WAARABU.
NB: WAISLAMU NA WAARABU WANASAHAU KUA MUNGU WA WAKRSTO NA WAYAHUDI NI MMOJA YEHOVAH KUPITIA TORATI YA KIYAHUDI
Mungu wa wakiristo ni yesu na ndiye wanamuomba kila siku,na ipo hivyo kwenye biblia,dini ya kiyahudi ni monotheistic na ndiyo maana wanauchukia ukiristo na utatu wao
 
Wayahudi wanajisifu kumuua Yesu. Leo unadai wanaabudu pamoja na Wakristo?
Uongo wayahudi hawajawahi jisifu kumwua Yesu

Waliomwua Yesu ni Warumi.na Askari wao wa Kirumi Wayahudi wanapendana Sana
Hakuna myahudi aliyemwua Yesu
 
Still watakuja kukwambia _atakayeibariki Israel amebarikiwa"

Pathetic
 
Mungu wa wakiristo ni yesu na ndiye wanamuomba kila siku,na ipo hivyo kwenye biblia,dini ya kiyahudi ni monotheistic na ndiyo maana wanauchukia ukiristo na utatu wao
Wayahudii hawachukii Ukristo.wala dini hawana wivu na wala hawahitaji waumini kujiunga nao

Myahudi huwa dini ya kiyahudi kwa kuzaliwa hawahangaiki kama waislamu wawinda wasio wsislamu wajiunge na uislamu hata kwa upanga.Wao hawahitaji.waumini nje ya wazaliwa wao wachukie dini ingine kama ya Kikristo au ya kiislamu ili iweje wakati hata wakitaka kujiunga na dini ya kiyahudi.hawawahitaji

Dini ya kiyahudi haina ugomvi na dini yeyote duniani
 
Ile bill ya kupinga kutangaza ukiristo iliyopelekwa bunge la Israel,ulisikia habari zake!?..Yale ni mapenzi au chuki!?..acha kujipendekeza kijinga
 
Ile bill ya kupinga kutangaza ukiristo iliyopelekwa bunge la Israel,ulisikia habari zake!?..Yale ni mapenzi au chuki!?..acha kujipendekeza kijinga
Waliopeleka ni wabunge wawili tena waislamu wansotokea maeheo yenye waislamu ukapigwa chini chap chap haukufika popote
 
KUMBE NAONGEA NA MTU ASIYEIJUA TORATI YA WAYAHUDI WALA MAANDIKO YA MANABII WAKE
UNALETA UBISHANI WA KWENYE MIHADHARA YA MISIKITINI
 
Uongo wayahudi hawajawahi jisifu kumwua Yesu

Waliomwua Yesu ni Warumi.na Askari wao wa Kirumi Wayahudi wanapendana Sana
Hakuna myahudi aliyemwua Yesu

Nani aliyepiga kelele za msulubisheee msulubishee na damu yake iwe juu yetu na vizazi vyetu!
Tufungulie barabaaa

Watu wamejiapiza kwa damu ya Yesu kwamba laana iwe nao na watoto wao halafu unawakumbatia watu wa namna hii. Hujielewi wewe!

Acha kabisa aisee!
 
Huruma ipi waislam waitafute kutoka Kwa wagalatia? occupation imeanza tokea 1948 Hamas wamejiform mwaka 1987 umewahi sikia hata siku Moja wakiomba msaada au huruma ya wakristo? besides huruma ya wakristo wanayoomba itawasaidia nini?
MKUU WEWE HISTORIA YAKO NA WAYAHUDI ENEO HILO INAANZIA MWAKA 1948????
NDIVYO MNAVYOAMBIWA NA MAUSTAADH?
 
Walipiga kelele tu lakini aliyemhukumu kufa ni jaji mrumi Ponsio Pilato ma Askari wa.kirumi ndio waliomuua kwa.kumtandika mijeredi yenye misumari na kumpiga sana na kumsulubisha msalabani na kumchoma mkuki kwenye moyo.akiwa msalabani

Wayahudi walipiga miyowe tu hakuna aliyemwua warumi ndio.waliua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…