Hivi ww jamaa mbona chenga sana,sasa hapo dini yangu nimeikimbiaje?mbona kama unaikimbia dini yako, kulikoni ustaadh?
Mkuu sio kweli kwa sababu hata hao waarabu na wazungu na Wao dini waliletewa kama waafrika walivyo letewa.
Hilo ni kanisa au kijiwe cha wahuni weupekuna kanisa North Carolina mitaa ya Harleston street, ni marufuku kwa black yeyote yule kuingia humo kusali.it's not fair nyumba ya ibada kushikama na racism.
Wewe mwenyezimungu Unamjua?Mbona lina muelekeo? muelekeo.
Kanisa linaloruhusu kuoana wanaume kwa wanaume, wanawake kwa wanawake, ndio "mwelekeo" wake huo.
Ukristo sio dini kwa Mwenyezi Mungu.
Mungu hayupo, hayo makanisa na misikiti ni siasa za watu kupambana katika maisha yao tu.Ingawa wakristu wanajieneza kwa kupinga sana uislamu, ni wazi kwa nini uislamu umekuwa unasambaa sana Marekani siku za hivi karibuni huku ukiristo ukisinyaa.
Mim ni nilikuwa nasali kanisa la kikatoliki kwa muda mrefu sana kwani ndilo nililoona lilikuwa karibu na nyumbani kwani na ibada zake zianendeshwa kama zile za Kiluteri nilikotokea. Isipokuwa niliacha tena kwenda kanisani kwani kila mara sehemu kubwa ya mahubiri yao ni kuhimiza watu kuchagua republican tu.
Baada ya kuhudhuria kwa muda mrefu kanisa hilo, niliggundua kuwa hata mapadri walikuwa na ubaguzi fulani dhidi ya watu weusi. Sasa ukienda kwenye hao Evangelicals, ndiko utakuta wanalofahamu ni kuwa Marekani ni nchi ya weupe tu, wengine wote ni haramu.
Jana nimekutana na website hii ndipo nikagundua kweli imani yangu kuhusu ukristo kukosa mweleko ni ya kweli kabisa.
God Bless The USA Bible
Welcome to the official home of the God Bless The USA Bible, the only Bible endorsed by President Donald J. Trump and Lee Greenwood.godblesstheusabible.com
Hafananishwi na chochote.Wewe mwenyezimungu Unamjua?
Mkuu waarabu uislam umewafikia miaka 1600 iliyo pita hali ya kuwa jamii ipo duniani kwa mamilioni ya miaka kwa hiyo walikuwa wanaishi bila tamaduni?Waarabu uislamu waliletewa na nani?
Wazungu waliletewa Ukristo na nani?
Ukristo ni dini ya wazungu kwenye Dola l Kirumi. Kuañzia mwaka 300AD
Mbona lina muelekeo? muelekeo.
Kanisa linaloruhusu kuoana wanaume kwa wanaume, wanawake kwa wanawake, ndio "mwelekeo" wake huo.
Ukristo sio dini kwa Mwenyezi Mungu.
Mkuu waarabu uislam umewafikia miaka 1600 iliyo pita hali ya kuwa jamii ipo duniani kwa mamilioni ya miaka kwa hiyo walikuwa wanaishi bila tamaduni?
Wazungu wamepelekewa ukrisito na Paulo miaka 1800 iliyo pita hali ya kuwa jamii ya wazungu ili kuwepo tangu kuumbwa kwa dunia hii.
Dini zili kuja zikakuta waarabu na wazungu tiyari wana tamaduni zao hivyo wakalazimika kuacha baadhi ya tamaduni zao ili waweze kuzifuata hizo dini kama sisi tulivyo razimika kuziacha tamaduni zetu kwa ajili ya dini.
Kiufupi na wao waliletewa tu kama sisi,tofauti ni kila jamii imeletewa kwa muda tofauti.
Mkuu kusema eti uislam ni utamaduni wa waarabu sio kweli kwa sababu waarabu ni sehemu ndogo sana ya waisilamu waliopo hapa duniani.
Waarabu ni 20% tu ya waisilamu hapa duniani , waisilam walioko Indonesia na India tu ni wengi kuzidi waarabu wote.
Alafu kingine pamoja na kuwa waarabu ndo waliwahi kuipokea dini ya kiislam lakini hawana mchango mkubwa sana katika kuenea kwa huo uislam ,mwenye mchango mkubwa katika kuenea kwa Uislam ni jamii ya waturuki kupitia dora ya Ottoman.
Kiufupi ni kuwa Ukrisito na uislam sio dini ya jamii fulani bali ni kwa jamii zote na ndio maana zimetapakaa katika kila jamii na kila taifa.
Sasa kama ndo hivyo mbona waarabu wa Maka walikuwa wakimpinga mtume Muhammad kuueneza huo uislam ndani ya jamii ya waarabu kwa hoja ya kuwa unapingana na mila na mungu wao walio kuwa wanamuabudu kipindi hicho?Huwezi utenga uislamu na uarabu hata kidogo.
Hizo jamii ambazo unasema zimeadapt dini ya kiislamu ni kutokana na Factors nyingi ikiwemo utawala wa watawala waliokuwa waislamu ikiwemo Dola la Ottoman.
Uislamu umechukua tamaduni karibu zote za kiarabu. Kuanzia mavazi, chakula, maziko na lugha, ibada ya Ijumaa ambayo ilikuwepo tangu enzi za mababu wa kiarabu pale Makka.
Ukitoa uarabu hakuna uislamu.
Ukristo, Dola la Rumi ndilo liliunda Dini ya Kikristo. Bila Urumi hakuna Ukristo.
Ingawaje wahusika wakuu katika kitabu cha biblia sio Wazungu (Warumi) lakini Ukristo ni Uzungu.
Ukristo na uislamu sio dini ya jamii zote. Hakuamini dini ya jamii zote.
Labda kama huna elimu ya somo la Culture (utamaduni) Kila jamii inautamaduni wake. Kila jamii ina dini na lugha yake.
Ukiona jamii moja inatumia utamaduni wa jamii nyingine ndio tunaita Ukoloni. Yaani wewe muafrika kutumia dini na utamaduni wa Muarabu na uislamu tunasema imetawaliwa kiimani na waarabu. Umekoloniwa.
Halikadhalika na Wazungu kututawala kiimani.
Bila ukoloni wewe usingekuwa muislamu wala mkristo.
Ndio maana ukombozi wa kifikra ni muhimu ili mjue mambo madogo kama hayo
🖕🖕Mbona lina muelekeo? muelekeo.
Kanisa linaloruhusu kuoana wanaume kwa wanaume, wanawake kwa wanawake, ndio "mwelekeo" wake huo.
Ukristo sio dini kwa Mwenyezi Mungu.
😁Mimi kinanishangaza mtu muislam ku-pretend kuwa Mkristo ili kujenga hoja zisizokuwa na mashiko.
Uliyeleta hii mada umejifanya unaishi America kumbe upo zako hapo Mbande ila ulichoandika hapa umehadithiwa na jamaa yako aliyewahi kuishi huko lakini ukaona uongeze na verse kwamba ulikuwa unasali Kanisa fulani ili uaminike.
Zipo njia nyingi za kueneza imani yako watu wakaielewa siyo lazima uwe muongo muongo mjanja mjanja mwisho hata imani yako inaonekana ya kijanja janja.
Nafikiri ungejipa muda wa kufikiri kabla ya kujibu na pia ungetafuta nyuzi zake humu, ingekusaidia.Mimi kinanishangaza mtu muislam ku-pretend kuwa Mkristo ili kujenga hoja zisizokuwa na mashiko.
Uliyeleta hii mada umejifanya unaishi America kumbe upo zako hapo Mbande ila ulichoandika hapa umehadithiwa na jamaa yako aliyewahi kuishi huko lakini ukaona uongeze na verse kwamba ulikuwa unasali Kanisa fulani ili uaminike.
Zipo njia nyingi za kueneza imani yako watu wakaielewa siyo lazima uwe muongo muongo mjanja mjanja mwisho hata imani yako inaonekana ya kijanja janja.
Uislam haukuletwa na yeyote, labda haujuwi maana ya neno Uislam.Waarabu uislamu waliletewa na nani?
Wazungu waliletewa Ukristo na nani?
Ukristo ni dini ya wazungu kwenye Dola la Kirumi. Kuañzia mwaka 300AD
Umeanza kupata akili ya mweusiDini ni ishu ya utamaduni.
Ukristo na waafrika wapi na wapi?
Uislamu na uafrika wapi na wapi?
Ninyi waafrika ndio mnajua sana kujipendekeza kwenye mambo yasiyowahusu.
Ukristo ni Uzungu
Uyahudi ni kwa waisraeli
Uislamu ni kwaarabu
Uhindu ni kwa Wahindi
Ubudha ni kwa wachina.
Ninyi mnakiherehere
Sasa kama ndo hivyo mbona waarabu wa Maka walikuwa wakimpinga mtume Muhammad kuueneza huo uislam ndani ya jamii ya waarabu kwa hoja ya kuwa unapingana na mila na mungu wao walio kuwa wanamuabudu kipindi hicho?
Nimekuambia kuwa kabla ya uislam na Ukrisito kuja jamii za wazungu na waarabu zilikuwepo kwa zaidi ya mamilioni ya miaka zikiwa na tamaduni zao hivyo sio sahihi kusema eti hizo dini eti hizo dini ni tamaduni za jamii fulani,kwa sababu hizo dini zimekuja na kuwakuta kama sisi ambavyo dini zili tukuta.
Na mpaka hizo jamii zinakuja kupokea dini hizi kumetumika gharama kubwa sana ya damu za watu na muda mwingi sana ,sasa kama hizi dini zilikuwa zinaendana na tamaduni zao kwann watu walikuwa wanakataa hizo dini mkapa ikarazimika kutumika ncha ya upanga ili wazi kubali?
Hata waarabu wa Africa kaskazini uislam wamekuja kuujua baada ya wao kutawaliwa na Ottoman walikuwa hawaujui.