ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Wanazipinga kwa sababu ni dini mpya zilizoanzishwa na miongoni mwa Watu wao. Sababu kubwa ni maslahi ya kisiasa na kiuchumi.
Kwa mfano, Yesu alipokuwa anahubiri kuhusu habari njema(Injili) dini yake ya kiyahudi ilimpinga kwa sababu ya maslahi ya kisiasa na kiuchumi. Ni ishu ya Wafuasi na Kupata nguvu ya kisiasa na kiuchumi.
Kwa zamani Dini ilikuwa ndio Siasa. Unapoanzisha dini zamani ni kama sasa uanzishe chama cha siasa.
Muhamad alipinga kuabudu sanamu katika Kaaba Kwa Sababu tayari alikuwa na mafungamano na ukaribu na baadhi ya Wayahudi na Wakristo. Alikuwa muumini wa Mungu mmoja. Ambaye kwa wakati huo waarabu kabla ya uislamu Allah alikuwa Chief god yaani mungu mkuu ambaye sanamu yake haikuwako kati ya zile sanamu ya miungu 360 zilizokuwa zinaabudiwa pale kaaba
Kama ambavyo uislam ulivyo kuja ukiwa mgeni kwa waarabu na kupinga mila nyingi za waarabu wa wakati huo ,ndo hivyo hivyo ulivyo kuja mgeni kwa watu wengine duniani na kupinga mila zao mbali mbali.Wanazipinga kwa sababu ni dini mpya zilizoanzishwa na miongoni mwa Watu wao. Sababu kubwa ni maslahi ya kisiasa na kiuchumi.
Kwa mfano, Yesu alipokuwa anahubiri kuhusu habari njema(Injili) dini yake ya kiyahudi ilimpinga kwa sababu ya maslahi ya kisiasa na kiuchumi. Ni ishu ya Wafuasi na Kupata nguvu ya kisiasa na kiuchumi.
Kwa zamani Dini ilikuwa ndio Siasa. Unapoanzisha dini zamani ni kama sasa uanzishe chama cha siasa.
Muhamad alipinga kuabudu sanamu katika Kaaba Kwa Sababu tayari alikuwa na mafungamano na ukaribu na baadhi ya Wayahudi na Wakristo. Alikuwa muumini wa Mungu mmoja. Ambaye kwa wakati huo waarabu kabla ya uislamu Allah alikuwa Chief god yaani mungu mkuu ambaye sanamu yake haikuwako kati ya zile sanamu ya miungu 360 zilizokuwa zinaabudiwa pale kaaba
Kwa hiyo sisi na waarabu hatuna tofauti katika kuzipokea dini maana wote tulizipokea kwa mtindo mmoja sema muda ndo tofauti.
Ww ungeeleweka vizuri iwapo ungesema watu wote wanao fuata dini ni watumwa wa hizo dini.