Mpumbavu ni wewe unaebisha bila ushahidiHana Akili upumbavu umemjaa
Sina haja ya kubishana na wewe usiejua chochote kuhusu bibliaHuna haja ya kusingizia ukristo wewe oa tu hata 10 ukitaka
SawaMpumbavu ni wewe unaebisha bila ushahidi
Mwanaume kaumbwa kwa upekee wake, si wa kuwa sawa na mwanamke kiroho, aweza kuoa wanawake wengi bila tatizo loloteAfadhali masharti yalegezwe Aisee! Hali ni mbaya sana,wenzetu wanakula raha tuu karne ya ngapi hii.
MAANDIKO yapo wazi kuhusu jambo hili. Jambo liliwekwa na Mungu mwenyewe na sio viongozi wa dini. Kama mtu ana uelewa kidogo tu wa kuchambua MAANDIKO hawezi kutoa viwazo ili kutafuta uhalali wa kukidhi tamaa zake za chini ya kitovu. Karibu tu kutafakari HAYA ; Mwanzo 1:18, na Mwanzo 1:24.Tatizo kubwa ni kwamba wakristo wanafata wanachoambiwa na viongozi wa kidini na sio maandiko yanavyosema. Hakuna sehemu imeandika mwanaume aoe mke moja tu.
Kuna huu mstari wa "Nao wawili watakuwa mwili mmoja." i hutafsiriwa vibaya kwa kudhani kwamba mwanaume inabidi awe na mke moja, La hasha!
Mwili moja ni mahusiano halali kwa ndoa ama batili nje ya ndoa yanayowakutanisha kimwili mwanaume na mwanamke kimwili. mwanaume akikutana kimwili hata na malaya tayarini mwili mmoja hapo.
1 Wakorintho 6:16
Maana, kama mjuavyo, anayeungana na kahaba huwa mwili mmoja naye--kama ilivyoandikwa: "Nao wawili watakuwa mwili mmoja.
pia ni dhana ya wingi wa kilicho chini kujikusanya kwa chenye ukuu kuwa kimoja, hata kiroho watu wanaomuamini Mwenyezi Mungu wako wengi ila wanatengeneza kwa vile wapo chini ya Bwana wanatengeneza roho moja tu,
1 Wakorintho 6:16
Lakini aliyejiunga na Bwana huwa roho moja naye.
basi hivi ndivyo ilivyo kwa mwanaume mwenye wake wengi, licha ya kuwa na wanawake wengi bado itakuwa ni mwili moja.
..............................
Matokeo ya kuafiki maandiko haya
-kuna kesi kibao za wanawake kuwanyima unyumba wanaume zao (njia pekee ni mwanaume kuchepuka)
-Mwanamke anampangia mwanaume wawe na watoto wangapi (anaweza kuzaa mtoto moja shughuli imeisha)
-Mwanaume anaweza asiwe na watoto kama mwanamke ni tasa.
Manabii kibao walioa mke zaidi ya moja, Je lengo lilikuwa ni tamaa za ngono?MAANDIKO yapo wazi kuhusu jambo hili. Jambo liliwekwa na Mungu mwenyewe na sio viongozi wa dini. Kama mtu ana uelewa kidogo tu wa kuchambua MAANDIKO hawezi kutoa viwazo ili kutafuta uhalali wa kukidhi tamaa zake za chini ya kitovu. Karibu tu kutafakari HAYA ; Mwanzo 1:18, na Mwanzo 1:24.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Wanasemaga "sema huna hela, usisem hatuna hela"hapa kweli tulipigwa ,lakini hata wakiruhusu ela ya kuwalea iko wapi
Ni wakali kwasababu wanajua tayari ukiwaoa huna ujanja hapo wa kuongeza mke.Hao wanawake walivyo wakali mtaanzia wapi
sawa, kila la heriNi wakali kwasababu wanajua tayari ukiwaoa huna ujanja hapo wa kuongeza mke.
Mwanamke anapojua kwamba mwanaume bado anaweza kuongeza mke, hapo anashika adabu yake
Kuwa nabii hakumwondolei mtu ubinadamu wake. Nao manabii ni kizazi Cha Adam na Eva waliomwasi Mungu na kutii maelekezo ya ibilisi. Maelekezo ya Mungu yatabakia hivyo na tamaa za mwanadamu zitaendelea kumtuma kuasi maelekezo ya Mungu. Tubuni na msigeuzegeuze MAANDIKO kama chapati !!!Manabii kibao walioa mke zaidi ya moja, Je lengo lilikuwa ni tamaa za ngono?
Mungu yupi acheni utapeli,maandiko waandike Wazungu na Waarabu wasingizie Mungu kasema.MAANDIKO yapo wazi kuhusu jambo hili. Jambo liliwekwa na Mungu mwenyewe na sio viongozi wa dini. Kama mtu ana uelewa kidogo tu wa kuchambua MAANDIKO hawezi kutoa viwazo ili kutafuta uhalali wa kukidhi tamaa zake za chini ya kitovu. Karibu tu kutafakari HAYA ; Mwanzo 1:18, na Mwanzo 1:24.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hivi mtume alikuwa na wakeTatizo kubwa ni kwamba wakristo wanafata wanachoambiwa na viongozi wa kidini na sio maandiko yanavyosema. Hakuna sehemu imeandika mwanaume aoe mke moja tu.
Kuna huu mstari wa "Nao wawili watakuwa mwili mmoja." i hutafsiriwa vibaya kwa kudhani kwamba mwanaume inabidi awe na mke moja, La hasha!
Mwili moja ni mahusiano halali kwa ndoa ama batili nje ya ndoa yanayowakutanisha kimwili mwanaume na mwanamke kimwili. mwanaume akikutana kimwili hata na malaya tayarini mwili mmoja hapo.
1 Wakorintho 6:16
Maana, kama mjuavyo, anayeungana na kahaba huwa mwili mmoja naye--kama ilivyoandikwa: "Nao wawili watakuwa mwili mmoja.
pia ni dhana ya wingi wa kilicho chini kujikusanya kwa chenye ukuu kuwa kimoja, hata kiroho watu wanaomuamini Mwenyezi Mungu wako wengi ila wanatengeneza kwa vile wapo chini ya Bwana wanatengeneza roho moja tu,
1 Wakorintho 6:16
Lakini aliyejiunga na Bwana huwa roho moja naye.
basi hivi ndivyo ilivyo kwa mwanaume mwenye wake wengi, licha ya kuwa na wanawake wengi bado itakuwa ni mwili moja.
..............................
Matokeo ya kuafiki maandiko haya
-kuna kesi kibao za wanawake kuwanyima unyumba wanaume zao (njia pekee ni mwanaume kuchepuka)
-Mwanamke anampangia mwanaume wawe na watoto wangapi (anaweza kuzaa mtoto moja shughuli imeisha)
-Mwanaume anaweza asiwe na watoto kama mwanamke ni tasa.
Tatizo kubwa ni kwamba wakristo wanafata wanachoambiwa na viongozi wa kidini na sio maandiko yanavyosema. Hakuna sehemu imeandika mwanaume aoe mke moja tu.
Kuna huu mstari wa "Nao wawili watakuwa mwili mmoja." i hutafsiriwa vibaya kwa kudhani kwamba mwanaume inabidi awe na mke moja, La hasha!
Mwili moja ni mahusiano halali kwa ndoa ama batili nje ya ndoa yanayowakutanisha kimwili mwanaume na mwanamke kimwili. mwanaume akikutana kimwili hata na malaya tayarini mwili mmoja hapo.
1 Wakorintho 6:16
Maana, kama mjuavyo, anayeungana na kahaba huwa mwili mmoja naye--kama ilivyoandikwa: "Nao wawili watakuwa mwili mmoja.
pia ni dhana ya wingi wa kilicho chini kujikusanya kwa chenye ukuu kuwa kimoja, hata kiroho watu wanaomuamini Mwenyezi Mungu wako wengi ila wanatengeneza kwa vile wapo chini ya Bwana wanatengeneza roho moja tu,
1 Wakorintho 6:16
Lakini aliyejiunga na Bwana huwa roho moja naye.
basi hivi ndivyo ilivyo kwa mwanaume mwenye wake wengi, licha ya kuwa na wanawake wengi bado itakuwa ni mwili moja.
..............................
Matokeo ya kuafiki maandiko haya
-kuna kesi kibao za wanawake kuwanyima unyumba wanaume zao (njia pekee ni mwanaume kuchepuka)
-Mwanamke anampangia mwanaume wawe na watoto wangapi (anaweza kuzaa mtoto moja shughuli imeisha)
-Mwanaume anaweza asiwe na watoto kama mwanamke ni tasa.
Kuwa nabii hakumwondolei mtu ubinadamu wake. Nao manabii ni kizazi Cha Adam na Eva waliomwasi Mungu na kutii maelekezo ya ibilisi. Maelekezo ya Mungu yatabakia hivyo na tamaa za mwanadamu zitaendelea kumtuma kuasi maelekezo ya Mungu. Tubuni na msigeuzegeuze MAANDIKO kama chapati !!!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
hatuna elaa banaWanasemaga "sema huna hela, usisem hatuna hela"
🤣😆😂Mwili moja ni mahusiano halali kwa ndoa ama batili nje ya ndoa yanayowakutanisha kimwili mwanaume na mwanamke kimwili. mwanaume akikutana kimwili hata na malaya tayarini mwili mmoja hapo.