Ukristo: Mungu hajakataza kuoa mke zaidi ya moja, dhana ya mwili moja si kuwa na mke moja, hata ukilala na malaya ninyi tayari ni mwili moja

Huna haja ya kusingizia ukristo wewe oa tu hata 10 ukitaka
 
Kapuliziwe dawa ya mende uokoke

1651410177165.png
 
Afadhali masharti yalegezwe Aisee! Hali ni mbaya sana,wenzetu wanakula raha tuu karne ya ngapi hii.
Mwanaume kaumbwa kwa upekee wake, si wa kuwa sawa na mwanamke kiroho, aweza kuoa wanawake wengi bila tatizo lolote
 
Tatizo kubwa ni kwamba wakristo wanafata wanachoambiwa na viongozi wa kidini na sio maandiko yanavyosema. Hakuna sehemu imeandika mwanaume aoe mke moja tu.

Kuna huu mstari wa "Nao wawili watakuwa mwili mmoja." i hutafsiriwa vibaya kwa kudhani kwamba mwanaume inabidi awe na mke moja, La hasha!

Mwili moja ni mahusiano halali kwa ndoa ama batili nje ya ndoa yanayowakutanisha kimwili mwanaume na mwanamke kimwili. mwanaume akikutana kimwili hata na malaya tayarini mwili mmoja hapo.

1 Wakorintho 6:16
Maana, kama mjuavyo, anayeungana na kahaba huwa mwili mmoja naye--kama ilivyoandikwa: "Nao wawili watakuwa mwili mmoja.

pia ni dhana ya wingi wa kilicho chini kujikusanya kwa chenye ukuu kuwa kimoja, hata kiroho watu wanaomuamini Mwenyezi Mungu wako wengi ila wanatengeneza kwa vile wapo chini ya Bwana wanatengeneza roho moja tu,

1 Wakorintho 6:16
Lakini aliyejiunga na Bwana huwa roho moja naye.

basi hivi ndivyo ilivyo kwa mwanaume mwenye wake wengi, licha ya kuwa na wanawake wengi bado itakuwa ni mwili moja.

..............................

Matokeo ya kuafiki maandiko haya

-kuna kesi kibao za wanawake kuwanyima unyumba wanaume zao (njia pekee ni mwanaume kuchepuka)
-Mwanamke anampangia mwanaume wawe na watoto wangapi (anaweza kuzaa mtoto moja shughuli imeisha)
-Mwanaume anaweza asiwe na watoto kama mwanamke ni tasa.
MAANDIKO yapo wazi kuhusu jambo hili. Jambo liliwekwa na Mungu mwenyewe na sio viongozi wa dini. Kama mtu ana uelewa kidogo tu wa kuchambua MAANDIKO hawezi kutoa viwazo ili kutafuta uhalali wa kukidhi tamaa zake za chini ya kitovu. Karibu tu kutafakari HAYA ; Mwanzo 1:18, na Mwanzo 1:24.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
hapa kweli tulipigwa ,lakini hata wakiruhusu ela ya kuwalea iko wapi
 
MAANDIKO yapo wazi kuhusu jambo hili. Jambo liliwekwa na Mungu mwenyewe na sio viongozi wa dini. Kama mtu ana uelewa kidogo tu wa kuchambua MAANDIKO hawezi kutoa viwazo ili kutafuta uhalali wa kukidhi tamaa zake za chini ya kitovu. Karibu tu kutafakari HAYA ; Mwanzo 1:18, na Mwanzo 1:24.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Manabii kibao walioa mke zaidi ya moja, Je lengo lilikuwa ni tamaa za ngono?
 
Hao wanawake walivyo wakali mtaanzia wapi
Ni wakali kwasababu wanajua tayari ukiwaoa huna ujanja hapo wa kuongeza mke.

Mwanamke anapojua kwamba mwanaume bado anaweza kuongeza mke, hapo anashika adabu yake.

Mfano yeye anaweza kujipangia mzae watoto wawili tu akijua huwezi ongeza mke, ila akijua unaweza kuongeza mke atakuzalia tu ili usiongeze mke.
 
Manabii kibao walioa mke zaidi ya moja, Je lengo lilikuwa ni tamaa za ngono?
Kuwa nabii hakumwondolei mtu ubinadamu wake. Nao manabii ni kizazi Cha Adam na Eva waliomwasi Mungu na kutii maelekezo ya ibilisi. Maelekezo ya Mungu yatabakia hivyo na tamaa za mwanadamu zitaendelea kumtuma kuasi maelekezo ya Mungu. Tubuni na msigeuzegeuze MAANDIKO kama chapati !!!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
MAANDIKO yapo wazi kuhusu jambo hili. Jambo liliwekwa na Mungu mwenyewe na sio viongozi wa dini. Kama mtu ana uelewa kidogo tu wa kuchambua MAANDIKO hawezi kutoa viwazo ili kutafuta uhalali wa kukidhi tamaa zake za chini ya kitovu. Karibu tu kutafakari HAYA ; Mwanzo 1:18, na Mwanzo 1:24.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mungu yupi acheni utapeli,maandiko waandike Wazungu na Waarabu wasingizie Mungu kasema.
 
Tatizo kubwa ni kwamba wakristo wanafata wanachoambiwa na viongozi wa kidini na sio maandiko yanavyosema. Hakuna sehemu imeandika mwanaume aoe mke moja tu.

Kuna huu mstari wa "Nao wawili watakuwa mwili mmoja." i hutafsiriwa vibaya kwa kudhani kwamba mwanaume inabidi awe na mke moja, La hasha!

Mwili moja ni mahusiano halali kwa ndoa ama batili nje ya ndoa yanayowakutanisha kimwili mwanaume na mwanamke kimwili. mwanaume akikutana kimwili hata na malaya tayarini mwili mmoja hapo.

1 Wakorintho 6:16
Maana, kama mjuavyo, anayeungana na kahaba huwa mwili mmoja naye--kama ilivyoandikwa: "Nao wawili watakuwa mwili mmoja.

pia ni dhana ya wingi wa kilicho chini kujikusanya kwa chenye ukuu kuwa kimoja, hata kiroho watu wanaomuamini Mwenyezi Mungu wako wengi ila wanatengeneza kwa vile wapo chini ya Bwana wanatengeneza roho moja tu,

1 Wakorintho 6:16
Lakini aliyejiunga na Bwana huwa roho moja naye.

basi hivi ndivyo ilivyo kwa mwanaume mwenye wake wengi, licha ya kuwa na wanawake wengi bado itakuwa ni mwili moja.

..............................

Matokeo ya kuafiki maandiko haya

-kuna kesi kibao za wanawake kuwanyima unyumba wanaume zao (njia pekee ni mwanaume kuchepuka)
-Mwanamke anampangia mwanaume wawe na watoto wangapi (anaweza kuzaa mtoto moja shughuli imeisha)
-Mwanaume anaweza asiwe na watoto kama mwanamke ni tasa.
Hivi mtume alikuwa na wake
wangapi na bi khadija wakati anamuchukua mtume kuwa mke wake wakati huo mtume alikuwa anaishi wapi vile?
Uislam mwanzilishi wake alikuwa na wake wangapi? Mbona nyie waislam hamfuati ya mtume wenu yeye alikuwa na wake kumi na mbili na zaidi
Kwanini nyie muishie wanna tu shida ipo wapi? Kwanini msiwe na wake kama alivyokuwa mtume wenu
 
Tatizo kubwa ni kwamba wakristo wanafata wanachoambiwa na viongozi wa kidini na sio maandiko yanavyosema. Hakuna sehemu imeandika mwanaume aoe mke moja tu.

Kuna huu mstari wa "Nao wawili watakuwa mwili mmoja." i hutafsiriwa vibaya kwa kudhani kwamba mwanaume inabidi awe na mke moja, La hasha!

Mwili moja ni mahusiano halali kwa ndoa ama batili nje ya ndoa yanayowakutanisha kimwili mwanaume na mwanamke kimwili. mwanaume akikutana kimwili hata na malaya tayarini mwili mmoja hapo.

1 Wakorintho 6:16
Maana, kama mjuavyo, anayeungana na kahaba huwa mwili mmoja naye--kama ilivyoandikwa: "Nao wawili watakuwa mwili mmoja.

pia ni dhana ya wingi wa kilicho chini kujikusanya kwa chenye ukuu kuwa kimoja, hata kiroho watu wanaomuamini Mwenyezi Mungu wako wengi ila wanatengeneza kwa vile wapo chini ya Bwana wanatengeneza roho moja tu,

1 Wakorintho 6:16
Lakini aliyejiunga na Bwana huwa roho moja naye.

basi hivi ndivyo ilivyo kwa mwanaume mwenye wake wengi, licha ya kuwa na wanawake wengi bado itakuwa ni mwili moja.

..............................

Matokeo ya kuafiki maandiko haya

-kuna kesi kibao za wanawake kuwanyima unyumba wanaume zao (njia pekee ni mwanaume kuchepuka)
-Mwanamke anampangia mwanaume wawe na watoto wangapi (anaweza kuzaa mtoto moja shughuli imeisha)
-Mwanaume anaweza asiwe na watoto kama mwanamke ni tasa.

Kuwa nabii hakumwondolei mtu ubinadamu wake. Nao manabii ni kizazi Cha Adam na Eva waliomwasi Mungu na kutii maelekezo ya ibilisi. Maelekezo ya Mungu yatabakia hivyo na tamaa za mwanadamu zitaendelea kumtuma kuasi maelekezo ya Mungu. Tubuni na msigeuzegeuze MAANDIKO kama chapati !!!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app

Kwa mujibu wa Biblia Takatifu ww unahubiri Injili nyingine hivyo Umelaaniwa
[emoji116][emoji116][emoji24][emoji24]
Wagalatia 1
8 Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri, na alaaniwe.

9 Kama tulivyotangulia kusema, na sasa, nasema tena, mtu awaye yote akiwahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo mliyoipokea, na alaaniwe.
 
Mwili moja ni mahusiano halali kwa ndoa ama batili nje ya ndoa yanayowakutanisha kimwili mwanaume na mwanamke kimwili. mwanaume akikutana kimwili hata na malaya tayarini mwili mmoja hapo.
🤣😆😂
Niacheni nicheke kwanza
 
Back
Top Bottom