Ukristo: Mungu hajakataza kuoa mke zaidi ya moja, dhana ya mwili moja si kuwa na mke moja, hata ukilala na malaya ninyi tayari ni mwili moja

Ukristo: Mungu hajakataza kuoa mke zaidi ya moja, dhana ya mwili moja si kuwa na mke moja, hata ukilala na malaya ninyi tayari ni mwili moja

kuoa mke zaidi ya mmoja kuna masharti na mazingira ambayo yanaruhusu kufanya hivyo tena mke aliyetangulia lazima akubali kwa ridhaa bila kulazimishwa ila tatizo naona wengi wanatoa sababu nyepesi zinazoongozwa na tamaa za kuoa mke zaidi ya mmoja hii ni kwa wote mkristo/muislamu mfano mke amezeeka ambapo anashindwa kumuhudumia mumewe na mume bado ana nguvu basi mke anaweza kumshauri mumewe aoe mke mwingine wa kumsaidia
 
[emoji23][emoji23][emoji23] tuiamini biblia pekee kwa misingi ipi? Kwamba yenyewe haikuandikwa na wanadamu kama vilivyo vitabu vingine? Hiyo ni miradi ya watu mkuu amka usingizini.

Hakuna kitabu kilichoshuka kutoka mbinguni vyote ni maandishi yaliyoandikwa na binadamu.

Yaani ulivyoongea utadhani biblia ilishuka straight kutoka mbinguni haikuandikwa na binadamu kama wewe. Ukiiamini biblia basi automatically uamini na vitabu vingine kwakuwa vyote ni maandiko ya binadamu.
Hata Shetani ana wajumbe Haji yeye kama yeye , Mungu naye ana wajumbe ambao ni binadamu ndo aliwatumia kuandika Kwa uongozi wake , ndio ni kweli hakuna kitabu kilichoshushwa kutoka Mbinguni , Iko hv kama huamin biblia basi we endelea na mpango wako , wanaoiamini pia wataendelea kuamini ....

Swala la Imani huwez mpangia mtu , katika masuala ya kiimani mi naamini biblia na sababu ninayo, Ila siamini katika mfumo wa madhehebu ambayo totatlly yapo kunyonyana ...na kwenye biblia hayapo
 
Kweli mkuu nakubaliana na uliyoyaandika.

Ila nnapopishana na wewe ni hapo uliposema mwnmke uchochoro wa shetani.

Ni lini watu watatake responsibility na kusema my actions are wrong?
Am doing things as a person who is out of control of myself?lini?

Kila kitu mara wanawake hawana heshima,mara malaya,mara ivi na vile ndo mana tunatembea zipu wazi.....its an issue of reacting to the actions of these women au kuna jingine?

The only thing we can control is ourselves,sasa inakuaje tena kila kitu ni wanawake?imebakia kusema wanatubaka.

kufanya jambo bila kiasi ni Misuse of our energy.mtu unajiona una power over women kumbe you have failed to be your own leader,then you seek power kwenye vitu vinavokumaliza.
Sorry nimeongea Kwa muktadha wa biblia boss , kuna mambo mengine biblia imeongea Kwa lugua ya picha ..... Kama tutajadiliana kupitia biblia naamini tutaelewana lakini kama tukiamua tutumie facts zinazoonekana Kwa macho , Mila na desturi sidhani kama tutafika ,
 
Sorry nimeongea Kwa muktadha wa biblia boss , kuna mambo mengine biblia imeongea Kwa lugua ya picha ..... Kama tutajadiliana kupitia biblia naamini tutaelewana lakini kama tukiamua tutumie facts zinazoonekana Kwa macho , Mila na desturi sidhani kama tutafika ,
Ok,ila tuheshimu kwamba sio kila mtu jamvini anafata biblia,hivyo basi ni vizuri kuitumia ila kupanua wigo wa matumizi pia ya common sense.

Ila sjaona kugusia swali nlilokuuliza ni lini watu watakuwa responsible for their actions and behaviours?
 
Huyu mmoja anavyonipelekesha na imagine ningekua na wawili sijui ningekuwaje.
 
Mungu aliumba mwanaume na mwanamke, sio mwanaume na Wanawake ingekuwa hivyo unavyotaka angeumba mwanaume na wanawake wanne tofauti, Ibrahimu hakuna na wanawake wengi, Bali alikuwa na Sarah pekee, baada ya Sarah kufariki akaoa mwanamke mwingine, Yakobo maandiko yanasema alimpenda Rachel na sio Leah hiyo ilikuwa ni matokeo ya roho ya uongo na Mungu aligundua hilo akamfunga Recho tumbo.

Hoja ya wanaume kunyimwa unyumba na wake zao ni kweli lipo linatokana na wanawake kukosa utii mbele za Mungu na mbele ya waume zao, na wanawake hutumia hiyo kama silaha ya kuwaadhibu wanaume Ndio kosa linapoanzia shetani anapata upenyo wa kusambaratisha kumbuka shetani hapend umoja, Ndio maana analeta suala ya wake wanne linaloonekana ni jema lakini kiuhalisia hakuwezi kukawa na umoja Kwa wanawake wanaoshea mwanaume
 
Back
Top Bottom