Ukristo na Uislamu ni Dini mbili zisizofanana kabisa

Mafanano yao ni mengi kuliko tafauti. Ukiristo haupo bila Bikira Maria Mama wa Mungu, sijui kama unajua kuwa Bikira Maria alikuwa anavaa hijab?
 
Muwapatie na mabomu kabisa
 
Mafanano yao ni mengi kuliko tafauti. Ukiristo haupo bila Bikira Maria Mama wa Mungu, sijui kama unajua kuwa Bikira Maria alikuwa anavaa hijab?
Hijab siyo dini, hijab ni vazi la mila ya karibu makabila yote ya Mashariki ya Kati kama vile kwa wanaume kuvaa kanzu, tofauti ni kuwa kwa waislamu hijab ni Sharia!
 
Mafanano yao ni mengi kuliko tafauti. Ukiristo haupo bila Bikira Maria Mama wa Mungu, sijui kama unajua kuwa Bikira Maria alikuwa anavaa hijab?
Ukristo haupo bila Yesu... elewa kwanza maana ya Ukristo, Ukristo ni ufuasi wa Yesu Kristo, na sio ufuasi wa Bikra Maria

Kwenye Biblia kila mtu aliyetajwa ana nafasi yake kiimani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…