Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Huu upande una raha sana asikwambie.
ukikosea unasamehewa saba mara sabini..
unaingia kanisani Hata mara 1 kwa mwaka and no one cares..
Hakuna kufuatiliana hata ukibadili msimamo wako wa kidini na kwenda kwingine, ukirudi unapokelewa vizuri tu
Mkristo kipindi cha mfungo hakuna purukushani za kulazimishwa kufunga!
....