Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

Mimi navyofahamu Uislamu ni wanaabudu shetani moja kwa moja hakuna kupindisha maneno.

Ndio maana hata huko kila mtu na jini lake la kumlinda.
Ni kweli kabisa umeongea ukweli na Kwa maana wanaamini basi wao ndio watajibu siku ya mwisho
 
Kufufuka KWA Yesu Kristo wa Nazareth ndio mwanzo mpya wa imani ya Ukristo.
Wakristo wanasherekea ushindi wa dhambi pamoja na Yesu Kristo
 
Yesu Kristo ndie Bwana wa saba, Yesu ni MKUU kuliko sabato. So Mkristo hafungwi na siku bali kwa msalaba wa Kristo pekee.
Shetani ajawi kuumba hata sisimizi yeye ubadili vilivyoumbwa na Mungu mfano alama, namba, nk kwa nia ya upotoshi.
 
Kwahiyo
 
Inawezekana unachokisema ni kweli,lakini wewe binafsi inakusaidia nini?imefanya maisha yako yawe Bora?je kwa sasa hv wakristo wakienda kuabudu wanakuwa wanaabudu jua au Mungu?
Je hayo uliyoyasema tutayathibitsha vipi?hizi dini zilikuwepo kwa miaka 2000+iliyopita.
Buza,Islam,Jews,Ukristo,wote hao wanaona Imani zao ndio Bora kuliko zingine,
Hakuna anayeujua ukweli,we fata dini aliyokupa baba yako,na Mimi nafata aliyonipa baba,
Watu wengi hapa,Imani walizonazo,wamejikuta wanazo,kutokana na familia walizotoka,kama umezaliwa na baba Islam,na wewe utaenda madarasa sana,utasoma alif,be,te,na utalazimishwa kufunga,ukiwa na dingi mkristo,mafundisho lazima,kumunio,kipaimara,sasa tuache ujuaji wa historia,kama ubongo wako upo vzr,leta kanuni ya kutengeneza satellite,au spaceship kama za Eron musk,au dadavua kwanini spaceship ya eronmusk,ilishindwa kuruka na kulipuka juzi,leta suruhisho,sio kuleta mbambamba za dini,wakati hapo ulipo hata milioni 30 huna benk.
 
Utatu mtakatifu
Moja ya mahitaji katika ibada ya jua ni hitaji la kuwa na miungu watatu, baba, mama na mtoto.
Utatu wa Nimrodi, Tamuzi na Semiramis ulikuwa ni utatu mtakatifu wa zamani zaidi. Na biblia inasema kwamba Wayahudi wa awali walikuwa wakiabudu Tamuzi.

Angalia maisha Yako na dini Yako usihangaike na ya watu wengine utakuwa kichaa Tena utakosa diraa .

Nyie mnaishi gizani roho zenu hazina mwanga, ila wewe ni muumini wa shetani so unakerwa na wakristo sana na lazima utu chukie tu. Maana siye tunaeleweka nyie hamueleweki hata kidogo , .

Utatu mtakatifu , ni BABA MWANA NA ROHO , Sasa jitoe ufahamu eti baba mama na mtoto hapo tayari bangi ipo kichwani
 
Shetani ni muigaji
Pana utatu Mtakatifu wa Mungu hii ipo wazi kimaandiko na sio imebuniwa na Wakristo. Pia upo utatu Mtakatifu wa shetani muuigaji.
Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni nguvu zinazoshirikiana kiutenadji. Ule wa shetani ni tamuzi, orasi na isis sasa kuna fundisho lolote la Mkristo linamtambua tamuzi, oras na isis miungu hii ya kale ya Misri kama chimbuko la ufreemason?
. Muasisi wa Ukristo ni Yesu Kristo wa Nazareth pale Yerusalem ukaenezwa duniani kupitia mitume wake. Mtume Paul ndie aliyeusambaza Ukristo Ulaya.
 
Wakirito mmkubali hoja kuwa nyiyi ni waabudu jua siku ya j2 kwa sababu amjengi hoja bali mnajificha na kuzua mengine hili hoja ife
Kwenye mada kuna maelezo yanasema tunaabudu jua na hata baadhi kadhaa kadhaa kuna michoro ya jua.....Swali kwenu ile alama ya nyota na mwezi nyinyi vina maana gani ?? Tujibuni tuelewe
 
Yesu Kristo ni jina , Masihi ni cheo. Neno Kristo means mpakwa mafuta.
Jina lenye nguvu na litumikalo kuzishinda nguvu za giza ni Yesu na sio masihi.
 
Mkristo hawezi ujua zaidi uislamu kuliko Muislamu na pia Muislamu hawezi ujua zaidi Ukristo kuliko Mkristo. Zaidi ya hapo ni changamsha mada tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…