Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

Ukiristo sio dini
Nadhani dini ni usabato na uislamu tu Hawa wengine wanavaa vimini kanisani wachungaji wa mchongo sana
Kumbe kwako dini ni kuto vaa vimini? We kweli hamnazo

Unaweza kuniambia kabla ya inovation of tecnology watu walivaa nini kanisani?
 
Bwana eh! Em elewa basi.
Naposema biblia imechakachuliwa haimaanishi walibadilisha kila fungu.
Walichukua mafungu ambayo yana dhana fulani/agenda fulani na kuyabadili kidogo.
Kwahyo swali lako halimake sense

Hata kama hiyo daniel haijachakachuliwa haimaanishi hamna sehemu zingine zilizochakachuliwa
 
Ikishajulikana inakusaidia nini wewe ambaye sio mpagani!? Unafikiri wasipokuwepo wapagani neno mpagani litakuwepo!?
Lisipokuwepo itakuwa heri sana...namimi ntapata thawabu kwa mungu wangu
 
Kanisani sio bar
Kanisani walivaa nini? Kabla ya ujio wa viwanda hivyo vya nguo? Tatizo hata hamielewi dini hizi zimekujaje kujaje,

we jiulize kwanini ukanda wa pwani na mwambao wa bahari ndio wamejaa waislamu wengi unajua ni kwanini?unadhani kwanini usislam uwe kanda zenye bahari zaid kulikoni ?

Bahari ndio lango kuu la kuingilia kwa shetani na ndio makazi makuu ya majini na ndio maana waarabu waliweka kambi huko ili waweze kuwasioiana kwa urahisi 🤣
 
Umeedit hiyo picha...sijawahi kupost thread ya hivyo humu jamvini.
Ewe mwanaJF usidanganyike kirahisi, search title ya huo uzi kama upo.
 
Ni swala la aibu sana kuona waafrika tukigombana kuhusu dini ambazo si zetu. Ukristu ulikuja kabla ya ukoloni ili kuiandaa afrika kwa ajili ya ukoloni, uislamu ulikuja na biashara ya utumwa.
kila dini ina nguvu zake na mapungufu yake. Elewa halafu amini.
 
Lisipokuwepo itakuwa heri sana...namimi ntapata thawabu kwa mungu wangu
Thawabu gani utapata kwa kusema vibaya dini za wengine? Kama unahisi mtu anabudu kisicho sahihi fanya namna ya kumbadili afuate chako bila kukashifu kila anachokiamini mda huo itakusaidia kupata hizo thawabu kwa Mungu pasipo shaka
 

Wewe na hao wenzako Kama kweli wanaabudu mwezi na nyote basi nyinyi Ni WAISLAMU feki au washirikina. Na dhambi ya ushirikina haina msamaha bila ya Toba ya kweli.
 
Thawabu gani utapata kwa kusema vibaya dini za wengine? Kama unahisi mtu anabudu kisicho sahihi fanya namna ya kumbadili afuate chako bila kukashifu kila anachokiamini mda huo itakusaidia kupata hizo thawabu kwa Mungu pasipo shaka
Wapi nimekashfu??? Au kuingea ukweli kuhusu ibaada za kikristo ni kukashfu?
 
Basi dini ya kweli ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…