Ukristo ni kutukuza utamaduni wa watu weupe, tujitafakari sana

Labda kiswahili hukielewi , Huyo mungu wako ni Nani ? Na sala yako umeitowa wapi ?
Nimeeekuuuliza huko juu Uislamu ulianzishwa na waafrika ? Ukristu ulianzishwa na waafrika ? Ukimaliza naomba jibu la swali langu hapo chini ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡

Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma hii ni mara ya sitini na tatu nakuuliza. Unazidi kuonyesha watu uwezo wako wa kufikiri . Usipokuwa makini nitakuuliza zaidi ya mara mia. Narudia tena kwa mara ya sitini na tatu: "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
 
Labda kiswahili hukielewi , Huyo mungu wako ni Nani ? Na sala yako umeitowa wapi ?
 
Labda kiswahili hukielewi , Huyo mungu wako ni Nani ? Na sala yako umeitowa wapi ?
Nimeshakujibu Mungu wangu ni watu wote na sio watu wote na sio waarabu ndugu yangu mbona hauelewi. Au mwenzangu Mungu wako unamjua ushawahi kuonana nae ? Ukionana nae muulize kwa nini mnafanya ibada kwa kiarabu. Na kwa nini mnalazimishwa kwenda kuhiji Uarabuni. Huko nyuma nimeekuuuliza Uislamu ulianzishwa na waafrika ? Ukristu ulianzishwa na waafrika ? Ukimaliza naomba jibu la swali langu hapo chini ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡

Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma hii ni mara ya sitini na nne nakuuliza. Unazidi kuonyesha watu uwezo wako wa kufikiri . Usipokuwa makini nitakuuliza zaidi ya mara mia. Narudia tena kwa mara ya sitini na nne: "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
 
Watu wote ni Mungu kwa mujibu wa kitabu gani? Watu wote kumbe ni Mungu wa wakatoliki ? Tokea lini ? Kitabu gani cha wakatoliki kimeandika watu waabudu watu Kama mungu ? Au hiyo ni bangi ya Ujerumani inakuchengua?
Unaona Aibu kusema unaabudu mungu gani ?
Kumbe hiyo kampuni yako inafadhili ushoga ? Kumbe najadiliana na punga?
 
Ukristo haujatokea ulaya we mang'aa
 
Asante kwa kuniita Punga ukinitukana ndio najua kuwa unaelewa somo. Nimekuambia Mungu wangu ni Mungu wa wote. Wapi nimesema Mungu wangu ni mungu wa wakatoliki ? Niambie Mungu wako ni Mungu gani ndugu yangu ? Mungu anaekuambia uswali kwa Kiarabu na kukulazimisha kuhiji uarabuni ? Nimekuuliza huko nyuma kituo cha kwanza cha Utafiti cha malaria kilianzishwa wapi na wakina nani haujajibu ? Nimekuuliza ulete historia ya ''bacha bazi'' upo kimya ? Unaongelea Ushoga wakati ushoga umeanza uarabuni na ndio maana Unguja kuna ushoga wazi wazi kuliko bara. Amri za sharia ndio zimezaa ushoga uarabuni maana ukizini unanyongwa kwa hio wanaume wananunua wavulana kutoka koo za tabaka za chini na kuwalawiti. Amka ndugu yangu . Mimi natema facts tu siongei nadharia. Maswali yangu mengi haujajibu Nimeeekuuuliza huko juu Uislamu ulianzishwa na waafrika ? Ukristu ulianzishwa na waafrika ? Ukimaliza naomba jibu la swali langu hapo chini ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡

Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma hii ni mara ya sitini na tano nakuuliza. Unazidi kuonyesha watu uwezo wako wa kufikiri . Usipokuwa makini nitakuuliza zaidi ya mara mia. Narudia tena kwa mara ya sitini na tano: "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
 
Mungu wa wote ni Mungu yupi ? Mbona unashindwa kutuambia? Sijakutukana ila kufanya kazi kwenye kampuni hizo ulizozitaja ambazo zinasaidia mashoga unatutia wasiwasi .
Mungu wa wote ndiye mungu gani ? Hana jina kwa wakatoliki ? Unaona Aibu gani kusema?
 
Mungu wa wote ni Mungu yupi ? Mbona unashindwa kutuambia? Sijakutukana ila kufanya kazi kwenye kampuni hizo ulizozitaja ambazo zinasaidia mashoga unatutia wasiwasi .
Mungu wa wote ndiye mungu gani ? Hana jina kwa wakatoliki ? Unaona Aibu gani kusema?
Mungu wako ni Mungu yupi ? Labda mwenzangu Mungu wako umeshaonana nae na amekushauri usali kwa Kiarabu na uende kuhiji uarabuni ndugu yangu.Nimeeekuuuliza huko juu Uislamu ulianzishwa na waafrika ? Ukristu ulianzishwa na waafrika ? Ukimaliza naomba jibu la swali langu hapo chini ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡

Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma hii ni mara ya sitini na sita nakuuliza. Unazidi kuonyesha watu uwezo wako wa kufikiri . Usipokuwa makini nitakuuliza zaidi ya mara mia. Narudia tena kwa mara ya sitini na sita: "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
 
Nilikuuliza

Mungu wa wote ni Mungu yupi ?

umejibu :

Mungu wako ni Mungu yupi ? Labda mwenzangu Mungu wako umeshaonana nae na amekushauri usali kwa Kiarabu na uende kuhiji uarabuni ndugu yangu.Nimeeekuuuliza huko juu Uislamu ulianzishwa na waafrika ? Ukristu ulianzishwa na waafrika ? Ukimaliza naomba jibu la swali langu hapo chini ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡

Jee huyo ndiye Mungu unayemwabudu , wewe mkatoliki uliyeko Ujerumani ??

Hana jina kwa wakatoliki ? Unaona Aibu gani kusema?
 
Nimeshakujibu huko juu ''Mungu wa wote ni Mungu anayeruhusu watuwote kumuabudu bila kujali lugha au tamaduni zao. Tunasali na kumwomba Mungu . Mungu wa wote hana jina, wakristu hawamwiti Mungu majina. Sisi sio kama nyinyi kwamba tuna Mungu anaitwa Allah.'' Maswali yangu mengi haujajibu Nimeeekuuuliza huko juu Uislamu ulianzishwa na waafrika ? Ukristu ulianzishwa na waafrika ? Ukimaliza naomba jibu la swali langu hapo chini ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡

Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma hii ni mara ya sitini na saba nakuuliza. Unazidi kuonyesha watu uwezo wako wa kufikiri . Usipokuwa makini nitakuuliza zaidi ya mara mia. Narudia tena kwa mara ya sitini na saba: "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
 
Dini Ni Utapeli sijui Christianity or Muslim zote Ni Uhuni tu, Yani Vitukuu vyetu miaka ya Mbele vitakuja kutuona tulikuwa Wajinga sana
 
Wewe dude ni una Historia ya Uongo balaa....
1.Ukristu ulianza kuingia Ulaya kabla ya Afrika
2.Ukristu uliingia Afrika karne ya 1.
3.Ina maana vile vitabu vitano vya Musa,viliandikwa baada ya karne ya kwanza
4.Ina maana agano la kwanza liliandikwa baada ya agano jipya
5.Mafarao wa Misri walikuwepo hadi karne...
6.Ukristu uliingia Tanganyika karne ya 15...Sehemu gani...?


Note :
Tafadhali weka ushahidi wa kihistoria ulichosema...
 

Ni Nani huyo mungu wa wote anayewaruhusu kuswali kwa kiswahili ? Ni wapi katika Biblia yenu ya wakatoliki aliwaambia msali kwa kiswahili?

Kumbe kampuni zako zinapigia debe ushoga?
Msaada mzungu Hana isipokiwa kueneza ushogaรฅ na ndio anafukuzwa nchi nyingi Za kiafrika


View: https://youtu.be/F53-QIzALIE?si=Mu9x4ZWVOh0RTqXVร…
 
Dini Ni Utapeli sijui Christianity or Muslim zote Ni Uhuni tu, Yani Vitukuu vyetu miaka ya Mbele vitakuja kutuona tulikuwa Wajinga sana
Kitu gani Si utapeli , Ujamaa wa Nyerere ?
 

View: https://youtu.be/_YRV_LiHIZU?si=-y57B4h9MnEWOSSK
 
Dini haikuletwa Afrika na wazungu ndugu, soma biblia ndugu. Yesu mwenyewe aliishia Egypt alivokuwa mtoto. Wazungu wenyewe walipokea ukristo kama sisi na wao wakautangaza kama wachungaji wetu wanavotangaza sasa hivi tunavolalamika makanisa mengi. Acha kupotosha watu.
 
Kwani Yesu alikuwa na dini gani ?
 
Kwani Yesu alikuwa na dini gani ?
Yesu hakuwa na dini.. yeye ndie dini. Tuliomfata ndio tuliitwa โ€˜ wakristoโ€™ sasa namna ya kuabudu ina tofauti kwa kila anayeamini sasa ndo hayo wanaiita โ€˜madhehebuโ€™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ