Ukristo ni kutukuza utamaduni wa watu weupe, tujitafakari sana

Labda kiswahili hukielewi , Huyo mungu wako ni Nani ? Na sala yako umeitowa wapi ?
Nimeeekuuuliza huko juu Uislamu ulianzishwa na waafrika ? Ukristu ulianzishwa na waafrika ? Ukimaliza naomba jibu la swali langu hapo chini πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡

Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma hii ni mara ya sitini na tatu nakuuliza. Unazidi kuonyesha watu uwezo wako wa kufikiri . Usipokuwa makini nitakuuliza zaidi ya mara mia. Narudia tena kwa mara ya sitini na tatu: "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
 
Nimeshakujibu Mungu wangu ni watu wote na sio watu wote na sio waarabu ndugu yangu mbona hauelewi. Au mwenzangu Mungu wako unamjua ushawahi kuonana nae ? Ukionana nae muulize kwa nini mnafanya ibada kwa kiarabu. Na kwa nini mnalazimishwa kwenda kuhiji Uarabuni. Huko nyuma nimeekuuuliza Uislamu ulianzishwa na waafrika ? Ukristu ulianzishwa na waafrika ? Ukimaliza naomba jibu la swali langu hapo chini πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡

Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma hii ni mara ya sitini na nne nakuuliza. Unazidi kuonyesha watu uwezo wako wa kufikiri . Usipokuwa makini nitakuuliza zaidi ya mara mia. Narudia tena kwa mara ya sitini na nne: "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
 
Watu wote ni Mungu kwa mujibu wa kitabu gani? Watu wote kumbe ni Mungu wa wakatoliki ? Tokea lini ? Kitabu gani cha wakatoliki kimeandika watu waabudu watu Kama mungu ? Au hiyo ni bangi ya Ujerumani inakuchengua?
Unaona Aibu kusema unaabudu mungu gani ?
Kumbe hiyo kampuni yako inafadhili ushoga ? Kumbe najadiliana na punga?
 
Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini ya mfalme Ezana kwenye himaya ya Aksumite.

Lakini umeenea zaidi Afrika Chini ya jangwa la Sahara ikiwemo Tanganyika kwenye karne ya 15 chini ya wamisionari waliokuwa wanakuja kututawala, kututumikisha na kutuibia mali zetu ikiwa ni njia nzuri ya kutubadilisha kisiasa, kifikra na kitamaduni( wakati wa ukuaji wa himaya ya kirumi), kuenezwa ktk njia zote zilizokuwa zinafanya biashara pamoja na za watumwa.

Machifu na viongozi wetu walikumbatia ukristo kwa sababu ya kujenga urafiki na wazungu au kwa nguvu lakini lengo la wazungu likiwa ni kutubadilisha tuwe na imani kama yao ili tutawaliwe kirahisi kifikra na kiuchumi, biblia wakiishikilia mkono mmoja lakini bunduki mkono mwingine ukifanya masihara nao aliyefanya masihara na hao watakatifu, basi jua kwako imeenda!

Ambacho hakikubadilika ktk ukristo wa leo ni kutawala na upigaji. Mchungaji yuko juu ya kila mtu na hata juu ya familia za watu. Wakiamua wachungaji baba mwenye familia jua kwako imeenda Utakalolisema kama ushauri kwa mkeo atakuchenjia ndani mpaka utakoma hata kama ukiuliza mbona hela zote za familia unapeleka kanisani. Zitapelekwa, mchungaji ataambiwa unakatalia hela na hakuna kuongea na wewe wiki nzima.

Mahubiri mengine ya kitapeli na yanajulikana kabisa huu ni utapeli lakini inahalalishwa na watu na serikali inakaa kimya kabisa watu wakiibiwa, na hata kuingilia maamuzi ya kiafya katika familia za watu kwa maombi yasiyokuwa na miguu wala mikono. Kwa utawala huu walionao leo wananunuliwa magari ya kifahari, wanalishwa mahotelini kifahari, watoto wao wanasomeshwa shule za maana na wengine wanajengewa nyumba za kifalme kutoka kwa waumini wao ambao wengi hata mlo mmoja kwa siku ni shida.

Ukristo kama ilivyokuwa nia ya wakoloni kuja kutupiga na kuzineemesha kiutajiri nchi za ulaya, leo wakati nchi hizo zimeshakuwa matajiri, wachungaji na viongozi wa kidini wamekuwa ni wapigaji wa wananchi tena bila huruma au aibu. Baadae tutakuja kuona wakitosheka kwa kula na kusaza wachungaji ndio watakuwa maraisi wa nchi zetu baada ya mafisadi kuchoka maana ndio wenye hela.

Kwa hiyo mtu asinidanganye kunisomea kifungu hiki cha neno ktk bibilia kinasema hili au lile. Nawajua.
Mnapambania kutukuza utamaduni wa watu weupe niwaamini ili mnitawale kiuchumi na kifikra.

Na mara nyingi hata serikali nyingi za Africa zunajua tunapigwa, ila wanazisaidia serikali nyingi "KUTUNZA AMANI, ILI MAFISADI NAO WAENDELEE KULA KWA AMANI" na sio kwa maslahi ya falimia yoyote. Kama unabisha nitafutie kanisa lolote lili kubwa kama utaona mzee wa kanisa ni muuza mchicha. Cheo chako kanisani kitategemea kitita cha hela kilichoko mfukoni mwako na ndiye utakayekuwa na sauti kanisani.

Wanaitwa mihimili ya kanisa. Wachina wanawapa watoto wao majina ya kichina, wahindi ya kihindi, wajapani ya kijapani lakini usipompa mtoto wako jina la kikoloni basi utaitwa mpagani, neno ambalo nia yake ni kudhalilisha imani za wazazi wetu ili upuuzi wao uendelee kushika mizizi wa kutuibia fikra na mali zetu. Walitutenganisha na wazazi kuwapeleka utumwani bila kujali familia zao zitaishije huko nyuma na leo wachungaji wengine ndio vinara wa kuvuruga familia za watu. Yaleyale. Mvimbishie kichwa mchungaji uone! Kudadeki. Atakuhibiri mpaka masiko yako yang'oke kichwani. Kisa umtii tu. Simtii yoyote!

Kwa leo Ukristo ni kitu kinachosikitisha kukiona!
Ukristo haujatokea ulaya we mang'aa
 
Watu wote ni Mungu kwa mujibu wa kitabu gani? Watu wote kumbe ni Mungu wa wakatoliki ? Tokea lini ? Kitabu gani cha wakatoliki kimeandika watu waabudu watu Kama mungu ? Au hiyo ni bangi ya Ujerumani inakuchengua?
Unaona Aibu kusema unaabudu mungu gani ?
Kumbe hiyo kampuni yako inafadhili ushoga ? Kumbe najadiliana na punga?
Asante kwa kuniita Punga ukinitukana ndio najua kuwa unaelewa somo. Nimekuambia Mungu wangu ni Mungu wa wote. Wapi nimesema Mungu wangu ni mungu wa wakatoliki ? Niambie Mungu wako ni Mungu gani ndugu yangu ? Mungu anaekuambia uswali kwa Kiarabu na kukulazimisha kuhiji uarabuni ? Nimekuuliza huko nyuma kituo cha kwanza cha Utafiti cha malaria kilianzishwa wapi na wakina nani haujajibu ? Nimekuuliza ulete historia ya ''bacha bazi'' upo kimya ? Unaongelea Ushoga wakati ushoga umeanza uarabuni na ndio maana Unguja kuna ushoga wazi wazi kuliko bara. Amri za sharia ndio zimezaa ushoga uarabuni maana ukizini unanyongwa kwa hio wanaume wananunua wavulana kutoka koo za tabaka za chini na kuwalawiti. Amka ndugu yangu . Mimi natema facts tu siongei nadharia. Maswali yangu mengi haujajibu Nimeeekuuuliza huko juu Uislamu ulianzishwa na waafrika ? Ukristu ulianzishwa na waafrika ? Ukimaliza naomba jibu la swali langu hapo chini πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡

Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma hii ni mara ya sitini na tano nakuuliza. Unazidi kuonyesha watu uwezo wako wa kufikiri . Usipokuwa makini nitakuuliza zaidi ya mara mia. Narudia tena kwa mara ya sitini na tano: "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
 
Mungu wa wote ni Mungu yupi ? Mbona unashindwa kutuambia? Sijakutukana ila kufanya kazi kwenye kampuni hizo ulizozitaja ambazo zinasaidia mashoga unatutia wasiwasi .
Mungu wa wote ndiye mungu gani ? Hana jina kwa wakatoliki ? Unaona Aibu gani kusema?
 
Mungu wako ni Mungu yupi ? Labda mwenzangu Mungu wako umeshaonana nae na amekushauri usali kwa Kiarabu na uende kuhiji uarabuni ndugu yangu.Nimeeekuuuliza huko juu Uislamu ulianzishwa na waafrika ? Ukristu ulianzishwa na waafrika ? Ukimaliza naomba jibu la swali langu hapo chini πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡

Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma hii ni mara ya sitini na sita nakuuliza. Unazidi kuonyesha watu uwezo wako wa kufikiri . Usipokuwa makini nitakuuliza zaidi ya mara mia. Narudia tena kwa mara ya sitini na sita: "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
 
Nilikuuliza

Mungu wa wote ni Mungu yupi ?

umejibu :

Jee huyo ndiye Mungu unayemwabudu , wewe mkatoliki uliyeko Ujerumani ??

Hana jina kwa wakatoliki ? Unaona Aibu gani kusema?
 
Nimeshakujibu huko juu ''Mungu wa wote ni Mungu anayeruhusu watuwote kumuabudu bila kujali lugha au tamaduni zao. Tunasali na kumwomba Mungu . Mungu wa wote hana jina, wakristu hawamwiti Mungu majina. Sisi sio kama nyinyi kwamba tuna Mungu anaitwa Allah.'' Maswali yangu mengi haujajibu Nimeeekuuuliza huko juu Uislamu ulianzishwa na waafrika ? Ukristu ulianzishwa na waafrika ? Ukimaliza naomba jibu la swali langu hapo chini πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡

Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma hii ni mara ya sitini na saba nakuuliza. Unazidi kuonyesha watu uwezo wako wa kufikiri . Usipokuwa makini nitakuuliza zaidi ya mara mia. Narudia tena kwa mara ya sitini na saba: "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.
 
Dini Ni Utapeli sijui Christianity or Muslim zote Ni Uhuni tu, Yani Vitukuu vyetu miaka ya Mbele vitakuja kutuona tulikuwa Wajinga sana
 
Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini ya mfalme Ezana kwenye himaya ya Aksumite.

Lakini umeenea zaidi Afrika Chini ya jangwa la Sahara ikiwemo Tanganyika kwenye karne ya 15 chini ya wamisionari waliokuwa wanakuja kututawala, kututumikisha na kutuibia mali zetu ikiwa ni njia nzuri ya kutubadilisha kisiasa, kifikra na kitamaduni( wakati wa ukuaji wa himaya ya kirumi), kuenezwa ktk njia zote zilizokuwa zinafanya biashara pamoja na za watumwa.

Machifu na viongozi wetu walikumbatia ukristo kwa sababu ya kujenga urafiki na wazungu au kwa nguvu lakini lengo la wazungu likiwa ni kutubadilisha tuwe na imani kama yao ili tutawaliwe kirahisi kifikra na kiuchumi, biblia wakiishikilia mkono mmoja lakini bunduki mkono mwingine ukifanya masihara nao aliyefanya masihara na hao watakatifu, basi jua kwako imeenda!

Ambacho hakikubadilika ktk ukristo wa leo ni kutawala na upigaji. Mchungaji yuko juu ya kila mtu na hata juu ya familia za watu. Wakiamua wachungaji baba mwenye familia jua kwako imeenda Utakalolisema kama ushauri kwa mkeo atakuchenjia ndani mpaka utakoma hata kama ukiuliza mbona hela zote za familia unapeleka kanisani. Zitapelekwa, mchungaji ataambiwa unakatalia hela na hakuna kuongea na wewe wiki nzima.

Mahubiri mengine ya kitapeli na yanajulikana kabisa huu ni utapeli lakini inahalalishwa na watu na serikali inakaa kimya kabisa watu wakiibiwa, na hata kuingilia maamuzi ya kiafya katika familia za watu kwa maombi yasiyokuwa na miguu wala mikono. Kwa utawala huu walionao leo wananunuliwa magari ya kifahari, wanalishwa mahotelini kifahari, watoto wao wanasomeshwa shule za maana na wengine wanajengewa nyumba za kifalme kutoka kwa waumini wao ambao wengi hata mlo mmoja kwa siku ni shida.

Ukristo kama ilivyokuwa nia ya wakoloni kuja kutupiga na kuzineemesha kiutajiri nchi za ulaya, leo wakati nchi hizo zimeshakuwa matajiri, wachungaji na viongozi wa kidini wamekuwa ni wapigaji wa wananchi tena bila huruma au aibu. Baadae tutakuja kuona wakitosheka kwa kula na kusaza wachungaji ndio watakuwa maraisi wa nchi zetu baada ya mafisadi kuchoka maana ndio wenye hela.

Kwa hiyo mtu asinidanganye kunisomea kifungu hiki cha neno ktk bibilia kinasema hili au lile. Nawajua.
Mnapambania kutukuza utamaduni wa watu weupe niwaamini ili mnitawale kiuchumi na kifikra.

Na mara nyingi hata serikali nyingi za Africa zunajua tunapigwa, ila wanazisaidia serikali nyingi "KUTUNZA AMANI, ILI MAFISADI NAO WAENDELEE KULA KWA AMANI" na sio kwa maslahi ya falimia yoyote. Kama unabisha nitafutie kanisa lolote lili kubwa kama utaona mzee wa kanisa ni muuza mchicha. Cheo chako kanisani kitategemea kitita cha hela kilichoko mfukoni mwako na ndiye utakayekuwa na sauti kanisani.

Wanaitwa mihimili ya kanisa. Wachina wanawapa watoto wao majina ya kichina, wahindi ya kihindi, wajapani ya kijapani lakini usipompa mtoto wako jina la kikoloni basi utaitwa mpagani, neno ambalo nia yake ni kudhalilisha imani za wazazi wetu ili upuuzi wao uendelee kushika mizizi wa kutuibia fikra na mali zetu. Walitutenganisha na wazazi kuwapeleka utumwani bila kujali familia zao zitaishije huko nyuma na leo wachungaji wengine ndio vinara wa kuvuruga familia za watu. Yaleyale. Mvimbishie kichwa mchungaji uone! Kudadeki. Atakuhibiri mpaka masiko yako yang'oke kichwani. Kisa umtii tu. Simtii yoyote!

Kwa leo Ukristo ni kitu kinachosikitisha kukiona!
Wewe dude ni una Historia ya Uongo balaa....
1.Ukristu ulianza kuingia Ulaya kabla ya Afrika
2.Ukristu uliingia Afrika karne ya 1.
3.Ina maana vile vitabu vitano vya Musa,viliandikwa baada ya karne ya kwanza
4.Ina maana agano la kwanza liliandikwa baada ya agano jipya
5.Mafarao wa Misri walikuwepo hadi karne...
6.Ukristu uliingia Tanganyika karne ya 15...Sehemu gani...?

Note :
Tafadhali weka ushahidi wa kihistoria ulichosema...
 
Nimeshakujibu huko juu ''Mungu wa wote ni Mungu anayeruhusu watuwote kumuabudu bila kujali lugha au tamaduni zao. Tunasali na kumwomba Mungu . Mungu wa wote hana jina, wakristu hawamwiti Mungu majina. Sisi sio kama nyinyi kwamba tuna Mungu anaitwa Allah.'' Maswali yangu mengi haujajibu Nimeeekuuuliza huko juu Uislamu ulianzishwa na waafrika ? Ukristu ulianzishwa na waafrika ? Ukimaliza naomba jibu la swali langu hapo chini πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡

Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma hii ni mara ya sitini na saba nakuuliza. Unazidi kuonyesha watu uwezo wako wa kufikiri . Usipokuwa makini nitakuuliza zaidi ya mara mia. Narudia tena kwa mara ya sitini na saba: "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.

Ni Nani huyo mungu wa wote anayewaruhusu kuswali kwa kiswahili ? Ni wapi katika Biblia yenu ya wakatoliki aliwaambia msali kwa kiswahili?

Kumbe kampuni zako zinapigia debe ushoga?
Msaada mzungu Hana isipokiwa kueneza ushogaΓ₯ na ndio anafukuzwa nchi nyingi Za kiafrika

View: https://youtu.be/F53-QIzALIE?si=Mu9x4ZWVOh0RTqXVΓ…
 
Nimeshakujibu huko juu ''Mungu wa wote ni Mungu anayeruhusu watuwote kumuabudu bila kujali lugha au tamaduni zao. Tunasali na kumwomba Mungu . Mungu wa wote hana jina, wakristu hawamwiti Mungu majina. Sisi sio kama nyinyi kwamba tuna Mungu anaitwa Allah.'' Maswali yangu mengi haujajibu Nimeeekuuuliza huko juu Uislamu ulianzishwa na waafrika ? Ukristu ulianzishwa na waafrika ? Ukimaliza naomba jibu la swali langu hapo chini πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡

Ndugu wewe ndio unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu ? Rudia comment huko nyuma hii ni mara ya sitini na saba nakuuliza. Unazidi kuonyesha watu uwezo wako wa kufikiri . Usipokuwa makini nitakuuliza zaidi ya mara mia. Narudia tena kwa mara ya sitini na saba: "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.

View: https://youtu.be/_YRV_LiHIZU?si=-y57B4h9MnEWOSSK
 
Dini haikuletwa Afrika na wazungu ndugu, soma biblia ndugu. Yesu mwenyewe aliishia Egypt alivokuwa mtoto. Wazungu wenyewe walipokea ukristo kama sisi na wao wakautangaza kama wachungaji wetu wanavotangaza sasa hivi tunavolalamika makanisa mengi. Acha kupotosha watu.
 
Kwani Yesu alikuwa na dini gani ?
 
Kwani Yesu alikuwa na dini gani ?
Yesu hakuwa na dini.. yeye ndie dini. Tuliomfata ndio tuliitwa β€˜ wakristo’ sasa namna ya kuabudu ina tofauti kwa kila anayeamini sasa ndo hayo wanaiita β€˜madhehebu’
 
Back
Top Bottom