Sio kweli kwamba Ukristo uliingizwa Africa kwa mara ya kwanza na wazungu; hi sio kweli. Hizo nchi ulizozitaja, yaani Misri, Tunisia na Ethiopia, Ukristo uliingizwa na Wayahudi wenyewe. Wazungu pia walipelekewa Ukristo na Wayahudi kina Petro, Paul nk. Kanisa hili la Roman Catholic mwasisi wake alikua Paul, Mwisrael wa kabila Benyamin, alikwenda Italy kujibu mashtaka alioshitakiwa na Wayahudi wenzie, aliwatafuta Wayahudi wenzie waliokua uhamishoni kule na kuanza kuwaeleza habari za Yesu Kristo huku pia akiwaonesha kuhusu unabii uliomtabiri huyo masihi na namna unabii huo ulivotimia; baadhi waliamini while wengine walibisha, hatimae kanisa likaanza mjini Rome, na indoor sababu ya kanisa la Rome kuiyqa hivo, sababu ilikua ni Jina la mji; ikumbukwe zamani majina ya makanisa yalikua ni miji husika. Mtu wa kwanza kuupeleka Ukristo Ethiopia alikua mhamiaji wa Kiyahudi aliyekua anaishi Ethiopia, alikwenda Kuhiji Jerusalem kama ilivokua desturi ya Wayahudi kwenda Jerusalem kuhiji wakati wa sikukuu za pasaka, mhamiaji huyu wakati anarudi kutoka Jerusalem to Ethiopia akakutana na moja ya waliokua mitume wa Yesu, huyu ndio aliyemuhubiria Injili hadi akabatizwa, huyu pia aliporudi nyumbani aliupeleka Ukristo, then walifata kina Mathayo huko huko Ethiopia; ukiwatazama Wakristo wa Ethiopia wapo tofauti kidogo na Wakristo wa mataifa mengine; why? Walipelekewa Ukristo na Wayahudi wenyewe. Nasubiri comment then nitaeleza uhusiano wa Uzungu na Ukristo; but just a tip...; wazungu wali modify Ukristo ili kutapeli watu, sawa tu wanavyo fanya kina kiboko ya Wachawi nk. Sitafafanua hadi nisome mitazamo tofauti na yangu.