Ukristo uliomezwa na utandawazi, kuna mengi ya kujifunza kwa Waislam wanaosimamia maadili kombe la dunia Qatar

Wanajua wenyewe mpaka hao wanawake wapumbavu wanaofanya ibada za shetani kua matendo yao kwenye maisha yao! hv kwel mwanamke uliyelelewa kimaadili na wazazi wako unaweza kukaa mbele ua kadamnasi na kutetea kuvaa viguo vya kubana ambavyo kabisa ulitakiwa uvae ndani na mumeo? fucking this
Poleni. Wengine wanaona sawa kama ambavyo vipo ambavyo unaamini wewe wanaona haupo sawa. Kikubwa stick kwenye imani yako...wengine wapuuze watajua wenyewe na Mungu wao
 
Kama ambavyo wapo wanaojisitiri kwa kuvaa manguo meusi 24/7. Wanatuogopesha maana wanatisha lakini ndo hivyo hatuna la kuwafanya
 
Kwanza wanawake wapuuz wa aina hii wanatuharibia mpaka kizazi walitakiwa wahamishwe waende wakaishi huko na watoto wa ubilisi
 
Yani wiki hii uzi ni uislamu,ukristo,bashiru,ccm na umeme
Ndiyo maisha yalivyo duniani kuenenda na habari zilizopo muda huo(wanasema zinazo-trend) bila kusahau ya kudumu.Lakini kuna wapuuzi nchini "Colombia" huwa wanapagawa wenzao wakienenda na "trending news" wakidai wanarukia habari.
 
Kama ambavyo wapo wanaojisitiri kwa kuvaa manguo meusi 24/7. Wanatuogopesha maana wanatisha lakini ndo hivyo hatuna la kuwafanya
Mungu aliyesema wanawake wawe na stara kimavazi hakua mjinga wala mpumbavu kama wewe! na ndio maana alitoa utaratibu wa kuishi.Na hakuna mwanamke mwenye akili halafu asione umuhimu wa kuustili mwili wake.
 
Yeye huwa anavaa nguo za heshima.Weye endelea kujigubika miguo kama mkoma.Oooh...sorry!Ma bad!
 
Kwanza wanawake wapuuz wa aina hii wanatuharibia mpaka kizazi walitakiwa wahamishwe waende wakaishi huko na watoto wa ubilisi
Mwambieni Mungu wenu awahamishe. Kashindwa?
 
😂😂😂👉wameitwa kondooo kwamba ukiangalia akili za kondooo ni empty mfano kukuta kondoa wanatembea kwa kunusana tupu za nyuma ni kawaida sana ,hata kukuta kondoa wanne wamegongwa na gari moja ni kawaida maana wanaenda tu kufuata mkumbo

Biblia ipo clear kabisa ila utashangaa wanabehave tofauti kabisa kuanzia kuimba kanisani..
Hao vijana wa paulo👉👉mzungu akisema ivi wanafuata mpaka mtu unashangaa...
 
hakuna imani nzuri kama ukristo hapa duniani lakini ubaya ni kwamba dini za kikristo zinafata sheria za watu badala ya maandiko... kwa mbali angalau wasabato wanajitahidi.

inasikitisha sana kuona papa mkuu anakaa meza moja na wadau wa mapenzi ya jinsia moja kufanya maridhiano ambayo yamejaa matumaini, upuuzi kama huu ni wa kukemea na kupingwa kwa nguvu zote,

ni wakati wa Yesu kurudi kuja kuweka mambo sawa,
 
We ni mwanamke haijalishi kwa namba gani ila nikuibie Siri ukiwa unavaa vizuri hata kama hutaki scarf ya kichwani ,vaa fresh ile mambo yako poa unajipa thamani unaweza kuwa mouvu sio wewe tu hata sisi wote ni watenda dhambi.

Ila ukijstiri Inakuwa ni vizuri kawaida kutokana na Mila zetu ..Moja kati ya vigezo vya dini ,Mili hata sheria zinazotungwa lazima ziendane na utu na matakwa ya binadamu ndo maana Kuna vitu huwezi kufanya mfano maavazi yanavaliwa hata kama ya kiasili lazima wawe yenye utu hata mbele ya jamii nyingine ...Usishangae wamasai kuvaa vile kiasi fulani wanaona wamelinda utu wao .

Ila kwa heshima kma sehemu za ibada kweny kanisa huwezi kwenda na kipensi watu wanakutazama inaweza kuleta matamani na kutoa watu kweny lengo la ibada wakaanza kufikiria mambo mengine.
Kwani lazima
 
shida inakuja ukristo umemezwa na utandawazi, leo hii papa alietakiwa kukemea vitendo vya ushoga anatoa ushirikiano wenye kuleta matumaini kwa mapenzi ya jinsia moja hii vipi.

huu kama sio upuuzi ni nini ?
Ujue, mtu kuvutiwa na mtu wa jinsia yake sio maamuzi yake. Ni kitu kiko 'programed' akilini mwake. Kama ilivo baadh ya wanaume wanapenda wanene, wengine wanapenda vimodo.. basi ivoivo wengine wanapenda wanaume wenzao...
Lakini, 'tatizo' la ushoga linaweza kutibika kwa therapy kama ilivo matatizo mengine ya kiakili. Kwa kutambua hili, papa hajaruhusu watu wa namna hii wanyanyapaliwe. Kasema tupendane, kama kristo alivoagiza. Dini ya ukristo ni upendo..
Ikumbukwe, biblia inakataza kufirana na kufanya mapenz kabla ya ndoa.. papa anakemea pia mambo haya...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna imani nzuri kama ukristo hapa duniani lakini ubaya ni kwamba dini za kikristo zinafata sheria za watu badala ya maandiko... kwa mbali angalau wasabato wanajitahidi.

inasikitisha sana kuona papa mkuu anakaa meza moja na wadau wa mapenzi ya jinsia moja kufanya maridhiano ambayo yamejaa matumaini, upuuzi kama huu ni wa kukemea na kupingwa kwa nguvu zote,

ni wakati wa Yesu kurudi kuja kuweka mambo sawa,
Ni balaa yaani.
 
Naunga Mkono hoja.
====
Sasa hivi wanakuja na lugha za Intelligent design
 
hakuna imani nzuri kama ukristo hapa duniani lakini ubaya ni kwamba dini za kikristo zinafata sheria za watu badala ya maandiko... kwa mbali angalau wasabato wanajitahidi.

inasikitisha sana kuona papa mkuu anakaa meza moja na wadau wa mapenzi ya jinsia moja kufanya maridhiano ambayo yamejaa matumaini, upuuzi kama huu ni wa kukemea na kupingwa kwa nguvu zote,

ni wakati wa Yesu kurudi kuja kuweka mambo sawa,
Anakaa nao meza moja kama anavokaa meza moja na mafisadi, wazinzi, wezi etc..
Katika ukristo hakuna dhambi kubwa kuliko ingine (isipokua ile ya kukufuru roho mtakatifu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kimini hakikupendezi acha wengine wavae. Ili mradi hajavaa kwenye himaya yako.
Ndio Bibilia inavyokuamrisha au wewe Ni mfuasi wa kwaya TU na send off??
 
Back
Top Bottom