Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Poleni. Wengine wanaona sawa kama ambavyo vipo ambavyo unaamini wewe wanaona haupo sawa. Kikubwa stick kwenye imani yako...wengine wapuuze watajua wenyewe na Mungu waoWanajua wenyewe mpaka hao wanawake wapumbavu wanaofanya ibada za shetani kua matendo yao kwenye maisha yao! hv kwel mwanamke uliyelelewa kimaadili na wazazi wako unaweza kukaa mbele ua kadamnasi na kutetea kuvaa viguo vya kubana ambavyo kabisa ulitakiwa uvae ndani na mumeo? fucking this