Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Utakuwa ama umezaliwa baada ya miaka ya 2005 au umesoma mpaka darasa la saba (7) tu.Kuna kundi fulani la watu lina misimamo ilio very complicating.
Jamii zao wanazibandika jina la kundi lao utafikiri ardhi wanayoikanyaga imeandaliwa kwa ajili yao tu
EvidenceUrusi
Ufaransa
Uingereza
Hispania
Dola ya kirumi
Ziliwahi kulazimsha raia wake na wahamiaji wawe wakristo.
Tunawavumiliaga TU.Inawasha pale ninapokuwa na kuku wangu lakini kuna mtu anataka achinje yeye..!!
Dola ya Kirumi, 380Bk, theodosius 1 ( Edict of thessalonica)Evidence
Wanaiangamiza dunia eg india.Ana akili za kuku kama jina lake
Ukweli mchunguKuna kundi fulani la watu lina misimamo ilio very complicating.
Jamii zao wanazibandika jina la kundi lao utafikiri ardhi wanayoikanyaga imeandaliwa kwa ajili yao tu.
Lina fukuza watu wasio wa kundi lao katika jamii zao ila jamii zao ziikishia kupata kash kash ziletazwo na watu wa kundi lao wanaishia kukimbilia kutafuta msaada katika jamii zile zenye kundi la watu ambalo ndilo wanalolipiga vita kila siku.
Alafu wakisha karibishwa huko wanaishia tena ku-force watu waliowakuta wa kundi lingine kufata misimamo yao bila ya hivyo wanaanza kuwafanyia vurugu.
DINI YA UKWELI NI UPENDO, BORA DINI NYINGINE ANGALAU WANAZINGATIA HILO ILA WENGINE WAPO KATIKA CULTS ILA HAWAJUI.
LinkDola ya Kirumi, 380Bk, theodosius 1 ( Edict of thessalonica)
Soma kitabu ya Edward gibbon,.....The decline and fall of the roman Empire.Link
KileteSoma kitabu ya Edward gibbon,.....The decline and fall of the roman Empire.
Tafuta mkuu.Kilete
Zilikuwepo Sema Nyingi zilikufaDola ya Kirumi, 380Bk, theodosius 1 ( Edict of thessalonica)
Hii Pia Anabisha bhasi ana safari ndefu sana ya kujifunza...Soma kitabu ya Edward gibbon,.....The decline and fall of the roman Empire.
Cheap propagandaTafuta mkuu.
Yeah ,baada ya ujio wa waprostestant na mikataba mbalimbali ilipungua nguvu sana.Zilikuwepo Sema Nyingi zilikufa