Globu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 8,659
- 2,227
At least umejua kuandika neno Quran, big up.Uungu wa Yesu hata Quran yako haijakataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
At least umejua kuandika neno Quran, big up.Uungu wa Yesu hata Quran yako haijakataa
Basi tuseme wote nyie ni mapicha picha tu😜Ila Yesu kuwa Mungu sio kitu Cha kufikirika!?
Acha uongo, duniani wakiristo hawajahi kuongezeka ukitoa waliozaliwa kwenye ukiristo labda kwa asilimia nduchu sana 0.001% , Idadi kubwa ni wakiristo ndio huingia katika uislamu kila uchao na huko kwenu Tz mumeshindwa kuweka swali la dini kwenye sensa ya watu na makazi muna hofu idadi yenu mumezidiwa sana na waislamu.Kampeni ya Kiislamu ya mitandao ya kijamii inayojulikana kama #SaveMaryam inakuza ufahamu wa kuenea kwa Ukristo kote Indonesia - na inatumia takwimu na taarifa zenye utata kufanya hivyo. Meneja wa kampeni hiyo alisema kuwa Waislamu milioni 2 wanabadili dini na kuwa Wakristo kila mwaka nchini humo. Aliongeza kuwa Indonesia itakoma kuwa taifa lenye Waislamu wengi ifikapo 2035.
Wakosoaji na watoa maoni wameshutumu timu ya kampeni hiyo kwa kutisha, kuleta mvutano wa kidini usio wa lazima, na kutoa taarifa zisizo sahihi ili kukusanya fedha zaidi kwa ajili ya shughuli zao. Indonesia inajivunia idadi kubwa zaidi ya Waislamu duniani, ikiwa na Waislamu zaidi ya milioni 212.
Takwimu rasmi zinakadiria kuwa karibu 11% ya idadi ya watu ni Wakristo. Hata hivyo, viongozi kadhaa wa makanisa ya Indonesia wanaamini kuwa hii ni dharau kubwa, ikiweka idadi halisi ya Wakristo kati ya 20% na 30% ya idadi ya watu.
Vyovyote takwimu sahihi, kilicho wazi ni ugumu wa kupindukia Wakristo wa Indonesia wanakabiliana nao, hasa wale wanaobadili Uislamu na kuwa Wakristo. Familia za Kiislamu mara nyingi huwakana watoto wao ambao wanakuwa Wakristo.
Ni vigumu zaidi kwa Mwislamu kubadili Ukristo katika jimbo la Aceh, ambalo linafuata sheria za Kiislamu.
=================
An Islamic social media campaign known as #SaveMaryam is raising awareness of the spread of Christianity throughout Indonesia — and it’s using controversial statistics and statements to do so.
The campaign’s manager stated that 2 million Muslims convert to Christianity every year in the country. He added that Indonesia would cease to be a predominantly Muslim nation by 2035.
Critics and commentators have accused the campaign’s team of being alarmist, creating unnecessary religious tension, and giving inaccurate information to raise more funds for their activities.
Indonesia boasts the largest Muslim population in the world, with more than 212 million Muslims. Official figures estimate that about 11% of the population are Christians. However, several Indonesian church leaders believe this is a huge underestimation, placing the actual number of Christians between 20% and 30% of the population.
Whatever the correct figure, what is clear is the extreme hardship Indonesian Christians face, particularly those who convert from Islam to Christianity. Muslim families often disown their children who become Christians. It’s even more difficult for a Muslim to convert to Christianity in the province of Aceh, which follows Islamic law.
Mwanzo 32:24Hadithi inasema yakobo alipigana na Mungu baada ya kumshinda akaitwa Israel
Mzee nimekupa sababu za tukio(why tukio lilifanyika), ila wewe unalielezea tukio, we unadhani kipi muhimu?Lutu alifanya mapenzi na watoto wake wawili na akapata watoto baada ya kumpa pombe, wa mkubwa aliitwa moabu na wa mdogo aliitwa Benami
Kaka wewe Atheist hili mbungi tuachie wenyewe.Basi tuseme wote nyie ni mapicha picha tu😜
Sema kakupiga za uso.Silence is the answer for the fool.
Ciao.
Ila naona kama huu uislamu unaovamiwa na wakristo mtakuja kuukataa wenyewe tu😂😂 japo sasa mnafurahia .Acha uongo, duniani wakiristo hawajahi kuongezeka ukitoa waliozaliwa kwenye ukiristo labda kwa asilimia nduchu sana 0.001% , Idadi kubwa ni wakiristo ndio huingia katika uislamu kila uchao na huko kwenu Tz mumeshindwa kuweka swali la dini kwenye sensa ya watu na makazi muna hofu idadi yenu mumezidiwa sana na waislamu.
😂😂 nyie wote ni pipa na mfuniko sheikh wangu😂😂Kaka wewe Atheist hili mbungi tuachie wenyewe.
We subiri nimkaange mtu hapa.
Alama ya hukumu ya ulimwengu kwa mujibu wa Quran ni nani tuanzie hapo kwanzaLete ushahidi Qur'an ikimtaja Yesu kuwa Mungu!??
Maana Qur'an inamtambua Yesu kama mtume/nabii.
Aya Lete ushahidi wa Qur'an kusadikisha Yesu Mungu.
😂😂😂 mkuu unasoma biblia ipi kwa sababu zipo zaidi ya 100 tofauti tofauti kulingana na matakwa ya kanisani au dhehebu😂😂Mwanzo 32:24
[24]Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri.
And Jacob was left alone; and there wrestled a man with him until the breaking of the day.
Hadith inasema alipigana na mungu au alipagana na mtu (an unknown stranger)?? Ila kama unataka kuamini alipigana na mungu that's your choice
Mzee nimekupa sababu za tukio(why tukio lilifanyika), ila wewe unalielezea tukio, we unadhani kipi muhimu?
Nimetumia standard KJV bible😂😂😂 mkuu unasoma biblia ipi kwa sababu zipo zaidi ya 100 tofauti tofauti kulingana na matakwa ya kanisani au dhehebu😂😂
Kama dini ya Allah watu wanajilipua kuitetea sembuse hivi inavyowekwa wazi uongo wake ukae kimya! Wewe sio AbdoolAt least umejua kuandika neno Quran, big up.
Nakuu mbona sijakuvunjia heshima popote nimeuliza tu swali kwa sababu Biblia zipo za aina nyingi na hilo linafahamika mbona 🤔🤔🤔, kuna ile ya wakristu wameruhusiwa pombe na kuna ile ya wakristo wamenyimwa pombe .Nimetumia standard KJV bible
Boss mi nilidhani tupo kuelimishana kumbe una mentality ya kitoto hivo
Hongera sana kwa kupiga hatua kufikisha 11% ya waumini indonesia, japo uko ulaya uliko anzia kanisa zinabadilishwa kua misikiti kwa kasi ila sio mbaya ukristu utabaki kuenea sambamba na rate za illiteracy and ignorence katika nchi husika.
Alama ya hukumu kwa ulimwengu Kwa minajili gani!?Alama ya hukumu ya ulimwengu kwa mujibu wa Quran ni nani tuanzie hapo kwanza
Mkuu tuliaa .😂😂 nyie wote ni pipa na mfuniko sheikh wangu😂😂
Umalaya kafanya mtume muhammad maana alikua anabaka wanawake baada ya kuua waume zao pia aliruhusu umalaya.Umalaya, vimini, ushoga huo???????