Ukristu wazidi kuenea kwa kasi Indonesia

Acha uongo, duniani wakiristo hawajahi kuongezeka ukitoa waliozaliwa kwenye ukiristo labda kwa asilimia nduchu sana 0.001% , Idadi kubwa ni wakiristo ndio huingia katika uislamu kila uchao na huko kwenu Tz mumeshindwa kuweka swali la dini kwenye sensa ya watu na makazi muna hofu idadi yenu mumezidiwa sana na waislamu.
 
Hadithi inasema yakobo alipigana na Mungu baada ya kumshinda akaitwa Israel
Mwanzo 32:24
[24]Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri.
And Jacob was left alone; and there wrestled a man with him until the breaking of the day.

Hadith inasema alipigana na mungu au alipagana na mtu (an unknown stranger)?? Ila kama unataka kuamini alipigana na mungu that's your choice
Lutu alifanya mapenzi na watoto wake wawili na akapata watoto baada ya kumpa pombe, wa mkubwa aliitwa moabu na wa mdogo aliitwa Benami
Mzee nimekupa sababu za tukio(why tukio lilifanyika), ila wewe unalielezea tukio, we unadhani kipi muhimu?
 
Ila naona kama huu uislamu unaovamiwa na wakristo mtakuja kuukataa wenyewe tuπŸ˜‚πŸ˜‚ japo sasa mnafurahia .

Mtu akishaonja nyama ya nguruwe sio rahisi kuacha sheikh πŸ˜‚
 
Lete ushahidi Qur'an ikimtaja Yesu kuwa Mungu!??
Maana Qur'an inamtambua Yesu kama mtume/nabii.

Aya Lete ushahidi wa Qur'an kusadikisha Yesu Mungu.
Alama ya hukumu ya ulimwengu kwa mujibu wa Quran ni nani tuanzie hapo kwanza
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkuu unasoma biblia ipi kwa sababu zipo zaidi ya 100 tofauti tofauti kulingana na matakwa ya kanisani au dhehebuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimekuja mbio nikajua kina Netanyahu wameondoa ile marufuku ya kuhubiri injili kwenye taifa lao teule alikozaliwa mungu yesu na ukristo umeongezeka,, kumbe unazungumzia Indonesia,,, hao wengi wao wageni wauza nyapu kutoka nchi za kiafrika na wengine wanatokea Thailand na Philippines kwani wenyeji wengi wao wamekulia kwenye maadili ya kiislam so hizo biashara hawazijui..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkuu unasoma biblia ipi kwa sababu zipo zaidi ya 100 tofauti tofauti kulingana na matakwa ya kanisani au dhehebuπŸ˜‚πŸ˜‚
Nimetumia standard KJV bible

Boss mi nilidhani tupo kuelimishana kumbe una mentality ya kitoto hivo
 
Nimetumia standard KJV bible

Boss mi nilidhani tupo kuelimishana kumbe una mentality ya kitoto hivo
Nakuu mbona sijakuvunjia heshima popote nimeuliza tu swali kwa sababu Biblia zipo za aina nyingi na hilo linafahamika mbona πŸ€”πŸ€”πŸ€”, kuna ile ya wakristu wameruhusiwa pombe na kuna ile ya wakristo wamenyimwa pombe .

Hapo nimekukosea wapi mkuu wangu?
 
Umalaya, vimini, ushoga huo???????
Hongera sana kwa kupiga hatua kufikisha 11% ya waumini indonesia, japo uko ulaya uliko anzia kanisa zinabadilishwa kua misikiti kwa kasi ila sio mbaya ukristu utabaki kuenea sambamba na rate za illiteracy and ignorence katika nchi husika.
 
Hii habari inatakiwa Waisalm tfurahi sana na tunshukuri Allah.

Dua yetu "Allah tunusuru na kaumu ya makafiri" imeitikiwa vizuri kabisa Indonesia.
 
Umalaya, vimini, ushoga huo???????
Umalaya kafanya mtume muhammad maana alikua anabaka wanawake baada ya kuua waume zao pia aliruhusu umalaya.
Mut'ah is a concept that appears in the Quran. Verse 24 of surah 4 explains that a man and a woman can enter a temporary marriage-like relationship. The relationship must be agreed upon in advance, and the woman must receive financial compensation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…