Ukristu wazidi kuenea kwa kasi Indonesia

Ni kawaida ya wana JF wanapo ona wanaishiwa hoja wanauliza viswali vya ajabu-ajabu na kujichekesha ili tuu wachomoke walipokamatwa, nilidhani na wewe ni mmoja wao.

Hakuna biblia inayokataza pombe na inayoruhusu pombe, msimamo wa mungu kuhusu pombe unajulikana and upo very simple kuuelewa, nadhani watu wana kaza kichwa tuu, pia nadhani utakuwa unazungumzia katekisimu ya catholics ambayo sio biblia hata ivo.

Hakuna past scholar yoyote aliyeamini yakobo alipigana na mungu, kuna baadhi waliamini alipigana na malaika kuna baadhi waliamini alipigana na mtumishi wa mungu kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi(kuna muda inabidi ukubali kwamba biblia haina taarifa zote) but kusema alipigana na mungu goes against kilichoandikwa, Israel maana yake "struggling with God", na ndilo jina alilopewa baada ya kupambana na huyo mtu ambae biblia haijamueka wazi, na neno "struggling" halimaanishi "kupigana" if we are being honest.
 
Je wameuliwa hao waliosilimu kama mnavyosemaga? Nyinyi si ndio huwa mnaanzisha uzi humu kila mara kuwa Waislamu wanawaua wale wanaobadilisha dini.. sasa nawauliza hivi je hao waliobadili dini wameuliwa?

Nyinyi wakristo mko busy sana na waislamu sijui mna matatizo gani. hii inaonyesha wazi kuwa mna mashaka na dini yenu
 
Ni wajinga pekee na watu wenye utindio wa ubongo wanaodhani kubadili Dini (Sio Imani) ndio kutatapunguza changamoto zao za Kiimani. Karibuni to the Free world, where you can be anything!
 
Nyinyi wakristo mko busy sana na waislamu sijui mna matatizo gani. hii inaonyesha wazi kuwa mna mashaka na dini yenu
Waislamu ndio wanahaha na Wasio waislamu, Ndio maana mnaeneza chuki na wasio wa Dini yetu!

Muislam ndugu yake Muislam!
 
Mkuu hiyo Quran gani unayo soma......mda mgine ukiwa umelewa sio vizuri kuja kwenye Jf subiri pombe eishe.
Japo nikweli mkuu unajua kwa mtu aliyesiriazi na hayo mambo ya rohoni afu akayatafuta kwenye uislamu Kuna namna anajichelewesha tuu!!! Dini haiko makini kabisa
 
Soma baada ya huyo mtu kuondoka yakobo alisema mwanzo 32.30 "yakobo akapaita mahali pale penieli " akisema " nimemwona Mungu uso kwa uso nami sijafa"
 
Ni wajinga pekee na watu wenye utindio wa ubongo wanaodhani kubadili Dini (Sio Imani) ndio kutatapunguza changamoto zao za Kiimani. Karibuni to the Free world, where you can be anything!
Kubadili dini ni kama kuhama gereza tu , wagereza hili anashindana na wa gezera lile kuwa gereza lipi lina huduma bora zaidi🤔🤔🤔
 
Wewe jamaa una shida sehemu
 
Jamaa mmekua hamuelewi kiasi cha kushindwa kuleta hoja ama kutetea hoja zenu kabla ya qur an Allah alileta vitabu kwa lugha isio ya kiarabu
 
Safari ya Isra na Miraji mbingu ya saba yani ni vitu vya kufikirika.
Yaani hata wewe pia wakufirika hujawahi kujiuliza hukuwahi kuekwa tumboni ila umetoka tumboni anza kufikiria hili kwanza kabla ya israa na miiraji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…