Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Ni kawaida ya wana JF wanapo ona wanaishiwa hoja wanauliza viswali vya ajabu-ajabu na kujichekesha ili tuu wachomoke walipokamatwa, nilidhani na wewe ni mmoja wao.Nakuu mbona sijakuvunjia heshima popote nimeuliza tu swali kwa sababu Biblia zipo za aina nyingi na hilo linafahamika mbona 🤔🤔🤔, kuna ile ya wakristu wameruhusiwa pombe na kuna ile ya wakristo wamenyimwa pombe .
Hapo nimekukosea wapi mkuu wangu?
Hakuna biblia inayokataza pombe na inayoruhusu pombe, msimamo wa mungu kuhusu pombe unajulikana and upo very simple kuuelewa, nadhani watu wana kaza kichwa tuu, pia nadhani utakuwa unazungumzia katekisimu ya catholics ambayo sio biblia hata ivo.
Hakuna past scholar yoyote aliyeamini yakobo alipigana na mungu, kuna baadhi waliamini alipigana na malaika kuna baadhi waliamini alipigana na mtumishi wa mungu kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi(kuna muda inabidi ukubali kwamba biblia haina taarifa zote) but kusema alipigana na mungu goes against kilichoandikwa, Israel maana yake "struggling with God", na ndilo jina alilopewa baada ya kupambana na huyo mtu ambae biblia haijamueka wazi, na neno "struggling" halimaanishi "kupigana" if we are being honest.