Ukristu wazidi kuenea kwa kasi Indonesia

Quran 4:24
Verse 4:24
I nazungumzia nini kama sio ndoa za kunua wanawake? je Shia wanachopractice wanakitoa wapi Maana Shia ni waislam tofauti yenu kubwa na wao ipo kwenye sunnah
 
Wewe unaamini toka mdogo umeanza kwenda madrasa kabla ya shule kipi utakachoona cha kweli nje ya ulichoda gangway toka mdogo?
Unadhihirisha tena ujinga wako elimu ya dini naijua kiasi chake ila elimu ya kwanza kuanza kuisoma ilikua secular nanilianza soma nikiwa mdogo na kujua kusoma nikiwa mdogo miaka mitatu ama minne nilikua nasoma gazeti wakati alifu sijui
 
Hujaelewa.
Qur'an haitegemei kitu maana ndio Sheria mama Katika uislam.
Ila Hadith zinategemea uhakiki wa Qur'an.
Hadith yeyote ikiwa inaendana na kinyume na Sheria ya Qur'an basi hiyo ni Hadith feki.
Kwa mujibu huu swala Tano ni feki kwa maana hazipo kwenye Koran
 
Kwa ushahidi wa kimazingira hauwezi ukaenda sehemu ukaua ndugu zake,mme wake halafu ukataka kumuoa akakubali kama sio kumlazimisha

Muhammad baada ya kuua jamii ya kiyahudi badae anakuja kumuoa(kumbaka) Zainab ambae ndugu zake waliuwawa na Muhammad na jeshi lake kutokana na hii chuki ya ubakaji ndomana Muhammad alikuja kuuliwa kwa kuwekewa sumu na huyu mwanamke,hii yote zainab hakutaka kuolewa bali alilazimishwa na kubakwa.
 
Hamuui Wasio Waislamu? Hamtaki kila sehemu Mlipo paongozwe na sheria za Kiislamu?
Aloua asiokua muislam kwa mujibu wa qur an kafanya makosa na anaetaka kuendeshwa kwa sheria za kiislam Kuna ubaya gani kutaka
 
Unadhihirisha tena ujinga wako elimu ya dini naijua kiasi chake ila elimu ya kwanza kuanza kuisoma ilikua secular nanilianza soma nikiwa mdogo na kujua kusoma nikiwa mdogo miaka mitatu ama minne nilikua nasoma gazeti wakati alifu sijui
Sawa umetoa utetezi tuu,hoja ni kwamba Quran hauijui bali umeikariri kwa viboko ndomana uwezi kusoma Quran ukaelewa verse kwa verse kwakua kiarabu haukijui
 
Quran 4:24
Verse 4:24
I nazungumzia nini kama sio ndoa za kunua wanawake? je Shia wanachopractice wanakitoa wapi Maana Shia ni waislam tofauti yenu kubwa na wao ipo kwenye sunnah
We jamaa unajielewa?
Nimekuletea Qur'an 4:24 na hakuna mahala ikisema muwanunue wanawake.
Nani kakwambia shia wanacho practice wanatoa katika Qur'an!?
Hivi haujui kama shia wana mambo mengi ya kukufuru!?
Nakuletea Tena hiyo Qur'an 4;24 naomba unioneshe eneo la kununua wanawake.
Na nakutafsiria kabisa Kwa kiswahili"Na imekatazwa kuoa wanawake walioolewa/wake za watu isipokua Kwa wale AMBAO mmeruhusiwa kuwafikia,na hii ni Sheria ya Mwenyezi Mungu,kwamba muwaombe ridhaa na muwape zawadi/mahari za ndoa zao.
Aya naomba unioneshe mahali ambapo wanawake wananunuliwa!??

 
Kwenye Qur'an kuna aya hiyo?! unaweza kuileta hapa ukatuwekea?! ukishindwa laiti tungekuwa kwenye known world ningejitolea kuja kukurusha kichura mbele za watu nikufundishe adabu kwa niaba, shukuru anonymity.
Kwenye Quran kuna Aya ya kuamrishwa kuswali mara 5?
 
Hili bandiko lako ndiyo linadhihirisha wazi kabisa kuwa kuluwani ni utapeli na mpangilio wa mawazo ya wahuni
Omari aliwadanganya pakubwa sana nyie watoto wa mwamedi yaani kuluwani msingi wake ni kuenda na trend kwahiyo bilali asingebaguliwa ndo kuluwani "isingeshushwa" kwa kiarabu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani hizo ndoa iliyotajwa hapo ni permanent au temporary?
 
Kwanza hiyo ayah ya Qur'an 4:24 haihusiani na wanawake wa vitani.
Nimefungua kitabu Sasa hivi nimeona hata mimi nimekosea.
Hii ayah inazungumzia watu gani unaruhusiwa kuwaoa na watu gani hairuhusiwi kuwaoa ikianza na mtiririko wake kuanzia verse 23.

Hakuna pahala mtume alimlazimisha mwanamke wa kiyahudi kuolewa naye.
Pia umepuyanga mwanamke wa Kiyahudi alikua sio ZAINAB alikua anaitwa BI.SAFFIYAH umepuyanga tena kijana.
Na mtume alikufa Kwa kifo Cha kawaida wala sio kwa sumu.
 
Shia wanapractice kilichokuepo kabala huu utamaduni kufutika je jiuliza Shia hawafanyi ichi kitu kuwalipa wanawake wanavyomaliza shida zao?
 
Sawa umetoa utetezi tuu,hoja ni kwamba Quran hauijui bali umeikariri kwa viboko ndomana uwezi kusoma Quran ukaelewa verse kwa verse kwakua kiarabu haukijui
Ila wewe unaekuja kudanganya watu hapa ndio unaijua qur an kama viboko hata Shule vipo tena vyakutosha haswaaa
 
Wewe ndio unakariri majina ya mke wa mtume mimi sio kosa langu,Muhammad alikufa kwa sumu acha upotoshaji
 
Dooh dooh dooh dalili za kukosa hoja hizi.
Wewe umedai kuwa Allah ana ubaguzi.
Nikakwambia kama Allah ana ubaguzi asingeshusha verse ya Qur'an KISA MTU MWEUSI .
Bilal alipobaguliwa hiyo verse ikashushwa na waarabu wakafahamishwa kuwa Mungu ameumba watu Kwa asili na mataifa tofauti,hivyo aliye Bora kwake ni yule mwenye kumuabudu.
Ushaishiwa hoja HUNA HOJA unatapa tapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…