ndengisivilii
JF-Expert Member
- Jun 21, 2024
- 496
- 570
Quran 4:24Nikikuita wewe ni kichaa nakosea!??
Katika hiyo Qur'an 4 verse 24 Kuna sehemu imeandikwa ndoa za mutah!??
Naomba unioneshe sehemu iliyoandikwa Mutah katika hiyo verse.
Pia nani kakwambia Kila wanachofanya shia kipo katika Qur'an!?
Una ushahidi huo au unaropoka tu!?
Unausemea moyo!?
Hilo linawezekana tena sana tu mtu ukamuulia mumewe na akakubali kuolewa na wewe.
Na ndio maana hiyo Qur'an 4 verse 24 imesema "msiwalazimishe wala kuwatumia kingono,waombeni ruhusa zao wakikubali lipeni mahari muwaoe kihalali".
Hivi umeelewa maana ya hayo maelezo!?
Ni sawa unaambiwa na babaako,"usiende nje kucheza Hadi uombe ruhusa Kwa mamaako,akikubali na akiridhia basi toka nenda kacheze".
Aiseeee😂😂😂😂😂😂😂😂
Verse 4:24
I nazungumzia nini kama sio ndoa za kunua wanawake? je Shia wanachopractice wanakitoa wapi Maana Shia ni waislam tofauti yenu kubwa na wao ipo kwenye sunnah