Kaka wapige kichwani π π πKatika hali ya kawaida hamna mtu anaekubali uue familia yake yote na jamii yake halafu akubali umuoe,sheikh hapo kulikua ni kubaka tuu kama tunavyoona kule Congo na sehemu zingine mateka wakike wakivita wakibakwa
Hakuna cha kutapatapa hapo alaa inaonekana hajielewi anaangalia trend je hakujua kuwa Kuna watu wa tabaka la tofauti na waarabu hadi asuburi bilali abaguliwe?Dooh dooh dooh dalili za kukosa hoja hizi.
Wewe umedai kuwa Allah ana ubaguzi.
Nikakwambia kama Allah ana ubaguzi asingeshusha verse ya Qur'an KISA MTU MWEUSI .
Bilal alipobaguliwa hiyo verse ikashushwa na waarabu wakafahamishwa kuwa Mungu ameumba watu Kwa asili na mataifa tofauti,hivyo aliye Bora kwake ni yule mwenye kumuabudu.
Ushaishiwa hoja HUNA HOJA unatapa tapa.
Kwa lugha tofautiAlileta vitabu gani huyo alaa na kwa lugha gani
Sahih al-Bukhari 4428Lete ushahidi wa mtume kufa kwa sumu.
ππππππLeo mbona utakomaaa!!
Shia bado wanapractice Mutah marriageMtu unamwambia hizo ayah Mungu anatueleza nani tunatakiwa kumuoa na nani hatutakiwi kumuoa na tunatakiwa tufate utaratibu gani tunapotaka kuoa.
Yeye anaruka ruka mara ooh mara eeh.
πππππππAya Sasa sijui anaeleza utamaduni upi wa mashia πππππππ
Weka hiyo aya hapa inayosema Ziad alifariki ndipo Mohamed akaoa mjane wa mtoto wake wa kufikia.C&P πππππππ.
Zaid ni mtoto aliyelelewa na mtume,ila uislam sio tu Kwa mtume bali uislam Kwa ujumla unaridhia kumlea mtoto ila HAURUHUSU UMPE MTOTO JINA LAKO.
Huko ni sawa na kukata ubini wa aliyemzaa hiyo hairuhusiwi.
Zainab hakutalikiana na Zaid bali Zaid alifariki.
Baada ya Zaid kufariki mtume ndio akamuoa Zainab.
C&P mkipata madude mnayapachika tu.
Askofu sio Sawa na Mohammad mbona unamzalilisha MuhammadJe ipi sawa mkuu kama ww sio mnafiki uyu wa mtoto wa kike miak9 na askofu mkuu uko UK kuwalawiti vitoto vyakiume vienye miaka 3 kipi bora kwa akili yko. Mtoto wa kike miak9 au kuwalawiti watoto wakiume ili wawe mashoga. Kwako kipi kizuli.??
Kadanganywa huyu na hata ikiwa Sawa alifariki ndio uoe mke wa mwanao kwa logic ya kawaida!Weka hiyo aya hapa inayosema Ziad alifariki ndipo Mohamed akaoa mjane wa mtoto wake wa kufikia.
Huna hoja wewe askofu Sawa Na Muhammad?ajabu watu waoji wajinga kupundukia yani maskofu wanamakesi rundo kila kona ya dunia wana kesi ya kuwafilllllila watoto wakiume miaka 2 mitatu minne 6 na kuendelea wao ndio sos kuuu ya kuenea Ushoga Duniani leo bado wapumbavu wanaoji mtu kuoa bint miaka9 wabint miaka ile utafananisha na awa wa chips mayai lkn tembeya pale mnyamani usiku ukaone vibint vyamiaka 9 10 12 uwende na ela tu.
Ndiyo maana wanashtakiwa kwa makosa ya ukatili dhidi ya watoto,hao sio mitume wala manabii. Mohamed alikua nabii,mtu wa mfano kuigwa kwenye ulimwenguni wa waislamu .ajabu watu waoji wajinga kupundukia yani maskofu wanamakesi rundo kila kona ya dunia wana kesi ya kuwafilllllila watoto wakiume miaka 2 mitatu minne 6 na kuendelea wao ndio sos kuuu ya kuenea Ushoga Duniani leo bado wapumbavu wanaoji mtu kuoa bint miaka9 wabint miaka ile utafananisha na awa wa chips mayai lkn tembeya pale mnyamani usiku ukaone vibint vyamiaka 9 10 12 uwende na ela tu.
Hata kuluwani yako hadithi zako na dini yako ya kiislamu huijui vyema umejaa mihemkoKwanza hiyo ayah ya Qur'an 4:24 haihusiani na wanawake wa vitani.
Nimefungua kitabu Sasa hivi nimeona hata mimi nimekosea.
Hii ayah inazungumzia watu gani unaruhusiwa kuwaoa na watu gani hairuhusiwi kuwaoa ikianza na mtiririko wake kuanzia verse 23.
Hakuna pahala mtume alimlazimisha mwanamke wa kiyahudi kuolewa naye.
Pia umepuyanga mwanamke wa Kiyahudi alikua sio ZAINAB alikua anaitwa BI.SAFFIYAH umepuyanga tena kijana.
Na mtume alikufa Kwa kifo Cha kawaida wala sio kwa sumu.View attachment 3152295
Kwanza hiyo ayah ya Qur'an 4:24 haihusiani na wanawake wa vitani.
Nimefungua kitabu Sasa hivi nimeona hata mimi nimekosea.
Hii ayah inazungumzia watu gani unaruhusiwa kuwaoa na watu gani hairuhusiwi kuwaoa ikianza na mtiririko wake kuanzia verse 23.
Hakuna pahala mtume alimlazimisha mwanamke wa kiyahudi kuolewa naye.
Pia umepuyanga mwanamke wa Kiyahudi alikua sio ZAINAB alikua anaitwa BI.SAFFIYAH umepuyanga tena kijana.
Na mtume alikufa Kwa kifo Cha kawaida wala sio kwa sumu.View attachment 3152295
Kama sijakosea zaburi iliandikwa Ki ebraniaSema hapa lugha zipi
Huo ni mtizamo wako.Hakuna cha kutapatapa hapo alaa inaonekana hajielewi anaangalia trend je hakujua kuwa Kuna watu wa tabaka la tofauti na waarabu hadi asuburi bilali abaguliwe?
Narrated by Aishaπππππ.Sahih al-Bukhari 4428
Narrated `Aisha:
The Prophet (ο·Ί) in his ailment in which he died, used to say, "O `Aisha! I still feel the pain caused by the food I ate at Khaibar, and at this time, I feel as if my aorta is being cut from that poison."
Myahudi alikua ni SAFFIYAH.Zaynab bint Al-Harith alikua myahudi acha uongo sheikh
Hadithi ipo au haipo? Maana kifo kimetokea baada kufa kwa Muhammad nani unataka asimulie?Narrated by Aishaπππππ.
Aiseeeeππππππ.
Pole sana kazana kula matango pori.