Ukristu wazidi kuenea kwa kasi Indonesia

Umalaya kafanya mtume muhammad maana alikua anabaka wanawake baada ya kuua waume zao pia aliruhusu umalaya.
Mut'ah is a concept that appears in the Quran. Verse 24 of surah 4 explains that a man and a woman can enter a temporary marriage-like relationship. The relationship must be agreed upon in advance, and the woman must receive financial compensation.
Hebu ikoti hiyo aya mwenyewe na ulete hapa tafsiri yako wewe mwenyewe ili tuone hiyo ndoa ya mutaa iliyoruhusiwa Sheikh Mkubwa!
 
Mimi nlisema hamna Aya kama ipo ilete
Sheikh, unaelewa swali? Au kusoma hujui?

Hiyo aya ni sehemu ya Qur'an.

Kabla ya kuijadili hiyo Qur'an yenyewe ndiyo nakuuliza unaijua?

Kama jawabu ndiyo, tufahamishe Qur'an inatafsiriwa kwa nyenzo ipi?

Kama haujui nalo ni jawabu sema sijui ili ufahamishwe Sheikh mkubwa!
 
Hoja yako haieleweki halafu ukristo hauwezi ukataka uhakikishwe na Uislam ukiokuja Karne ya 6 na kuenezwa na Mkureshi mmoja ambae hana maadili na utu katika kueneza dini yake
Kwanza nijibu nini mana ya B.C afu unijibu Yesu alizaliwa 4 to 6 Years B C nani hapo mnamkusudia Christo ni nani? Afu kuhusu Ukristo ulikuja kabla ya Uislam sawa hata pia ulikuja kabla ya Yesu au ni uwongo.
 
Sheikh, unaelewa swali? Au kusoma hujui?

Hiyo aya ni sehemu ya Qur'an.

Kabla ya kuijadili hiyo Qur'an yenyewe ndiyo nakuuliza unaijua?

Kama jawabu ndiyo, tufahamishe Qur'an inatafsiriwa kwa nyenzo ipi?

Kama haujui nalo ni jawabu sema sijui ili ufahamishwe Sheikh mkubwa!
Quran na Hadithi kipi kinafafanua Chenzie ? Ishu kwamba kwa mujibu.wa Uislam cha kwanza Quran Chaplli hadithi na jambo linapata nguvu likiwa kwenye Quran hadithi inakuja kuelezea lile jambo sasa Quran haina iyo Aya hadithi itaelezea nini?
 
We ziite porojo tu ila tafuta data na uujue ukweli, Yassir kadhi mmoja wa the best Quranic scholars toka Harvard university anasema hiyo standard narrative has holes in it .

Walimu wenu wa madrasa wanawalisha matango pori kwa kuleta story za kwamba Quran haujawahi badilika neno kwa neno.
Nani kakuambia Yasir Qadhi ni mmoja wa the best Quranic scholars?
 
Kwanza nijibu nini mana ya B.C afu unijibu Yesu alizaliwa 4 to 6 Years B C nani hapo mnamkusudia Christo ni nani? Afu kuhusu Ukristo ulikuja kabla ya Uislam sawa hata pia ulikuja kabla ya Yesu au ni uwongo.
Nina heshimu kwakua ni haki yako kujieleza ila unachoandika sikielewi embu eleweka kidogo
 
B.C before Christ
 
Quran na Hadithi kipi kinafafanua Chenzie ? Ishu kwamba kwa mujibu.wa Uislam cha kwanza Quran Chaplli hadithi na jambo linapata nguvu likiwa kwenye Quran hadithi inakuja kuelezea lile jambo sasa Quran haina iyo Aya hadithi itaelezea nini?
Mtume Muhammad swallallahu alayhi wasalllam, ambaye amekuja na hii Qur'an anasema:

"Mtu atakayesema kwenye kitabu cha Mwenyezi Mungu akatumia rai yake, Mapema makazi yake ajiandae motoni".

Ili kuepuka kuingia motoni lazima kutakuwa na nyenzo za kuyaelewa yaliyomo kwenye kitabu cha Mungu ambacho ni Qur'an bila shaka kuna nyenzo zake.

Sasa sisi wengine hatutaki kutumia rai zetu hatutaki kwenda motoni.

Qur'an inatafsiriwa kwa nyenzo ipi?
 
Qur'an inatafsiriwa kwa vyanzo vipi?
Wewe unaleta siasa naona haupo tayari kujadiliana.
 
Nina heshimu kwakua ni haki yako kujieleza ila unachoandika sikielewi embu eleweka kidogo
Sheikh, bado hujanijibu swali langu!

Mtume Muhammad umesema kabla ya kuitwa hili jina alikuwa na jina jengine!

Tuambie Sheikh Mkubwa, hilo jina ni lipi?
 
Wewe unaleta siasa naona haupo tayari kujadiliana.
Mbona swali jepesi tu!

Qur'an inatafsiriwa kwa nyenzo ipi?

Ambacho hakieleweki ni kipi?

Ni sawa sawa uulizwe kwa hapa Tanzania vyanzo vya sheria ni nini?

Ndiyo sawa sawa na swali langu, Qur'an inatafsiriwa kwa nyenzo ipi?
 
Wewe unaleta mchezo wa kitoto
 
Mtume Muhammad swallallahu alayhi wasalllam, ambaye amekuja na hii Qur'an anasema:

"Mtu atakayesema kwenye kitabu cha Mwenyezi Mungu akatumia rai yake, Mapema makazi yake ajiandae motoni".

Ili kuepuka kuingia motoni lazima kutakuwa na nyenzo za kuyaelewa yaliyomo kwenye kitabu cha Mungu ambacho ni Qur'an bila shaka kuna nyenzo zake.

Sasa sisi wengine hatutaki kutumia rai zetu hatutaki kwenda motoni.

Qur'an inatafsiriwa kwa nyenzo ipi?
Wewe unasema utaki kwenda motoni halafu unataka ujadili utaweza kweli kujadili Mambo aliyoyafanya Mtume Muhammad yaliyo machafu?
 
Scholar wenu wa Quran huyo,tena kasoma Harvard. Amesoma dini kuliko wewe,ana PhD in Islamic studies.
Islamic studies havard!?..acha ujinga, Quran inasema mtume alisimamia uandishi wa Quran,wahyi ukishuka waliojua kuandika waliandika kisha mtume aliwataka wamsomee walichoandika kuhakiki ikiwa wameandika sahihi,we unaleta habari za wajinga wa havard wanaong'ang'ana kuwa ulitokana na nyani!!
 
B.C before Christ
Vipi Yes aitwe Jesus Christ kama alizaliwa 4 to 6 years B C nani ni Christ hapo? Afu Jesus kabla ya 1500 AD jina lake halikuwepo vipi tena? Kutokana na oxford dictionary, in the 1400's his name was “Healand” (Old English), then “Iefus” (Middle English) during the 1500's, and finally “Jesus” in (Modern English)

Swali vipi bibilia ilisema Jesus atazaliwa wakati hapo juu ana majina tofouti au mungu wenu alichanganyikiwa kwa kuwa na majina matatu akasubiri we afu akajita Jesus, hivi mnaodangan'ya nani hapo?
 
Yesu azaliwe BC tena? Miaka ilianza kuhesbika baada ya yesu kristo kuzaliwa na matukio yaliyotokea nyuma ndio yaliitwa BC ya baaa yake ni AD sasa huyo wa 4 to 6 BC hawezi kuwa Yesu huyu Masihi.
 
Kwa hio Yesu sio Masihi safi sana sa nani Masihi? Vipi kama AD ni bada yake kabla ya 1500 kulikuwa hakuna jina la Jesus, kwa hio Jesus ni nani?
 
Islamic studies havard!?..acha ujinga, Quran inasema mtume alisimamia uandishi wa Quran,wahyi ukishuka waliojua kuandika waliandika kisha mtume aliwataka wamsomee walichoandika kuhakiki ikiwa wameandika sahihi,we unaleta habari za wajinga wa havard wanaong'ang'ana kuwa ulitokana na nyani!!
Mwenzetu wewe dini umesomea wapi? Punguza ubishi fanya uchunguzi wa data ulizonazo toka madrasa,umedanganywa.

Born in Texas to Pakistani Muhajir parents, Qadhi studied chemical engineering at the University of Houston, before studying Hadith and Islamic theology at the Islamic University of Madinah in Saudi Arabia.

[8] He earned his PhD from Yale University where his dissertation focused on the writings of Ibn Taymiyyah.

[12] Qadhi has written books and lectured widely on Islam and contemporary Muslim issues, and is considered one of the most influential Muslim scholars in the United States.

[12] He has also consistently been listed in the annual listicle The 500 Most Influential Muslims.

[13]
Qadhi was previously affiliated with Salafism, but has since left it.

[14] He now identifies himself as a Wasatist and has been described as such.
 
Back
Top Bottom