Vipi Yes aitwe Jesus Christ kama alizaliwa 4 to 6 years B C nani ni Christ hapo? Afu Jesus kabla ya 1500 AD jina lake halikuwepo vipi tena? Kutokana na oxford dictionary, in the 1400's his name was “Healand” (Old English), then “Iefus” (Middle English) during the 1500's, and finally “Jesus” in (Modern English)
Swali vipi bibilia ilisema Jesus atazaliwa wakati hapo juu ana majina tofouti au mungu wenu alichanganyikiwa kwa kuwa na majina matatu akasubiri we afu akajita Jesus, hivi mnaodangan'ya nani hapo?